Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Mimi ni kijana in my 20's miaka michache iliopita nilikuwa tongoza tongoza na nilikuwa nabadilisha sketi, nkaacha, badae nikawa na tabia ya kununua makahaba wanaojiuza barabarani, baada ya muda nilipima hivi Mara mbili, nikajikuta niko salama, Nilijitafakari na sikuona faida wala tuzo ya hayo...
Aisee ngono siku hizi imekuwa overrated kiukweli. How can someone just dare have an intercourse with two or more women at the same time after consuming Viagra and expect northing terrible to happen to them surely?
Leo mida ya asubuhi tumeshuhudia tukio la kushangaza Sana ambapo mwanaume mmoja...
Habari za asubuhi wote mlio hai humu!!!
Jana nikiwa natoka kazini nikawa natembea kwa mguu kutoka maeneo ya Posta kwenda kupanda treni kulekea Pugu kwa kutumia treni ya TAZARA (ndio zangu daily) ghafla ubongo wangu ukanasa aina mpya ya wazo, akili ikaniambia hebu angalia wapita njia na walio...
Kuna mademu sijui wana pepo au wana majini au washirikina? Yaani ukimkuta kakaa kaunta ukikaa pembeni yake anaondoka, ukimkuta kaka kwenye siti ya daladala ukikaa pembeni yake ananyanyuka anampisha mtu akae au akikuta umekaa kwenye siti na kuna nafasi pembeni yako hakai hata kama siti zimejaa...
Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa.
Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na...
Hi guys,
Ni imani yangu mmekuwa sawa watu wa Mungu..!
Kuna hii issue huwa inatokea mara kwa mara, wanaume hulalamika kuwa baada ya Ndoa, Cheo, Elimu ama Uwezo wa kifedha (hasa kuwazidi waume zao) hushangaa asilimia kubwa sana ya wanawake hubadilika kitabia, huwa na dharau na 'qibri' flani hivi...
Hata kama wahenga walisema ukitaka uzuri sharti udhurike lkn siyo kwa kuvaa mipira hii ya kukuza na kuonesha makalio. Ni hatari sana.
Maumbile ya kike yanahitaji sana hewa. Ndiyo maana kwa enzi na enzi mwanamke amekuwa akivaa mavazi yenye kuruhusu hewa kufika kwa wingi kwenye sehemu zake za...
Mwezi uliopita, nilienda kumtembelea mpenzi wangu wa zamani Kahama; baada ya kufika, nikatafuta sehemu nzuri ya kupumzika. Nikamjulisha sehemu nilipofikia; na baada ya muda akawa amefika.
Tukaweza kupasha kiporo, na mambo mengine yakaendelea. Sasa katika kubadilishana mawazo, akanisihi sana...
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo, imeongezeka maradufu kulinganishwa na wanaume.
Akisoma taarifa ya mwenendo wa vitendo vya matumizi ya dawa za kulevya mkoani Mwanza katika utangulizi wa Siku ya Kupambana na Dawa za Kulevya, Mrakibu...
Habari wakuu.
Naimani wote ni wazima niende moja kwa moja kwenye Mada.
Kuna manzi mmoja hapa nashindwa kumuelewa kabsa anataka nini. Iko hivi huyu manzi kuna kipindi mwezi wa 3 mwaka huu nilipata safari ya kikazi ofisini kwetu nilipelekwa mkoaX sasa baada ya kuwasili huko kumbe kuna wafanya...
Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu?
IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
Wadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji
Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume...
Tumechoka kusikia kila siku mume kauwa mke, ukifuatilia source za haya mauwaji ni wivu wa kimapenzi fumanizi na kazilika.
Watiini waume zenu si uliapa mwenyewe kuwa utamtii sasa ukaidi wa nini? Mmekuwa wabishi mnakoromena na waume zenu kisa mnadai sisi na nyie ni sawa hakuna kitu kama hicho...
Wazee salama ngoja niende moja kwa moja kwenye point nimegundua njia rahisi za kuwapata hawa viumbe pasua kichwa , njia hii inahitaji akili kidogo tu na njia yenyewe ni kuacha kuwashobokea au kuwapaparikia wanawake.
Wazee amini usiamini ukiwa bize na mambo yako yaani na life lako mademu...
Salaam wakuu,
Kwanza nitoe angalizo kuwa mada yangu hailengi kuwaondolea heshima wanawake kwani umuhimu wao kwenye jamii zetu umetukuka.
Nimeona niwashirikishe kisa kufupi Cha mwanamke huyu aliyekataa kuolewa na rafiki yangu kwa kuhofia kukosa misaada kwa mchepuko wake.
Unaweza kushangaa...
Wakuu, sensa ya 2012 ilikuwa na wanawake 1,188,943 zaidi ya wanaume. Tarehe 23 August ni siku ya sensa.
Taarifa ya UN kuhusu idadi ya watu duniani robo ya kwanza 2021 hii hapa:
Idadi ya watu duniani ni bilioni 7.8
Wanawake bilioni 5.6
Wanaume bilioni 2.2
Kati ya wanaume hao bilioni 2.2
Bilioni...
Habar wakui
Kila uzi humu ukimrefer demu kumzingua mtu humu pesa inatajwa sana lkn pia kuna hiki kitu wengi pia wqnakisahau muonekano wa nje.
Ushawah kuta mtu ana mapesa kibao ila anagongewa km kawaida kelele huwa nying wanawake hawaeleweki ndio kauli mbiu sasa soma hhapa.
Wanawake ni...