wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanapenda sana harusi kuliko ndoa yenyewe!

    Wanawake emu njooni hapa mtuambie kipi kinawafanya mpende sana shughuli/harusi kuliko ndoa yenyewe? Binafsi kuna wanawake kama 5 nishawashirikisha hili jambo, na nilikuwa nikiwaambia hivi langu "nataka nikuoe tufunge ndoa ila kusiwe na harusi hata ikiwepo iwe ya kifamilia tu, watu wasiwepo...
  2. JamiiForums Tanzania Mitego ya wanawake

    Wanaume wenzangu, kwa nini ni ngumu Sana kuchomoa mtego wa mwanamke akikutaka kimapenzi? Wanawake wakitongozwa wengi huweza kupangua mashambulizi tofauti kabisa na upande wa pili. Yaani mrembo akutake na akuwekee mtego Matata unachomokaje? Ladies labda mtuuzie mbinu za kivita, Kama kuhonga...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yaionya Taliban kuzuia Wanawake kusoma Chuo Kikuu

    Marekani imeeleza kuwa kutakuwa na gharama ikiwa hakutakuwa na mabadiliko kuhusu maamuzi hayo yanayofanywa Nchini Afghanistan. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken amesema Serikali ya Taliban haitaweza kuboresha uhusiano na mataifa mengine Duniani ikiwa itaendelea kuwanyima...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wanaoshindwa kuheshimu wanawake

    Mnajifanya mnaanakili nyingi mnoo kumbe mabichwa yamejaa uwongo na umpumbavu tu! Hamuna ustarabu na adabu hata chembe kazi ujuaji/ujuba,vurugu/vituko na uhuni tu! Mimi ni malaya, malaya ni nyinyi mnashindwa kukaa bila ngono kutwa kutafuta wanawake. Masikini mnajifanya vidume kumbe ni viumbe...
  5. JamiiForums Tanzania Taliban yapiga marufuku wanawake kujiunga vyuo vikuu Afghanistan

    Utawala wa Taliban Nchini Afghanistan umeamuru kupiga marufuku kwa muda usiojulikana elimu ya chuo kikuu kwa wanawake wa nchi hiyo. Taarifa Iliyo Tolewa na wizara ya elimu ya juu ilisema katika barua iliyotumwa kwa vyuo vikuu vyote vya serikali na vya kibinafsi. "Nyote mnaarifiwa kutekeleza...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata wanawake wa Kizungu wanapenda sana kuhingwa? Nilijua ni waswahili tu.

    Nimeleta hii kama taarifa tu. Mimi nilikuwa naamini kwa kuwa wazungu wametutangulia kwa kila kitu hadi haki za uhuru na usawa baina ya jinsia moja na nyingine basi nilijuaga wao hawasumbui mambo ya vibomu. Ebwanaaee tena kuna wengine ni Vibom international Nimeona hii kwa mademu zake jamaa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanawake wa makabila mengine wanaowazidi waluguru na wazigua kuomba hela kwenye mapenzi?

    Hehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b...
  8. JamiiForums Tanzania Huu mvutano wa wanaume na wanawake tuumalize

    Aaa jamani hii nishida nyingine tuitizame katika pita pita zangu huko na huko hili nalo tulitizame WANAWAKE: Jamani hawa viumbe(wanaume) hawatulii kabisa wanajielewa wenyewe WANAUME: Mademu wanazungua majukumu ya baba zao wanatupa sisi hata umpende vipi hawapendeki Kuna thread moja bidada...
  9. JamiiForums Tanzania Italia: Wanawake watatu wauawa kwa risasi katika mgahawa

    Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya. Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tunamsakizia Mbowe na kumlaumu kalamba asali. Tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran

    Tunamsakizia Mbowe na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lissu na Mbowe wafe peke yao. Toka hadharani tupigwe risasi 16. Sisi, mimi na wewe tu maJioga tunajificha kwenye ID fake hapa JF...
  11. JamiiForums Tanzania Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

    Peace be upon you all. Nimekuja kugundua wanawake wenye vijitabia vya ufeminism sina muda wala sitaki shobo nao hata punje. Binafsi ni mwanaume ninaeamini katika jinsia tofauti zenye majukumu tofauti, yani mwanaume ni mwanaume na nafasi yake haiwezi kuchanganywa na mwanamke hali kadhalika...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha nimezalisha wanawake watatu sasa nina watoto 15

    Mwaka wangu huu, nimepiga hat trick nipeni mpira wangu. Asante sana Monica, Alice na Somoe kwa kunizalia. Sasa nimefikisha watoto 15, nashukuru kojo langu huwa halidanganyi, sura ngumu kama yangu. Tufyatue tu jamani.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanawake ambao tuko nao huku mtaani ndo wanawatesa Hadi mnatangaza kujiua au nyie mna-date na HD high definition?

    Maisha ya mtandaoni is series of Dramatically Unakuta eti anateswa sijui na mapenzi au kitu kinachofanania na Hiko . Lakini huku mtaani tunaishi ni Nani Ambaye haoni jinsi soko la wanawake lilivyoshuka . Mimi hapa ndani ya mwaka huu Kuna Mademu watano wenye umri wa miaka 20 Hadi 23 wanataka...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

    Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini. Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But napenda pia wawe na akili. Hapo ndo changamoto kubwa sana. Nlianza urafiki na binti mmoja jumatano...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa siku hizi hawavai hizi nguo?

    Zilikua zinawapendeza ila kwa uchunguzi wangu nilioufanya ,nimegundua siku hizi hawazivai. Shida nini wakuu?
  16. JamiiForums Tanzania Mliooa, hii hali mnaichukuliaje kwa Wanawake?

    Habari za wakati huu, Nipo safarini kwa muda mrefu kidogo, niko mbali na wife. Huyu mke wangu naona sasa anataka kunikera[emoji16], yaani kila muda sms-simu, sms-simu dah Nampigia tunaongea saana, tunapiga stori sana, lakini kila baada ya muda kidogo huyoo kabeep! Nikipiga hana jipya lolote...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuruka mitego ya wanawake

    Wanaume..! anapotokea mwanamke mbele yako, akajilengesha lengesha ili akunase na ukanasika unajionaje? kuingia kwenye mtego wa mwanamke ambae hukumtaka huu ni udhaifu[emoji848] wanaume sasahivi tunatongozwa kwa wingi kuliko tunavyotongoza! unaweza kuishi na mwanamke karibu yako miaka...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume tuwahurumie wanawake ndivyo walivyo

    Ndugu zangu wana jamii forum hasa wanaume ni vema tuwahurumie wanawake...mwanamke hata awe ni masikini wa kutupwa yaani hana kila kitu asili yake ni maringo na dharau...popote pale mwanamke atakapokuwa hujihisi special....tuwahurumie tu ndio asili yao
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonyesha wanawake wanaopata mimba kutoka kwa ndugu wa damu, wao na watoto wao wanatengwa

    Tafiti zinaonyesha Wanawake wanakosa uamuzi wa kuendelea kulea mimba isiyotarajiwa hasa zile zitokanazo na maharimu (kujamiiana na ndugu wa damu) kwani jambo hili halikubaliki na jamii nyingi za Kiafrika. Pia watoto waliopatikana kwa mazingira haya hutengwa na kubaguliwa (Rosemary B. &...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake ni watu Special sana ila basi tu

    Wanawake ni viumbe ambao wameumbwa kuhudumiwa na kuangaliwa na kupewa hadhi kubwa Sana katika jamii Ila basi wanaume ndio hatujielewi. Mwanamke hakuumbwa kuja kupata shuruba hapa duniani Ila Maisha Tu ndo yamewafanya waingie katika mazingira hayo. Kwanza tunaambiwa mwanamke ametokana au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…