wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojifanya wagumu kupatikana kimapenzi, wengi wao hawana mahusiano yenye afya

    Kuna aina 3 unaweza kuwa-group wanawake, aina ya 3 ni wale ambao mtaani wana sifa ya kugawa papuchi karibia kwa kila mwanaume, aina ya 2 majority ya wanawake wako hapa utakuta Akiongozwa anamkubali huyu, anaMkataa yule. Aina ya kwanza ndo wanawake ambao mtaani, wana sifa ya kukataa kila...
  2. JamiiForums Tanzania Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

    Yaani pisi hata iwe kali vipi nikiigonga mara mbili tu naiona ya kawaida sana,siitafuti tena mpaka initafute. Huwa nashangaa kuona watu wapo kwenye mahusiano miezi kadhaa au miaka kadhaa,mnawezaje? Nadhani hili ni pepo mnaosali kwa Mwamposa vipi hili linaweza kukemewa au ndio nitaambiwa acha...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume

    Tafiti zinaonesha wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume. Tafiti hizi zilifanywa na chuo kikuu cha Duke kilichopo nchini marekani. Sababu kubwa zilizotawala katika tafiti hizi ni pamoja na kua Wanawake hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

    Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa. Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa. Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga...
  5. JamiiForums Tanzania Haya makucha huwa yana faida gani kwa wanawake?

    Dada zetu tunajua urembo ni jadi yenu ila haya makucha hapana aiseeeh. Embu fikiria dada mwenye makucha kama haya eti ana ndoto za kuolewa,subutu hakuna mwanaume ndezi namna hiyo akuone na mikucha kama hiyo eti atangaze ndoa hiyo ni big hapana. utapigwa pipe miaka ndenda rudi na hauta sikia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tusiwahukuhu sana wanawake wasomi na ambao wapo vizuri kiuchumi

    Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu. Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume wote pitieni hapa kujifunza kitu

    Kama wewe ni mwanaume na unaamini sifa inayokutambulisha ni ndevu au uzito wa sauti ama kuwa tu na viungo vya kiume,kuna kitu kikubwa umepungukiwa. Labda nikwambie jambo jamaa yangu , umezaliwa kwa sababu na usijisahau kabisa kwenye hii dunia. Unajisahau kwa kuwa unapuuzia vitu vya msingi...
  8. JamiiForums Tanzania Dira2023 Kwa Mabinti na Wanawake; Jipe thamani: THAMANI yako haitokani na Mwanaume

    DIRA2023 KWA MABINTI NA WANAWAKE; JIPE THAMANI; THAMANI YAKO HAITOKANI NA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Kuhani! Na huu ndio ujumbe wenu, enyi mabinti na Wanawake. Hii iwe ndio dira yenu. Jipe THAMANI! Na katika thamani hiyo elewa kuwa sio lazima itokane na Sisi wanaume. Ninyi ni Wake...
  9. JamiiForums Tanzania Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

    ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE! Anaandika Robert Heriel Kuhani. Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40. Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe. Ninapenda kuwausia Vijana...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake na mabinti wengi wana vipelepele na makovu mwilini hasa kwenye makalio?

    Hii kero imezidi sijui ni mimi nakutana nao wa aina hii au ni mnyumbuliko kwa ujumla wake, ni aibu sana unakuta mdada au binti kasura kazuri kana kishepu, salale ikija kwenye kiota cha mnyanduo vipele na makovu kama yote, kwenye makalio ndio usiseme ni hatari. Mimi na kinyaa changu naahirisha...
  11. JamiiForums Tanzania UN yaingilia kati marufuku ya wanawake kusoma Afghanistan.

    Baraza la usalama la Umoja wa mataifa Jumanne limeomba wanawake na wasichana nchini Afghanistan washirikishwe kikamilifu na kwa usawa, likilaani marufuku kwa wanawake kusoma kwenye vyuo vikuu au kufanya kazi kwenye mashirika ya misaada ya kibinadamu, iliyowekwa na utawala unaoongozwa na...
  12. JamiiForums Tanzania No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

    Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu. Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana...
  13. JamiiForums Tanzania Jamii ibadili mtazamo wake kwa mabinti wasiopenda ndoa!

    Habari zenu, Nakumbuka niliwahi ona thread ikizungumzia kuwa mabinti wengi wanapenda harusi kuliko ndoa ndo maana wanaosuka mipango ya harusi asilimia kubwa ni wanawake. Ninavofikiri mimi ni kuwa maisha ya sasa ni tofauti na zamani. Zamani binti ukifkisha miaka 30 hujaolewa ilikuwa suala zito...
  14. JamiiForums Tanzania Iran: Maandamano ya Wanawake yafikisha siku 100

    Kwa idadi hiyo, yanakuwa ni maandamano marefu zaidi dhidi ya Serikali Nchini Iran tangu Mwaka 1979. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Wanaharakati wa Haki za Binadamu (HRANA) inadaiwa zaidi ya wandamanaji 500 wakiwemo Watoto 69 wameuawa. Maandamano hayo yanayohusisha zaidi Wanawake wakiwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake hawajumbiwa ku provide, tutafute hela

    Natumai ni wazima na sikukuu imeenda poa kwenu. Moja Kwa moja kwenye mada,unapotafuta mwenza either Kwa kuoa au ile sogea tukae lengo ni kuukacha ukapela na kupata msaidizi. Inatokea maisha yanakua vizuri tu mwanaume una uwezo wa kulisha familia na ABC zingn hazipigi chenga. Lakini katika...
  16. JamiiForums Tanzania Taliban waamuru wanawake wote wa NGOs kuacha kazi

    Serikali ya Taliban inayoongozwa kwa kutumia sheria za waislamu, imeamuru wanawake wote wanaofanya kazi kwenye taasisi za kijamii waache kufanya kazi mara moja. Juzi waliamuru wanawake wasielimishwe, hizi dini bana, yaani mwanamke huchukuliwa kama takataka, kiumbe fulani hivi kisichokua na...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wajinga ila huyu ni mjinga nambari one

    Alipewa ujauzito na rafiki yangu so ni shemeji yangu. Mimba ilipofika miezi minne jamaa akakata mawasiliano, hakuna sms wala calls wala matumizi . Mimba miezi mitano binti kasimamishwa kazi kwa muda mpaka ajifungue sababu ya complocation za mimba na nature ya kazi. Miezi tisa binti kajifungua...
  18. JamiiForums Tanzania Taliban yazuia Wanawake kufanya kazi Taasisi Zisizo za Kiserikali (NGOs)

    Uongozi huo wa Afghanistan umedai kuwa sababu za kufanya hivyo ni kutokana na mavazi wanayovaa katika taasisi hizo kutozingatia maadili yao. Katazo hilo ambalo limekuja siku chache baada ya Wanawake kuziwa kusoma Chuo Kikuu limekosolewa na Umoja wa Mataifa (UN) wakidai kuwa inakandamiza haki za...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yako, mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi au imepunguza?

    Eti wakuu. Mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi kati ya binadamu au imeongeza kuvumiliana?
  20. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban watumia maji ya kuwasha kutawanya Wanawake wanaopinga sheria ya kuwazuia kusoma chuo kikuu

    Kundi la Wanawake hao wanaopinga uamuzi wa Serikali kuwazuia Wanawake kutosoma Chuo Kikuu wameingia matatizoni baada ya video zilizosambaa mitandaoni zinaonesha waandamanaji wakijikinga na wengine kukimbia kukwepa mkono wa sheria katika Mji wa Herat. Wanawake hao walikuwa wakiandamana huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…