wanawake wazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Case Study: Wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka

    wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri, wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka. Sehemu walizotokea na kuishi miaka mingi wameshakuwa brain washed kuiweka pesa mbele na ukifatilia vizuri kundi hili ndio wamekariri sana msemo wa "Tafuta Hela" , kwao Pesa ndio...
  2. sanalii

    Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

    Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri? Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu. Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
  3. Kipenzi Changu

    Kuwe na "Kifungu cha Kuhonga" kwenye bajeti zetu?

    Jana nilipata laki 5 ambayo haikuwa kwenye bajeti. Nikasema vyovyote iwavyo namtumia maza laki 3 azibe magepu ya Januari. Sasa kuna mtoto mmoja nilimpa namba hakuwahi kunipigia. Nilivyopata tu hela shetani akaingia kazini. Jioni naisikia simu namba ngeni naulizwa uko wapi nije. Mtoto akanikuta...
  4. Kigoma Region Tanzania

    Lubengela village, Kigoma. Kijiji pekee chenye wanawake weupe na wazuri kwa muonekano

    Asilimia kubwa ya wanawake katika kijiji hichi ni weupe na wazuri kimaumbile, japokuwa eneo hili lina mchanganyiko wa makabila ya kimanyema na kiha. Pia kuna wanawake wafanyabiashara kutoka nchini Congo na Burundi kwasababu ni eneo linalo tegemewa kwa uvuvi wa samaki na dagaa. Nyumba ni za...
  5. Midumare Ngatuni Iwato

    Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    1. Warangi 2. Wanyaturu 3. Wameru 4. Wamasai 5. Wasukuma 6. Wachagga 7. Wahaya 8. Wanyamwenzi 9. Wapare 10. Wanyakysa
  6. mdukuzi

    Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

    Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli. Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani. Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo kichwani bali muonekano wao umewabeba. Wewe unayelilia ajira kabla ya kumlaumu Mungu hebu...
  7. Linguistic

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi. Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda. Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na...
  8. Area 56

    Huyu mrembo kwasasa namuelewa sana, Tanzania kuna wanawake wazuri jamani

    jamani kama ni uzuri huyu binti amejaaliwa, kuanzia shape, sura mpaka rangi. Tutajenga kweli kwa mtindo huu? Yuko wapi yule aliyesema Tanzania hakuna watoto wazuri?
  9. KANYEGELO

    Wanawake mnajua muda mwingine mnakwaza?

    Hii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu bure[emoji2219][emoji2219]mtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa milioni mbili,unapanga ndoa ya milioni 20 Wakati wewe mwenyewe hata hela ya suti unategemea uchangiwe...
  10. M

    Hivi wanaume wote wapo kama mimi?

    Sijui nina moyo mdhaifu kila mwanamke Mzuri nikikutana naye najikuta nampenda na natamani kuwa naye, yaani kwa siku nikikutana na wanawake 10 basi nane nitakuwa nimewatamani.
Back
Top Bottom