wanawake warembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Hivi kwa nini wanawake warembo wengi ukimuuliza nikufungulie biashara gani lazima katika biashara hizi 4 ukosi kuambiwa moja wapo

    Sijawahi kusikia mwanamke mrembo kusikia akiniambia kuwa anapenda kufunguliwa duka la vifaa vya ujenzi zaidi ya kuambiwa 1.duka la nguo. 2.duka la kuuza vipodozi. 3.Mini pub. 4.Saloon. Huu ni utafiti nikiwa kwenye usumbufu wa michepuko.
  2. Yoda

    Ufaulu wa mitihani wa wanawake warembo vyuoni ulipungua madarasa yalipohamishiwa mtandaoni wakati wa COVID-19

    Utafiti wa kisayansi uliofanyika huko Sweden unaonyesha ufaulu wa wanawake warembo ulianguka pale ambapo mdarasa na masomo yaliyahamishwa mtandaoni wakati wa janga la COVID-19.
  3. D

    Makabila 10 Yanayoongoza kwa kuwa na wanawake warembo

    1. Wanyaturu 2. Wanyiramba 3. Warangi 4. Wairaq 5. Wachaga 6. Wazigua 7. Wanyakyusa 8. Wagogo 9. Wahehe 10. Wasukuma Kama kabila lako halipo apo usijali litakua kwenye kumi dhaifu. 😃
  4. ngara23

    Baadhi ya wanawake warembo wana upeo mdogo wa kiakili

    Huu ndo ukweli, mtoto anarithi akili za mama, mama akili ovyo kichwani tegemea na uzao wako utakuwa hovyo. Mungu hakupi vyote, huwezi kukuta mwanamke mrembo akawa vizuri kichwani, ana uzuri lakini kasoro yake ni akili. Utakuta wanawake warembo watakuzalia watoto darasani hata umpe mwalimu wake...
  5. Mshamba wa kusini

    Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

    Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri. Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali. Haki ya...
  6. G

    Mnaosifia kupata mke mzuri ni kwa Wahehe na Wabena, hivi mmezunguka Nchi hii? Mabinti wanyaturu, wanyiramba, wambulu (wairaqw) na warangi mnawajua?

    Nchi hii labda kama hujazunguka utakimbilia kuoa wahehe na wabena Ukipata bahati ya kutembelea maeneo haya ni lazima utajitafakari upya Dodoma - Warangi Manyara - Wambulu (wairaqw) Singida - wanyaturu na wanyiramba
  7. Cheology

    Rihanna na Shakila ni wanawake warembo sana

    Katika hawa watu wewe unakwenda na yupi Hawa ndio warembo ambao dah nawakubali sana
  8. ALLENGRACE ADIEL

    SoC02 Siri ya wasanii na wanamichezo kuwa na utajiri mkubwa kuliko wasomi wa vyuo vikuu na maprofesa

    "SIRI YA ELIMU ILIYOFANYA WAKOLONI WAKAFANIKIWA NA WAKATUACHIA ELIMU INAYOTUFANYA KUENDELEA KUWA WATUMWA" ELIMU YA UJUZI BINAFSI, USTADI, UFUNDI NA UBUNIFU NI MAJIBU YA KUWA NA AJIRA, UKUAJI WA UCHUMI, BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA. Unaweza Ukajiuliza, Ilikuwaje wakati wa wakoloni kulikuwa...
  9. Poker

    Wanawake warembo zaidi duniani kwa mwaka 2022 TOP 10!

    1- bella hadid 2- Adriana Lima 3- Beyonce 4-deepika Padukone 5- tuerny TZ 6- angelbaby 7- Aishwarya Rai 8- huddah Monroe 9- Priyanka Chopra 10- Margot Robbie Hao ndio wametajwa kuwa wanawake warembo, wenye mvuto, na maendeleo katika nyanja mbalimbali. Majarida mengi ulimwenguni yamewaorodhesha...
  10. Unique Flower

    Wanaume, kwanini mnaoa wanawake wasio warembo kisha mnafumaniwa na warembo?

    Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo. Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni? Je, tatizo nini? Tuambizane.
Back
Top Bottom