wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wajinga huwaruhusu wake zao kupakwa rangi kucha zao. Ni ajabu!

    Hii ni special kwa wanaume wajinga wajinga wasio jielewa wale familia yake inaendeshwa na mke wake. Hawa mara nyingi sana husema mwanamke kama anataka kukuchiti atachit tu hata kama umchunge namna gani. Wanaume hawa huwapa hela wake zao wakafanyiwe massage 💆‍♀️ (waogeshwe na mwanaume mwingine)...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

    Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa, mimi nina Perfume Nail cutter Lotion Body spray Lip gloss Aftershave Tweezers bila kusahau mafuta ya nywele So what am I missing here?
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake: Tatizo wanaume hawana uvumilivu

  4. JamiiForums Tanzania Kiduku wa Korea kaskazini kwenye pigo za wanaume USA ama Israel huingia chimbo kijificha

    Rais korea kaskazini ni comedian Sana Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣 Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁 Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

    Hebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ...... 1. Namjua John, Alikuwa afisa biashara Halmashauri kubwaa, matajiri wakawa wanamfata na kumtafuta ili mambo yao ya kwenye biashara yaende. John alikua na connection BRELA, TBS, TRA, kifupi taasisi 15 zinazosimamia biashara. Ghafla...
  6. JamiiForums Tanzania ‘Who are you’ naona wanaume wakikutaka. Endelea kujichomeka

    Wahuni sio watu. Wajua hali haitabiriki. Wameandaa mpango wa kumtelekeza mateka wao. Tayari ajua ameingia kwenye kumi na nane za wahuni. Hajui atokeje. Walahi hii mambo hii yachekesha. Na bado
  7. JamiiForums Tanzania Nicholas Irving, sniper wa jeshi la USA: 80% ya wanaume Afghanistan wanalala na wanaume wenzao, hujihusisha na wanawake kuzalisha ila sio kimapenzi

    https://youtu.be/JckpoXyX2M0?si=UjLYhvyAVyHHVS_R
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake nyuma ya pazia kuna wanaume wengine wengi wanao mfatilia

    Usimuamini sana mke wako na hata mpenzi wako , kama una mke basi jitahidi uwe na wake 3 mpaka 4 na ukiwa na mpenzi jitahidi uwe nao kuanzia wa 4 pamoja na michepuko mingi tofauti na hapo ni ngumu, kwa sababu wanawake wa siku hizi hawaeleweki wanatongozwa sana mitaani na hawajui kukataa
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wa Pwani na visiwani Pemba na Unguja wanapenda kupika ukilinganisha na wa Bara?

    Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni. Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu. Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa. Mumejazana forozani huko.
  10. JamiiForums Tanzania Nguvu ya uwanaume inapotea kwenye jamii, wanaume tufanyaje?

    Wakuu habari za jioni hii. Hili ni andiko huru kwa watu huru, wa jinsia zote, na mlengo ni kuwekana huru kifikra. Mwanaume tokea Karne za nyuma anafahamika kuwa na sifa za uongozi kwenye Dunia, kuongoza nchi,kuongoza jamii na familia. Kitabu Cha mwanzo kinaelezea vizuri role ya mwanaume...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute pesa,Sura yako sio kigezo kwa mwanamke

    Hoya jamaa kama angekuwa maskini sijui ingekuwaje. Julius Malema with his wife at Victoria Falls .
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?

    Tusemezane Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunajidanganya kuwa soko letu kwa wadada ni kubwa tukiwa na miaka 29-35 na kuendelea ila uhalisia sio huo

    Wana Jf salaam Nikipita pita kwenye mitandao naona wanaume wengi tunajifariji tukisema mwanaume anakubalika zaidi na wadada akiwa na miaka 30 kwenda juu, ila that's not a case, hata wanaume mvuto wetu huanza kupungua sana tukifika miaka 30+ Mwanaume utakua na soko kwenye miaka 30's kwenda...
  14. JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu wanaume mnaoimba kwaya. Wenzenu yametushinda

    Nadhani moja ya kazi ngumu kabisa kwangu ambayo siwezi kufanya ni kuimba kwaya pamoja na kushona sare hasa za vitenge!. Wanaume mnaimba kwaya mnastahili pongezi mwenzenu yameshanishinda. Ile kusema tu nawahi zoezi la kwaya Daaah huwa nikisikoa mwanaume anasema hivyo hadi nastuka! Kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume: Usiwahi tamani kuijua the "darkest" side ya mwanamke wako

    You're not as strong as you think. Uzi tayari
  16. JamiiForums Tanzania Road masters! Wanaume kazini

    Mtiririko wa videos za njia ngumu na shuruba wanazokutana nazo madereva Wewe kama unajifanya ni dereva mahiri hawa sijui watasemaje https://www.facebook.com/share/r/1AtAULYApA/
  17. JamiiForums Tanzania Mkombozi wa wanaume

    Katika zama hizi, wanaume wanapotia magumu sana. Wapo na insecure sana. Kuna matabaka kibao. Hawa wanaogopa kuoa, hawa wanawachukia wanawake, hawa wapo jela sababu ya wanawake wengine mpaka wanawaza watapata wapi wake bora. Majibu ya maswali haya ni magumu sana kuyapata. Ila utafiti unaonesha...
  18. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume tu

    Habari zenu wanaume wa humu ndani. Natumaini hamjambo kabisa. Leo nakuja na Uzi huu maalumu kwa akili yenu. Kuna watu watanielewa, watanidharau, watanipinga na wengine wataguswa. Twende kwenye mada. Ukiachana na kubeba shingo upara katikati ya miguu yetu ila kuna tabia hizi hapa ambazo lazima...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania (Tanganyika) tumekubali Samia kupendelea kuharibu ustawi wa nchi yetu kwa maslahi yake binafsi?

    Sote tumeona na kushuhudia kwa maneno na matendo yake akiharibu hii nchi kwa kila namna anapopata nafasi, na kila akipata nafasi ya kuongea na tukifikiri atajirekebisha bali amekua ni mtu wa kuvuruga nchi yetu zaidi na zaidi. Samia hana uzalendo, huruma, uchungu wa aina yeyote kwa watanganyika...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnaongea na binti zenu?

    Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ? Siku moja nipo saloon Alifiki binti m,moja Baada ya kuketi Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi HER > GOOD MORNING DADY HIM > MORNING DOTAA HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ? HER > SIM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…