wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TUONGEE KIUME: Neno mwanamume linavyotuumiza wanaume

    Ulipokuwa mtoto, ukiumia, ukaanza kulia, kama utabahatika kuambiwa pole basi neno litakalofuata litakuwa ni “Nyamaza, wanaume hawalii.” Labda waliotulea walikuwa na maana nyingine, lakini iwe kwa kujua au bila kujua na sisi watoto wa kiume tumeelewa kuwa walikuwa wanamaanisha mtoto wa kiume...
  2. Wanaume wenye tuvitambi tudogo mna pepo yenu

    Kwanza hamna papara, pia huwa naenjoy kushika katumbo ka mwanaume kakiwa kadogo, pia hamnuki nuki kama wengine. Pia mna mionekano fulani hivi, wooow! Nzuri ni ukimpata sponsor mwenye ka kitambi kadogo ambako akivaa nguo akichomekea nguo inamkaa, weeeee😋 Nyie wengine wenye mavitambi kama...
  3. Wanaume wabinafsi

    Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho. Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao. Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu...
  4. Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha akitoa darasa kwa mabinti na wanawake. Wanaume mnasemaje kuhusu hili!?

    Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili. Usipotumia akili unaweza kuachwa sababu ya kukosa kazi na unaweza kuachwa sababu una kazi😁😁😁 Sisi ndio wanawake 😅😅 Cc...
  5. Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu?

    Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu? Karibuni sana mnielimishe juu ya hili.
  6. Dawa za kuongeza nguvu za kiume zakua dili Urusi, wanaume wana msongo balaa

    Maisha yanazidi kuwa magumu Urusi, jameni Putin ameliingiza taifa pabaya.. Putin's invasion of Ukraine IS a flop: Erectile dysfunction pill sales surge in Russia – with young men of conscription age suffering extreme stress Russian spending on erectile dysfunction drugs surged 75 per cent...
  7. Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

    Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua. Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother? Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers? Hebu tujaribu...
  8. R

    Kumbe kupiga vita mapenzi ya jinsia moja inawezekana; wapo wapi wanaume waliokuwa wanajichubua na kulegeza viungo kwenye mitandao na TV?

    Hongera vyombo vya dola Kwa kuwafikisha kwenye vyombo vya dola waliokuwa wanajibadili jinsia na kukubali kuingiliwa. Wanaume waliokuwa wanajichubua na kufanyiwa masaji walegee wamepotea mtaan, wanaume waliokuwa wanalegeza sauti kwenye jamii sasa hivi sauti lazima ikaze wasikamatwe; wanaume...
  9. M

    Wanaume mnatoa wapi ujasiri wa kushare Mwanamke?

    Hiki kitu nataka niwaulize wanaume wenzangu, inakaaje unafahamu mwanamke flani anatoka na flani na wewe anampangia foleni unapiga hivi huwa hamna kinyaa? hivi hamkumbuki stori za ngoma, mwanao anapiga kesho...
  10. Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

    Watajwe na wakamatwe na kufungwa kifungo cha maisha. Hii ndio itaondoa hii dhahama ya ushoga na ulawiti Tanzania WATAJWE, WAKAMATWE NA WAFUNGWE JELA ULAWITI, USAGAJI NA USHOGA HAUKUBALIKI TANZANIA Asante cocastic
  11. Asilimia 90% ya wanawake na wanaume wanaoshabikia Simba na Yanga hawajui mpira

    Mashabiki wengi wa Soka la Tanzania especially kwa mashabiki wa Simba hawajui mpira. Wameijua Simba kipindi cha mafanikio ukiwauliza mwaka 2017,2016 nk, Simba ilikuwaje au Ina kikosi gani mtu hafahamu. Kuna shabiki mmoja Simba tumebishana sana hajui kama Azam ashawahi kuwa bingwa wa ligi...
  12. M

    Wanaume acheni ubabe kwenye kupima afya zenu

    Bado baadhi ya wanaume wanashindwa kupima afya zao wakitegemea majibu kutoka kwa wenza wao. Hali hii imekuwa ikiwaumiza wanawake wengi hasa wanawake wajawazito bila ya kujua wafanye nini Ili kuwafanya wenzao wao wawe na muamko wa kupima afya zao. "Nilipomuambia mume wangu inahitajika mimi na...
  13. B

    Gachagua: Transfoma za Wanaume Mlima Kenya zimezima kwa sababu ya pombe

    Nyeri, Kenya Naibu Rais ameachilia kombora la utani kwa wanaume wa eneo la Kati, akidai wameshindwa na majukumu muhimu ya ndoa kwa sababu ya kutekwa na ulevi. Bw Gachagua alisema wanaume wa Mlima Kenya wamekuwa mateka wa pombe, hasa ile haramu. Alisema athari za pombe zimewalemea kiasi cha...
  14. B

    Wanaume acheni kuzaa watoto Nje ya Ndoa mnawatesa viumbe wasio na Hatia

    Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika. Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula kwa tabu, kuvaa mtihani na shule ndio kabisa wamepoteza mwelekeo. Kipindi kama hiki cha mvua...
  15. Wanaume wanaovujisha wanawake Video za Uchi, Nani Kawaroga?

    Hivi wanaume nyie ni nani kawaroga? Mimi kama mwanamke nimeumizwa sana na nitaendelea kuumizwa kila nikiona wanaume wanavujisha video clip za wanawake wenzangu wakiwa watupu chumbani wamelala. Hivi mwanaume lijali unayepiga paipu papuchi na ikapigika kisawasawa haswa huo muda wa kumrekodi...
  16. Nawakumbusha tena wanaume tutafute pesa

    Wakuu tuache mbamba Mademu wazuri kuwala ni pesa sasa usijifanye unalia lia tu hapa wakati kinachotakiwa ni pesa. Pesa pesa pesa pesa pesa pesa Shauri yako kama unatafuta vipesa unahonga. Wewe tafuta pesa wao watakuja wenyewe acha pesa iongee mzee na siyo wewe uongee au kunyanyua kinywa...
  17. B

    Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake?? Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna...
  18. Wanaume wa leo tutimize majukumu yetu ipasavyo..

    Salaam wakuu! Mimi kama mwanaume natoa haya.... Wanaume wa siku hizi baadhi yao ni kwamba tunafail sana yaani, Ona hizi kero. Wanaume wengi ndani ya ndoa hawatoi mahitaji, wanaachia wakina mama kila kitu afu wanataka wasikilizwe hilo haliwezekani. Mwanaume ukiombwa pesa na mwanamke unavunga...
  19. Kwenye ndoa kuchapiwa kunasababishwa na wanaume wenyewe

    Kila kitu huwa kina hatua, baya huwa haliwi tu baya bali huwa linanza na zuri lenye kasoro, maana yake ni kwamba ndoa mbaya huwa ni matokeo ya ndoa nzuri yenye kasoro. kuchapiwa kwa sisi wanaume huwa kunaanza na hatua zifuatazo. Miaka miwili ya wanandoa kuwa pamoja, huwa ni yenye furaha sana...
  20. Nimehamisha meseji za simu ya binti niliedhamiria kutoka nae, hayupo kama nilivyodhania. Ni mzinzi anayepanga wanaume bila wao kujua

    Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe. Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…