wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake huwa hawaombani pesa kama sisi wanaume ?.

    Kwetu wanaume ni suala la kawaida kabisa kusaidiana pesa japo inabidi uwe na hoja ya kuweka msisitizo kwamba una shida ama utairudisha. Kwa wanawake hali ni tofauti, wao kupeana pesa huwa ni ngumu sana, watachekeana huko lakini kwenye mambo ya fedha pana kigingi
  2. JamiiForums Tanzania Tusilaumu mabinti wanaokwepa wanaume maskini, ndoa za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, upo tayar binti yenu aolewe na maskini?

    Walengwa ni mabinti wenye soko kubwa chini ya miaka 28 Kwa ulaya na Marekani mambo ya kuhusisha familia hayana uzito, hata binti aolewe na kapuku hayo ni maamuzi yake na atapewa kila baraka. Shida inakuja kwetu Afrika 1.familia ya binti ipo vizuri kiuchumi, binti, kaka, dada na wadogo zake...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume tumekuwa hatuna sauti mbele ya juju

    Karne zinavyozidi kwenda wanaume wamekuwa ni viumbe wanyonge sana. Unaweza kudhani ni Ngojera au hadithi maridhawa, kumbe ndio uhalisia wenyewe. Hawa wanawake wengi wanaongoza kwa kupiga vipapai waume zao, kwa Kinaijeria tunasema "Juju", jambo linalopelekea wanaume wengi kuwa wanyonge ndani ya...
  4. JamiiForums Tanzania Aina gani ya wanawake wanapenda wanaume wafupi?

    Mwanamke mrefu anapenda mwanaume mrefu. Mwanamke mfupi, anapenda mwanaume mrefu, Sasa mwanaume mfupi atapendwa na nani?
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume wasiishi bila mweza, inapunguza unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile. Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za ngono na kuanza kuwashika shika sehemu zao za siri. Ndio maana sehemu nyingine hawapendi kuona...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

    Habari zenu wana JF. Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana. Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo mmoja aliyenizidi sana umri, wakati huo nilikuwa nina miaka 22, yeye alikuwa ana miaka 38, Aisee...
  7. JamiiForums Tanzania Rombo wanaume walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao

    Wanaume wilaya ya Rombo walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao bila ridhaa yao. Wakuu sikilizeni wenyewe. ===== Wanaume wanaoishi pembezoni mwa Mto Mlembea, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelalamika wake zao kuvamiwa na nyani wa kiume na wakati mwingine kuhatarisha usalama...
  8. JamiiForums Tanzania Namna gani unaiba mademu wakali wakiwa na wanaume zao mabishoo sehemu za viwanja./Bata

    Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu. Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula...
  9. JamiiForums Tanzania Weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs) chanzo cha wanaume wengi kutembea na wasichana wadogo

    Mwanaume unaweza kusex na mwanamke mwenye weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs)? Kama unaweza basi jua wewe ni jasiri ambae unaweza hata kutafuna jongoo. Binafsi siwezi kabisa labda kwa mkwassa (bastola) mbaya zaidi awe pia na stretch marks kwenye mapaja coz nitamuacha right away...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wadada, ndo kusema wanaume wa kuwahonga siku hizi hamna au

    Juzi kati nlikua baa moja ndogo kwenda kupata msosi wa jioni for 1 week mfululizo, sasa mm nikiwa kwenye kumbi za "starehe" hua napenda kuangalia inter gender interaction between male and females.. kuna kibinti ni baa medi anafanya kazi hapo ni mzuri wa kawaida, ana kaumbo kadogo na kashepu...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake badilkeni Wanaume wa Siku hizi hatupendi hiyo Mishanga yenu mingi Viunoni, bali tunataka kuona Ubunifu wenu katika Tendo ( Mbanduano ) sawa?

    Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano ( Kutiana ) Na kuna Wengine mnavaa hizo Shanga zenu halafu mmebweteka na Kuzubaa tu kama Beki za pembeni...
  12. JamiiForums Tanzania Tatu Bila ya TMK Wanaume Halisi Vs Dar mpaka Moro ya TMK Wanaume Family ipi ngoma kali

    Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi. Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili. Tatu bila ya Tmk wanaume halisi VS Dar mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania Umenitumia weee, ukanioa, alafu umeenda kunitupa shamba, hivi wanaume mkoje

    Jaman wanaume mnaitwa huku Mmemtumia dada WA watu alafu mkamuoa Mlipomuoa mkaenda kumweka aishi shamba Kwani wakati mnamtumia mlitumia akiwa shamba au unaona alikaa mjini wenzio watafaidi? Wanaume mkoje lakini?? NYUZI ZANGU ZINGINE: Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha...
  14. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Wanaume walioa wanawake micharuko wote wameishia kufa maskini wa kutupwa

    Hello, Nichukue fursa hii kuwaasa waluojipumbaza kwa kushabikia kuoa na ndoa, kama mnapenda sana kuoa basi chunga sana wanaume wanaoingia mkenge Kwa kuoa wanawake micharuko wengi wameishia kufa maskini wa kutupwa. Epuka kuisha kama ngedere na ukazeeka na kufa maskini kataaa uzombi wekeza...
  15. JamiiForums Tanzania Umaskini wa familia unatokana na Baba dhaifu, na umaskini wa taifa unatokana na Wanaume Legelege

    UMASKINI WA FAMILIA UNATOKANA NA BABA DHAIFU, NA UMASKINI WA TAIFA UNATOKANA NA WANAUME LEGELEGE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimekosa Lugha itakayoweza kuelezea Jambo hili zaidi ya niliyoitumia. Ikiwa kuna yeyote mwenye moyo mwepesi, ambaye si mhimilivu wa Lugha kali basi nashauri...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

    Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na...
  17. JamiiForums Tanzania Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

    UNAAMBIWA Lionel MESSI hajawahi kumgusa mwanamke mwingine zaidi ya mkewe Antonela Roccuzzo aliyeanza naye mahusiano tangu utotoni huko Rosario, Argentina. Mnamo 2017, Messi na Antonella walifunga ndoa iliyotajwa kama ‘ndoa ya karne’ na kujaaliwa watoto watatu Thiago, Mateo na Ciro. Raccuzzo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni mchungu na asiyeubali ni mtumwa wa fikira. Wanawake na Wanaume hili mnalijua?

    Kwanza kabisa niwape pole wale wanaopitia changamoto za mahusiano. Poleni sana Ila wakati mwingine poleni kwa kujitakia. Tatizo watu wengi hutengeza tatizo na baadaye mnakimbilia JF kuomba huruma. Leo tuambizane ukweli ulio mchungu, wanawake 90% hawateswi na waume zao bali wanatengeneza...
  19. G

    JamiiForums Tanzania kawanini kazi hizi wanaume huwaza sana ngono, ni utamaduni wao au?

    Yani usipime, ngono ni kama ibada, sio wote lakini ni wengi Madereva wa malori, tipa, wachimbaji wa madini wajenzi wa nyumba
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume kila kitu ni ghali, si nguo, viatu wala mabegi, hatuna pa kupumulia!

    Jamani sisi wanaume tumechoka kutafuta affordable decent clothes, shoes, bags even designer clothes. It seems watu wanawaza wanawake tu wakidhani hao ndio wakuvaa nguo tu na kupendeza sisi tuwe kama vichaa tu. Designers ndio kabisa, walishajiweka ku deal na nguo za men but exclusively women...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…