wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kilio cha wanawake wengi kuhusu uwezo wa wanaume kutiwaridhisha kimapenzi ni athari za kufanya ngono na jini

    Kwa mujibu wa mtu mmoja aliyejulikana kama pawa mabula,mtu aliyeganya maonesho ya nguvu zake miaka ya nyuma zilizokuwa mithili ya nguvu za Samsoni wa kwenye biblia,ni kwamba yeye binafsi alitumia majini 100 kumsaidia kufanya yote hayo. Akihojiwa wakati fulani wa uhai wake,baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnisaidie naenda kupoteza mchumba

    ..
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

    Mara nyingi utasikia baadhi ya wanawake wakisema wanapenda sana watoto weupe ili wawanyoshe watesi wao yaani wasifiwe watoto wao wazuri. Lakini cha kushangaza, ukiangalia uchaguzi wao wa wapenzi wengi bado wanapendelea wanaume weusi kuliko weupe kwamba weupe hawako romantic hawawavutii. Sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Ukichunguza ni kweli tofauti ya wanaume na wanawake.

    Sisi wanaume ndio washiriki wazuri wa kwenda chooni kukojoa. Ila wanawake unaweza kukaa naye zaidi la saa moja hata kwenda chooni uwezi kumuona. Mfano yale mavazi wanayo vaa mpaka unajiuliza hivi anawezaje kuvumilia kubanwa na mkojo. Hii mada nimekuta wanawake wanatusema sisi wanaume kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye ugonjwa wa Tezi dume vijijini wanakosa matibabu ya ugonjwa huo kutokana na umaskini

    Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume. Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye ugonjwa wa Tezi dume vijijini wanakosa matibabu ya ugonjwa huo kutokana na umaskini

    Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume. Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wa JF ambao mmeshajenga, IGWEEEE....!, nilikuwa na nafasi hio miaka mi-5 iliopita ila niliishia kufanya anasa huku najipa moyo

    Anasa ni zimwi linalokunong'oneza kwa sauti ya upole kuwa "gusa tu kwa leo alafu basi" Masikini kumbe unaisha. Mishe ya kukupa mtonyo kumbe ni kama maua. Sio wanawake wenye MAKEBO makubwa, sio clubbing na pubbing, sio kutafuna jagina zile za telegram, nakumbuka kupita na zungu kama hajawa...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume waoga kumtetea Lissu ila wanawake wanaweza

    Wanaume mtu anafikishwaje mahakamani mnasimama Kupiga picha tu na kusokota nywele? Lissu wanawake wana uwezo wa kuzuia kila kitu na akaachiwa
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wanaogopa kuwapa wanawake hela? Wapeni hela nao wawape

    Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa ! Kwa sasa kupata mwanamke 1. Kuwa na Pesa 2. Cheo 3. Kipaji 4. Muongo muongo kwa ahadi Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa Sasa ni nipe nikupe Nimegundua...
  10. JamiiForums Tanzania wanawake wana dirty mind kuliko wanaume, ila wamebobea zaidi kuificha

    Wengi wamezoea kuamini wanaume ndiyo wanaotawaliwa zaidi na mawazo ya kingono. Mimi sioni hivyo. Ukiangalia baadhi ya majukwaa ya watu wazima mtandaoni hasa yale ya live sex streaming km Chaturbate ,Stripchat, LiveJasmin ,BongaCams ,CamSoda ,MyFreeCams utaona kiwango kikubwa cha ubunifu, mitindo...
  11. JamiiForums Tanzania Suari za Kike zinachora “V” , Je wanaume huwaza nini?

    Wanawake tunapovaa Suruali, hapa mbele hujichora alama ya “V”. Je, wanaume huwaza kitu gani? Iwapo sisi tukiona zipu zao za suruali ni ndefu tunapata mawazo na msisimko je wao wakiona mchoro wacha tu zile pajama huwaza nini? Tuwaache na shida zao tusijali au turudi kuvaa sketi na undersketi...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume Kuna muda tunashikwa off target 💀💀

    Unakuta uko na Dem wako halafu kumbe haujazijua code.. unakuta mwanamke mkigombana kidogo anakwambia Jaribu unipige uone... Kumbe mwanamke huyo ni zile type zile za "chock me daddy" mara "spit to my face Daddy" mara oh slap me 😩 😩.. yaani vurugu mechi dadeki....huwa tunajifanyaga tunawajua...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

    Fresh wakuu? Mficha maradhi kifo humuumbua. Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole. Note:majukumu yake kama mwanamke...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu ngoja niwaambie kitu: Mwanamke atakayekubali kuwa chini Yako na kukusikiliza ni yule uliyemzidi Kila kitu tu

    Ngoja nipumzike siasa kidogo jioni hii: Unaishi na mwanamke ambaye mpo sawa almost Kila kitu usitegemee atakuheshimu kwenye ndoa, utabaki unalalamika ana kucheat na huna cha kumfanya. Kwa mfano: Salary advance mnaomba wote, kikundi/kikoba mnacheza wote, kwanye gari nauli mnabisha wote🤣, jero...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbe Wanawake Wembamba wanaenda gym kutafuta wanaume!

    Imenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume. Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake. Mimi siku zote najua gym ni sehemu ya mazoezi. Ama kweli tembea uone. Siwezi ruhusu Mke wangu aende gym.. Labda twende wote.. Ni...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanaona ugumu kumsifia mwanaume mwezie kama kapendeza au ni mzuri?

    Yani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni nini? zaidi naona kama wengine wananionea wivu namna ninavyoshombokewa na watu. kwanini?
  17. JamiiForums Tanzania Wakati kataa ndoa mnakomaa, wanaume kamili Wali enjoy Father's day

    Hivi huwa najiuliza what do men live for? Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame? Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment. Nothing beats a better family, a better wife, with children. No money, no accolades, no fame can ever buy it. Chekini real men wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ameumbwa kiasili kukubali kushea mwanaume na wenzake tofauti na sisi Wanaume ukindua unachapiwa roho inakaribia kuchomoka.

    Ndio maana hata sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa ya mume mwenye wanawake wengi lakini sio ndoa ya mwanamke mwenye waume wengi. Hii ni kwa sababu wao wameumbwa kukubali kushea mwanaume. Tofauti na wanaume.
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume tuelewe: Kama sisi hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja. Vivyohivyo kwa wanawake. Hakuna mwanamke anayeridhika na mwanaume mmoja!

    Habari za Sabato! Saikolojia iko hivyo. Kihisia na kiakili mwanaume na mwanamke hawana tofauti yoyote ile. Wanawake wana wivu kama tulivyo wanaume. Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume. Jinsi mwanaume ukikutana na mwanamke mwenye mvuto unamtamani licha ya kuwa una mke na watoto...
  20. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume kumiliki wanawake zaidi ya mmoja haileti uhaba wa wanawake kwa wanaume wengine?

    Hili suala la baadhi ya wanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja nafikiri ni tatizo kwenye jamii. Uwiano (ratio) wa wanaume kwa wanawake duniani ni wanaume 101 kwa wanawake 100 au takribani 1:1. Hii ina maana baadhi ya wanaume wakiwa na wapenzi au wake wawili au zaidi inaharibu mzani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…