wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume ushawahi kuwa na girlfriend ambaye unaona aibu hata kumtambulisha mbele za watu

    Habarini, Katika harakati za kutongoza kama mwanaume unaeza jikuta wanawake wa type yako hawakutaki, unaishia kupata ambao sio type yako. Ili kutoa ukame, una date na mdada asie type yako, ila hata kumtambulisha kwa ndugu na marafiki kama huyu ni girlfriend wangu, unaona aibu, hata kuongozana...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume tukatae kufa mapema kwa sababu ya wanawake

    Kuna wakati huku mitandaoni kulikuwa na takwimu zilikuwa zinatembea za idadi ya watu wakubwa ambalo wamefariki na kuwaacha wake zao wanaishi tena kwa miaka mingi baada ya waume zao kudanji. Zile takwimu zina mengi sana ya kuelezea ni basi tu mambo ya mitandaoni tunayachukulia kwa mzaha. Wanaume...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake zama hizi kucheza kwa kubinua na kutikisa makalio kuna namna wanaume tumefeli au ni mashetani yao tu?

    Hello members, nawasalimia kwa vibes za jukwaa tukufu, jukwaa linalohuisha maisha yetu na linatufanya tuishi bila stress. Nawakariibisha kwa majibu, maoni na mtizamo kuhusu wanawake kubinua na kutikisa makalio hovyo kila pahala, hususani kwenye sherehe, matamasha, kupost video mitandaoni na...
  4. JamiiForums Tanzania Timu ya taifa ya wanawake Iran yaondolewa michuano ya ASIAN CUP baada ya kuchezesha wanaume

    Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne. Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake hawapendi wanaume walio single?

    Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume wasiojiamini(insecure) ndio wanashadadia zaidi (wako obsessive) kupata wanawake bikira.

    Ukiona kijana wa kiume au mwanaume mtu mzima kila mara anaongea "wanaume ni muhumu kuoa wanawake mabikiara" , mara siku hizi bikira ni adimu sana na upuuzi mwingine kama huo mara nyingi huyo mwanaume hajiamini/ana insecurity inayotokana na kipato, domo zege au uwezo duni wa kufanya mapenzi na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume tusiwazoeshe pesa nyingi wanawake na watoto pesa nyingi

    Ni ijumaa! Nzuri maridadi kabisa Mungu nasi tena kumekuwa na Kasumba ya kuwapa fedha nyingi wanawake na watoto wetu kimsingi ikiwa tunatumia lile neno "hutaki wateseke kama wewe kwa hussle ulizopitia ni kweli" lakini utakuja kugundua kitu kimoja pesa ni mwanaharamu sana Ukiizoea sana...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea Wanaume kuchepuka

    Salaam, Kuchepuka kwa Muktadha Wa Andiko Hili ni Kile Kitendo Cha Mmoja kati ya Wanandoa Kushiriki Mahusiano Mengine njee Ya Yale Mahusiano Rasmi Yanayotambulika. Simaanishi Mahusiano Kabla ya Ndoa,, Huko hakuna Kuchepuka kwa sababu Hapo hakuna Mwenye Haki Halali juu ya Mwenzie. Huo labda...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ni miongoni mwa sababu zinazopelekea wanaume kufa mapema.

  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya? Je wanakuwa wanapenda au ni matapeli tu?

    Dada: money penny nisaidie Money penny: ndio boss Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa Money penny: ndio boss Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto tunazokutana nazo wanaume wanene faragha

    Kama mwanaume, ambaye ni mnene, naumia mno, ila ndiyo hali yangu na siwezi ikwepa. Badala yake naweza i mitigate Changamoto nazokutana nazo faragha ni hizi, kushindwa baadhi ya stahili kama vile chuma mboga. Kushindwa, kuwa mwepesi na hii kupelekea, wife kuendesha yeye kila muda. Kimsingi wyf...
  12. JamiiForums Tanzania Mabasi ya mikoani inabidi muwe na muda maalum wa kuwasha na kuzima TV

    Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu. Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
  13. JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa wanaume kuwanunulia chakula wapenzi wao halafu wao kubaki njaa unaitwaje?

    Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo...
  14. JamiiForums Tanzania Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

    1. Asiekunywa pombe (sio mlevi) 2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano) 3. Asiekua na hofu ya Mungu 4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa) 5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake) 6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi ni wavumilivu kwenye maisha kuliko wanaume

    Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki. Tumeumbwa kuvumilia Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta...
  16. JamiiForums Tanzania Mbona wanawake ndio wanaongoza kwa kushauri wanaume kuoa?

    Naendelea kukusanya data kila siku. Ukikaa na wanaume huwezi ukasikia wakimshauri mwanaume mwenzake kuoa mara kwa mara lakini kinyume chake wanawake wamekuwa washauri wakuu wa vijana waliofikia umri wa kuoa kwamba oa oa ♫︎♫︎♫︎♫︎ kama wimbo sasa sijui kwa nn wao ndio washauri wakuu siku hizi...
  17. JamiiForums Tanzania "Karibu Karibu Ndugu Jela ni ya Wanaume," Field Marshal John Okello Anamkaribisha Abdilatif Abdulla Kamiti Prison

    Nimekuwa na Abdilatif Abdulla London, Berlin, Humburg, Mombasa na Dar-es-Salaam lakini Dar-es-Salaam mara nyingi kuliko huko kote kwengine. Nimekaa nyumbani kwake Humburg. Kote tunapokuwa pamoja mazungumzo yetu ni vitabu na uandishi. Siku zote sijasahau kumkumbusha kuhusu kuandika kitabu cha...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume watu wazima hupenda vibinti vidogo?

    Kumekuwa na kasumba ya wanaume wa umri mkubwa kuruka na mabinti wadogo umri wa binti zao kingono. Jamii kwasasa imeikubali hii tabia na kuifanya kuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida wakati si sawa. Ukichunguza utaona hawa wanaume wanatarget watoto ambao hawakustahili kabisa kuingia kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wivu kupitiliza twaundiwa kifaa! Heko SIDO!

    Kifaa kinajieleza. Funguo zinabak maskan! Huduma inabak ya mmoja tu!. Unatafta hela kwa aman ya nafs, mwili na roho. Unapata watoto wa nyonga yako tu. Unafanya style zote bila hofu ya maambukiz. Unatunza kwa roho nyeupe, mana ni chako tu. CHANGAMOTO: 1. wenye master key 2. Muundaji kuacha...
  20. JamiiForums Tanzania Sifa Mbili pekee ndizo hufanya Wanaume wawaite Wanawake Malaya, sio ajabu Mume kumuita Mkewe Malaya hata kama Mkewe hafanyi ufuska.

    SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo àmbayo Wanawake wengi hawapendi uwaite ni kumuita Malaya, lakini kingine kumuita MCHAFU. Yaani ukitaka Mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…