wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao utakuwa ni wanaume vs wanawake.

    Watawala wetu siku zote na muda wote wanataja wanawake, wanawake, wasichana, wasichana muda wote kwenye mipango yao. Wanaume na wavulana hawasikiki hata kidogo. Kama atajitokeza mgombea mwanaume anaeaminika (sio Lissu) patachimbika. Vijana wa kiume wanavuja damu kwenye mioyo yao. Hawajisikii...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi sio malaya kama jamii inavotaka kutuaminisha

    Weekend yenu vipi, Kuna stereotype ipo kwenye jamii inayosema kuwa kila mwanaume ana michepuko 5 kwenda mbele, kiuhalisia kwa ground mambo hayako hivyo. Wanaume wengi tunapenda kulala na wanawake wengi tofauti, ila wenye uwezo wa kufanya hivyo ni wachache Wanaume players wenye uwezo wa kuwavua...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaovaa hivi chukueni maua yenu

    Wanaume mnaovaaga hivi chukueni maua yenu 💐💐💐💐 mnapendezaga sana mnakua sexy. Hapa wanalengwa wanaume warefu wembamba wasio na kitambi. Kama wewe una kitambi au mfupi alafu unavaa ivi haya maua hayakuhusu pita hivi ↪️
  4. Simeone

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa namna hii wanapendwa sana

    Kwema wakuu, Hebu tujadili kidogo, wanaume wa namna hii mbona wanaongoza kwa kupendwa na wadada?
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kikao Cha Wanaume: Mwanamke wako alifanya nini ukaanza kumchukulia poa?

    Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya nyumbani (pesa ya matumizi kulipa deni la Muha)
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa Wanaume wote

    1. WADANGAJI hawajawahi kuwa na huruma na pesa zetu hata familia zetu. 2. WADANGAJI hawajawahi kuwa na upendo siku ambazo mifuko haina kitu. 3. WADANGAJI hawawezi kukuletea uji ukiwa hospital au kuja kukujulia hali 4. WADANGAJI hawana huruma na watoto wako atakukwapua kila kitu 5. WADANGAJI...
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mwanaume aliyelelewa na mama tu sio mzuri sana kwenye kupanga naye mikakati kama wanaume

    Hapo vip! kiukweli binafsi hili limenitokea mara kaza,kuna jamaa huwa napanga naye mikakati mara nyingi na sometime hata nampotezea ananitafuta mwenyewe ila kila nikiweka naye mkakati sereous,anabadilika from no where au anayeyuka tu na kupotea baadaye anakuja kwa njia nyingine. Nikaanza...
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nina wanaume wawili, na wote wanataka kunioa

    Labda nikufafanulie kidogo. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo anampa kila kitu. Hata kufanya kazi hataki, kwani ameshapewa nyumba na mama yake na mama yake anataka...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wana tabia hii?

    Katika maisha ya kawaida binadam kusaidiana ni kitu cha kawaida. Haijalishi unamfahamu au humfahamu kama mtu anahitaji msaada msaidie tena bila kutegemea kitu chochote in return. Kuna hii tabia wanaume ukiwasaidia lazima baadae warudi wakutongoze. Sijui huwa wanawaza nini! Umesaidiwa toa...
  10. Ma Mshuza

    JamiiForums Tanzania Nadhani mmeamini, Wanaume wenye Upara wapewe maua yao kwa kweli

    Khaaaaah..... Mi shahidi wallah. Wanaume wenye upara wana peleka sana moto....wanakuwa watamu sana. .niliambiwa na daktari mmoja kuwa libido ipo juu sana kwa wanaume wenye upara. Wengi wao wanatembeza sana ubooooh....nami nimeshuhudia wanakuwa na hamu balaaaaaaah....niliwahi andika nikasema...
  11. goldcall

    JamiiForums Tanzania Kikao cha wanaume mwaka wa fedha 2014/2015

    wanaume wenzangu hamjambo sina mengi sana ya kusema, ila hili ni muhimu sana, kumekuwa na malalamiko mengi sana ya mahusiano na ndoa, bila kusahau wanaume tunakosea hapa, unapotaka kuoa, hakikisha unaoa mwanamke ambaye naye yupo vizuri kiuchumi, kama una elimu, basi pia zingatia hilo, hakuna...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa ku-cheat ni wake

    Kutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu; Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia powerful men. Kwa waliodhan kwamba Hawa wanawake walicheat kwasababu ya pesa au umaarufu au chochote...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume nendeni katika Mtandao wa Anti Ezekiel wa Instagram muwasikie Wanawake walivyosema kuhusu Sisi kutokuwa na Pesa

    Wa Kwanza kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Sufuria iliyotoboka. Wa Pili kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Jalala Wa Tatu kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Kinyesi Kibichi Halafu kwa haya Majibu yenu / yao Wanawake ndiyo mnataka tukizikamata na Kuwahongeni...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna mantiki yoyote itakayojibu swali la mwanamke la "Kwanini wanaume wanapenda kucheat sana?". Maelezo haya yanaweza kurelate na swali lao

    Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mabadiliko ya tabianchi yanawasukuma katika Umasikini Wanawake zaidi kuliko Wanaume

    Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Wanawake, (UNWomen) iitwayo Feminist Climate Justice: A framwork for Action ya Mwaka 2023, imeeleza kuwa Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia pamoja na tofauti nyingine za kijamii na kiuchumi kunazidisha udhaifu wa athari za mabadiliko ya tabianchi. Ushahidi...
  16. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanaume chukueni madini hapa namna ya kuishi na hawa wanawake ili usife mapema

    Ndugu zangu habari za wakati huu Kutokana na malalamiko mengi kuendelea juu ya hawa wanawake hizi ni mbinu na akili pekee ya kuishi na hawa viumbe 1: Kua na msimamo mkali usio na madhara na mwanamke akifanya kitu cha kukukomoa usionyeshe kama umeumia mpuuze 2: Usiweke demokrasia na mwanamke...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

    UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

    Mabibi na mabwana Habari za uzima wenu!. Wakuu sijaenda kanisani Leo mwaka wa6 sasa bila kukanyaga kanisani. (Haiwahusu) Nina USHAHIDI na mifano mingini sana ya wanaume waliokufa na chanzo wakiwa wake zao! Hapa nitajikita na mifano 2 ama mitatu kama nitaweza kuandika hapahapa maana sipendi...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni vipi visababishi vya wanaume kuota manyonyo?

    Manyonyo kwa wanaume hasa watu wazima wengi na baadhi ya vijana huchangiwa na nini? Kwa namna gani mwanaume unaweza kuondokana na manyonyo?
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanapenda kufanya mapenzi na wanawake wengi tofauti wakati wanawake ni kinyume chake?

    Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache? Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara...
Back
Top Bottom