Eti cha mwanaume ni cha familia, cha mwanamke ni cha mwanamke. Hivi huu ujinga ni nani aliwafundisha?
Siku zote mahusiano yenye afya yanajengwa kwa kushirikiana, si kwa mzigo kuwa kwa upande mmoja tu.
Ndio maana, ndoa zimejaa biashara na ubinafsi, badala ya kutawaliwa na upendo.
Ndoa yangu...
Mimi nikionaga mtu hasa mwanaume anaenda kununua madada powa iwe wale wa 5K au wale wakujikuta matawi zaidi ya 100K naumia sana
SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDO UTAGUNDUA KUA UKITOA Ngono HAKUNA JAMBO LENGINE MWANAMKE ANAWEZA KU OFFER KWENYE MAHUSIANO YOYOTE NA NDO MAANA NAPINGA NDOA
Hiyo hela si...
Habari jamii forum
Hapo mwanzo Mungu alimuumba Adam,huu ni sehemu wa mstari kutoka kitabu cha mwanzo ikionesha mwanaume ndiye kiumbe wa mwanzo na ndiye mwenye mamlaka ya kutawala ulimwengu.
Malalamiko ya wanaume wengi kunyanyaswa ni mengi,vilio na kukosa kujiamini ni kwingi
Lakini Kasi ya...
Oya mie ngoja leo niwape za uso mabaharia wenzangu.
Watu tunakaa kwenye kikao, tunaweka ajenda mezani na points kabambe zinatolewa.
Mara utasikia
"Hamna kumnyonya mwanamke K utakua unalamba lolo la jamaa zake wengine"
Mara "Usimpigie magoti demu wako ukimvisha pete"
Mara "Mwanamke...
Ilikuwa si ajabu kujua umefulia au kuanguka ukishasikia maneno nakejeli toka kwa wanawake.
Ila leo ni kama imekuwa tofauti kabisa yani wanaume ndio wamekuwa wahusika wakubwa sana.
Zamani si rahisi kukuta mwanume Kuwa na hizo tabia anapomuona mwanaume mwenzake kapata changamoto anapo anguka...
Sikumbuki kama niliwahi leta Uzi humu unao muhusu bro mmoja Hivi ni mtoto wa baba mdogo kiukoo ila ki umri ana nizidi kama miaka 9 Hivi.
Huyu bro mke wake (shemeji) amempa uhuru sana.Iwe kwenye nguo, kuzurula nk.
Yaani mwanamke ukikutana nae kitaa huwezi amini ni mke wa mtu.
Mavazi anayo vaa...
Hakuna hata haja ya salamu naenda moja kwa moja break ya 1 ni kwenye mada inayohusu kuhonga.
Wanaume tuache kuhonga,narudia tena wanaume tuache kabisa kuhonga, tuwe wabahili sanaa, haya maisha ya sasa hivi yana hitaji ubahili wa hali ya juu.
Pata mwanamke wako mmoja, tulia naye.
Funguka uwezo...
Wakubwa pole kwa uchovu wa mihangaiko,
Twende moja kwa moja kwenye mada kuu tajwa hapo juu kumekuwa na kasumba ya watu waliozaliwa na jinsia ya kiume au Me kubadilisha mionekano yao na kujifanya wanawake.
Kupitia mitandao maarufu dunia instagram, X zamani twitter kumezuka kasumba ya watu ku...
Ndugu zangu salaam.
Wanawake wamekua wakiforce wanaume tuwaonee huruma ili hali hawajui sisi wanaume hatukuumbwa hivyo. Wanaume tuliumbwa kua wagumu, wenye nguvu, mamlaka , viongozi na watawala.
Wanaume hatukuumbwa kua mayai mayai na laini kama mademu. Ndiyo maana mwanaume ukiwa laini unakua...
Sijui dunia ya sasa inaelekea wapi.... Kuna wanaume unaona kabisa wanaandika mwandiko wa kiume ingawa wanapenda wawe treated kama wanawake.
Hawa hata uandishi wao utauona ingawa wanaandika sana wakijifanya ni wanawake na wakitaka waonekane hivyo watongozwe na kadhalika.kisaikolojia wanajisikia...
Eh, mniache
Nimalizane na Birthday yangu
Me.maswali mengine sina majibu
Kuna mrembo ameulizq hapa
Ivi kwanini wanaume weupe wana roho mbaya sana, hawana upendo kwa watu wengine they are very selfish
Kwenye mechi wabovu
Kwenye ndoa wana roho mbaya sana kwanini lakini?
Hili swali niliulizwaga...
Habarini wadau,
Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili.
Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio.
Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii...
Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo hivyo na damages zao.
Women lost their dignity because in our current generation there are no...
Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu.
Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80!
Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
Ndoa nyingi sana za kisasa mwanamke ndie anafanya maamuzi ya kufanya kitu bila kuomba ruhusa kwa mume wake . Ila mwanaume bado anafanya majukumu.
Mwanamke anaweza akaamua kwenda popote anapotaka bila kumuomba mumewe ruhusa zaidi ya kumpa taarifa tu.
Ila mwanaune huyo huyo ambaye haombwi...
WAnaume wakileo.
Mnaanza mahusiano anaanza kusema unafanya nini ??
Mko kwenye maongezi kidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani??
Dunia ilipoanza adam aliambiwa atatafuta kwa uchungu. Na hawa atazaa kwa uchungu na vitu vyote hadi kulea mwanaume...
Kuzaliwa mwanaume ni zawadi ya kipekee sana ambayo hukuichagua ila ulipewa kwa mapenzi ya Mungu.
Tutambue ya kwamba Mwanaume hakuumbwa MATESO bali mateso yalichaguliwa na Mwanaume mwenyewe.
Mwanaume ni mlezi mkuu wa familia nzima yeye ni kama Mwenyekiti na mkewe ni kama katibu, taasisi hii...
Rod Stewart akiwa na mke wake Penny Lancaster, walikua wanahudhuria harusi ya mtoto wa Rod na mke wake wa awali Rachael Hunter.
Pamoja na pesa zote lakini Penny ameshindwa kununua decent dress for the wedding.
Research ndogo niliyo Fanya, wanaume wengi karibia 99.9% walio ingia kwenye ndoa, wanatamani kutoka , ila kwasababu ya kuwa na watoto inakua kipengele sana kuchomoka kwenye huo mtego.
Kinacho wafanya wasitamani tena ndoa ni Majukumu ya kulea watoto ,mke na familia ya mwanamke, kipato Cha wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.