wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume njooni mnijibu swali langu

    Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo?? Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaume wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa ni Ngumu sana 'Kurogwa' na Wanawake kama ambavyo Wanaume wa kwingineko 'Hurogwa' nao mno?

    Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza sana sana huishia tu kunipiga Mkwara (Kunitishia) kuwa wataniendea kwa Mganga ili nitulie ila ndiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume; Hii imekaaje??

    Hivi wanaume wenye uzoefu Hii imekaaje Wakati mnapomaliza Mechi yaani Sex huwa hamtaki kuguswa hizo uume zenu au inakuaje Kuna huyu Kijana Wakati wa maandalizi huwa ananilazimisha kabisa nishike dudu yake tena ananivuta mkono niiguse Sasa kinachonishangaza mkishamaliza pale labdaa mmepumzika...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume, Usipoteze muda kurekebisha sahani ambayo hujaivunja wewe..

    Wanaume, Usipoteze muda kurekebisha sahani ambayo hujaivunja wewe..
  6. JamiiForums Tanzania MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAPENDI KUYAONA

    MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI KUYAONA. 1. 💘❤️MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima💘💞. 2. 💘💞MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au...
  7. JamiiForums Tanzania Miaka 22 iliopita JD alitoa wimbo wa wanaume kama mabinti, wimbo ulikuwa controversial kidogo, lakini kumbe alicheza na muda na leo umekuwa relevant.

    ⚠️Vijana wa kiume wanatengeneza group chats kuwasema na kusengenya wanaume wenzao ⚠️Vijana wa kiume wana ng'anga'nia kujumuika na wanawake katika party zilizo undwa kwa ajili ya wanawake pekee. ⚠️Zamani ilikuwa unasikia sikia tu fununu kwamba flani ni shoga ila leo unawahesabu kwa maana...
  8. JamiiForums Tanzania Nifanyeje kuhusu Ili?

    Natamani tuishi wote Sasa nifanyeje jamani? Nina mwanaume tunafanya kazi sehemu moja yeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote niliwahi kumuambia tukae wote akasema ananichunguza kama namfaa asije akanichukua tukakaa wote badae akaona simfai.tuna miezi minne ya...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume zijue siri ambazo hupaswi kumwambia mwanamke wako kamwe

    Huu ndio ukweli kila mwanaume anapaswa kuujua: 1. Hofu zako kuu. Leo anaweza kukufariji… kesho akazitumia kama silaha dhidi yako. 2. Kiasi halisi cha salio lako la benki. Siri = nguvu. Uwazi kamili = udhaifu. 3. Idadi ya wapenzi uliowahi kuwa nao. Haitawahi kusaidia. Itabaki kukutesa. 4...
  10. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanaume sasa

    Mwaka 2012 Janet Jackson msanii wa muziki, mwigizaji, na dada wa mwisho katika familia maarufu ya "The Jacksons" alifunga ndoa na Wissam Al Mana, mfanyabiashara tajiri kutoka Qatar, aliyezaliwa Doha na kulelewa London. Al Mana ni Mkurugenzi wa kampuni ya kifamilia ya Al Mana Group...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo

    Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea! Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako: 1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri Anadai...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wanakuwaga mzunguko na hot days?

    Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia? Ama wao ni regular tu? Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa...
  13. JamiiForums Tanzania Humu kuna wanaume kama hawa

    Je humu kuna,wanaume kama hawa? Waliowakaaa
  14. JamiiForums Tanzania Haya ni mambo saba (7) ambayo wanaume wengi hawayapendi

    1. 💘❤️MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima💘💞. 2. 💘💞MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au anaduwaa; ujue hana jibu au anajisikia vibaya kuhusu jibu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

    I salute you kinsmen. Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana . Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wamejisahau kwenye suala la Skin Care na kunukia vizuri

    Unakuta mwanaume pua imejaa mafuta hadi inatoa vinywele vyeupe, kwenye kucha nako ni chafu, tena kam anafanya kazi gerage ndio kabisa. Wengine nyuma ya mikono kumekakamaa sana, hata mafuta hawapaki, hii sio sawa. Mwanaume unakua na ngozi laini, kucha safi, kama huwezi kwenda saluni basi sugua...
  17. JamiiForums Tanzania HIvi wanaume wenzangu mlifanyaje?

    Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa. Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki? Hivi...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi utotoni hasa wanaume hamjawai fanya hii kitu

    Kuna ile una ambiwa kapime mchele vikombe 2 wewe unaweka 3 ili ubaki ule na kiporo kesho yake mchana au asubuhi ili tu usile ugali 😂😂 dah nimekumbuka mbali
  19. JamiiForums Tanzania Msichana aliyeishi na wanaume zaidi ya 100 bila kujulikana jinsia yake

    Msichana mdogo mwenye tabia kama za kiume anafanya jambo la kushangaza baada ya kutaka kujiunga na jeshi ili haweze kuikoa nchi yake dhidi ya maadui hatari wa kichawi. Shida kubwa mdada huyo nj mwanamke na wanaohitajika ni wanaume je hatafanikiwa ?? Angalia video full 🔋...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanashindwaga kutumia condomu kama mimi?

    Nauliza hili swali wanaume wenzengu,kuna baadhi yenu wanaoshindwaga kutumia Condomu kama mimi? Yaani hata ningevaa tatu kwa mpigo mwisho wa siku huwa zinaishia kupasuka, Sina uwezo kukojoa ndani ya ndomu,ninaweza hata kukaa zaidi ya saa zima kitu kinashindwa kuachia,matokeo yake ni kugombana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…