wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tuwatokomeze ma'simp hawatuwakilishi wanaume hata kidogo

    Katika jamii tunazo ishi kuna aina au kundi la wanaume ambao ni dhaifu ambao ni aina ya mwanaume jamii ya wanawake humtengeneza kama retirement plan au mpango maalumu kufanikisha mipango yao ya kimaisha bila kuwajibika lolote kwa huyo mwanaume au huyo mwanaume kupata maslahi yoyote katika huo...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi, wanaume wa humu mkoje?

    NRNE Samahanini kama ntakuwa nawakwaza kwa kuliongea hili wakuu, binafsi nimesikitishwa sana na hii tabia ambayo baadhi ya wanaume wanayo humu. Ukija kuomba ushauri kuhusu mahusiano humu kuna baadhi ya members wakiume watajifanya wanaguswa na unayoyapitia na watakuonea huruma na kukufata PM...
  3. JamiiForums Tanzania Kukumbatiwa wakati wa kulala ni miongoni mwa raha wanazokosa wanaume

    Wengi hudhan anaekumbatiwa ni mwanamke tu wakati wa kulala ila ukweli ni kua hakuna shida mwanaume kukumbatiwa wakati wa kulala. Unafeel confort and warm na pia inaongeza upendo na uaminifu, so msiogope kukumbatiwa wakati wa kulala na haiondoi uwanaume.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume msiwe wanafki kwenye hili

    No reforms no election Tuweni wakweli tu ndugu zangu Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha yamempiga na ana miaka 34 hana kazi ya kueleweka yaani hata geto ana miliki godoro na nguo zake tu...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume njooni tufunguke

    Mwanaume mwenzangu tuachaneni na uchaguzi wa ndani wa CCM labda tuunge mkono NRNE Apa ni kufunguka bila aibu je ulianza kufanya mapenzi ukiwa na umri gani honestly Mimi nikiwa na miaka 17 Na nilipengwa na mshangazi mmoja yaani uyo ukahaba wote alinifundisha jackiline athuman sintomsahau...
  6. JamiiForums Tanzania Humu tunaandika Uzi wa kutafuta wanawake wa kuoa kwa lengo la dhati kabisa lakini utakuta Uzi wote umejaa wanaume tupu au ndo mmomonyoko wa maadili?

    Tunaandika Uzi humu kwa lengo la kupata wenza wa MAISHA lakini unakuta Uzi wote wamejaa wanaume tupu au ndo wanaume wanaosemaga siyo riziki? Mwanaume huwezi ukasoma Uzi na ukaachana nao? After all mtu anatafuta mke Sasa unajipitisha ili upate nini? Mnakela sana . Nimeandika Uzi wa kutafuta mke...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume Tanzania tuna aibishwa na tumebaki kunyamaza tu

  8. JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF tubadilike

    Hell Ngoja hili niseme sijui kama nipo sawa ila kwangu naona kama utoto ulio kithiri kabisa Una kutana na manzi humu jukwaan mna enda faragha kisha ukitoka tu una kuja kumuanzishia uzi hapa kutoa ya faragha ina shusha heshima na kuonesha kuwa wanaume wa JF sio matured kitu sicho kizuri mna...
  9. JamiiForums Tanzania Hata moja ya mababu zako leo wakiamka na kuona umepost uzi wa kulalamika mbele za wanaume wenzako kuwa mkeo anakubania msos atakukana na kurudi kulala

    "Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu. Wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri. Nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu. Na, wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu" -G. Michael Hopf
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayosababisha wanaume waliooa kucheat

    1.Kunyimwa tendo la ndoa. 2.Kauli mbaya kutoka kwa mke , 3.Dharau kutoka kwa mke ; 4.Mwanamke kushindwa majukumu yake ya msingi usafi. 4.Matumizi mabovu ya fedha na rasilimali nyingine. 5.Mwanamke kuwa mchafu. 6.Mwanamke kuwa na bond kubwa na familia aliyotoka. 7.Mwanamke kukosa maono na mipango...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

    1.mwembamba 2.mnene 3.macho makubwa 4.macho madogo 6.nyashi kubwa 7. V-shaped face 8. Oval face shape 9. Miguu wa bia 10. Curved shape 11. Mfupi 12. Mrefu 1. Mcharuko 2. Mbea 3. Mpole 4. Mwenye makelele 5. Gubu 6. Mchamungu 7. Wa mituuuungi 1. Tom boy 2. Mweupe 3. Cheusi 4. Maji ya kunde...
  12. JamiiForums Tanzania Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

    Wanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa. Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa. Hivi, mkichepuka au mkabadilisha hiyo michepuko kuwa nyumba ndogo za kudumu, huwa mnatafuta nini hasa kati ya hivi? Ladha tofauti za kipochi...
  13. JamiiForums Tanzania Vidonge vya kuzuia Uzazi kwa Wanaume mbioni kuingia Sokoni

    Mamlaka ya chakula na dawa nchini marekani ilipitisha njia mbalimbali zaidi ya 20 za uzazi wa mpango. Njia mbili tu zimethibitishwa kwa wanaume kuweza kuzuia mimba kwa wapenzi wao nazo ni kondomu na kufunga kizazi(vasectomies). Asilimia 25% ya wanawake wanatumia njia ya kutumia vidonge kupanga...
  14. JamiiForums Tanzania Nafikiria kufungua saloon ya kiume kwa ajili ya usafi na urembo.

    Huduma kama 1. Kusafisha kucha Wanaume wengi wanajisahau sana suala la usafi wa kucha, unakuta kucha zimeweka weusi pembeni, nadhan pia ndio wanachangia kuongezeka kwa UTI na infection kwa wadada, kucha sharti ziwe safi. 2. Kupuliza perfume Wanaume wengi wanaharufu kali wengine asili wengine...
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu mnaposema peponi wanaume watakuta mabikra 72 na je wanawake watakuta wanaume mapafu ya mbwa 72

    Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari. Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn mbinguni. Ijumaa njema tukutane kwenye biriani
  16. JamiiForums Tanzania Mattizo ya wanaume n kuona

    Moja ya matatizo makubwa sana tuliyonayo sisi wanaume siyo pesa, siyo umaarufu, wala siyo mahusiano — ni UWEZO WA KUONA. Wengi wameanguka si kwa sababu hawakuwa na upendo, bali kwa sababu hawakuwa na macho ya rohoni. Unaweza ukamuoa mwanamke anayekaa kama kondoo — mpole, mnyenyekevu, na mtulivu...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume wote JamiiForums na Kwingineko kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Kudadadeki.....!!!!!!
  18. JamiiForums Tanzania Utelekezaji wa Watoto si tatizo la wanaume pekee – Wito kwa Waziri wa Ustawi wa Jamii Kutafakari kwa Kina

    Haya ni maelezo yangu kwa Mheshimiwa Dkt. Gwajima D kutokana na uzi wake alioundika jana unaosomeka >Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto Kilichopelekea kuandika maoni yangu ni ile post namba #7 ya Mheshimiwa Waziri kwenye ule uzi. Iliyosomeka > Halafu sasa mtoto...
  19. M

    JamiiForums Tanzania DR SULE amesema wanawake wote wa kiislam peponi chuchu zao zitakuwa kama msumari na maumbile yao kama binti wa miaka 16 kwa ajili ya wanaume wa enjoy

    Habari wadau. Msikilize Shehe maarufu Alhaj DR sule anavyotoa mawaidha msikitini. Kwenye video attached Dr sule anafundisha wanawake wote wa kiislamu watakaoingia peponi wote watakuwa chuchu saa sita, na hata wale waliozaa matiti yao yatasimamishwa na Allah na kuwa kama msumari, na hata...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume tutalipwa mengi na Mungu

    Hawa ni mtu na mkewe wa ndoa kabisa ambapa wamebahatika kupata watoto watatu kwenye ndoa yao lakini baada yakupima DNA imegundulika kuwa watoto wote watatu sio wa mwanaume huyu Yani Mwanaume unateseka unadharaulika kuhakikisha familia yako inapata huduma na malezi bora kumbe unaishi na mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…