wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo 7 wanaume hawayapendi

    MAMBO SABA (7) AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI: Katika Mambo haya inategemea Aina ya maisha mnayoishi na mumeo lakini wanaume wengi wapo hivi. 1__.MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA: Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima. 2__ MWANAMUME HAPENDI...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mabinti hawaamini tupo wanaume tunaotoa misaada kwa dhati ? hii tabia yao ya kuhisi wana deni la kutoa penzi inanichosha

    wanawake wengi hapa tanzania wanadhani kila mwanaume akitoa msaada huwa ni kwa QUID PRO QUO (Nikune mgonngo nikukune wako) Imekuwa ni too much kila unapotoa msaada unaweza kudhani yameisha kila mtu aendelee na maisha yake ila ukiweka kila status watakomenti, good nights kibao, kukujulia hali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume limbukeni atamruhusu mke wake kuvaa hovyo lakini anachukia akiona wanaume wengi wakimtongoza, kumuangalia maumbile, kumpigia miluzi, n.k.

    Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja. unaporuhu avae hivyo tafadhali usichukie unapoona anatongozwa sana, watu kugeuza shingo zao kumdadisi au...
  4. JamiiForums Tanzania Utitiri wa wanawake kuingia dojo kujifunza ngumi inaleta taswira gani wakuu

    Binafsi nashangaa Sana kuona lundo la wanawake likikimbilia dojo kujifunza ngumi sijui no for self defense au vp naona wale tuliokuwa tunawaita Maua sasa wanaanza kuwa magugu. Kuna sister mmoja wa makamo kuna siku nimewahi muuliza ww dojo unaenda kufanya nini yeye aliniambia amechoka kuonewa na...
  5. JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa mwanaume anaweza kupata hedhi

    Wanaume hawapati hedhi. Hedhi ni mchakato wa kibayolojia ambao hutokea kwa watu walio na mifumo ya uzazi ya mwanamke, kwa kawaida huhusisha umwagaji wa kitu kinachoitwa "UTERINE LINING" . Inaendeshwa na mizunguko ya homoni ambayo huandaa mwili kwa ajili ya ujauzito ambao ni maalum kwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake hizo ni shida zenu, sio zetu sisi wanaume

    Wanawake wengi siku hizi wametuingiza kwenye changamoto kubwa sana wanaume wa siku hizi.Tumekuwa tukihangaishwa sana maneno yao ambayo yanatopelekea kujiona wanyonge mbele yako Bro ukikutana na mwanamke anakuambia haumridhishi kitandani,bro wala usiwe mnyonge we endelea na mitikasi yako,jukumu...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi ya wanaume bure kabisa

    Uzi huu ukifutwa na hili jukwaa, na mwanzilishi wake ni mwanaume, basi itakupa picha namna wanaume nao wanaweza kuonekana kama tatizo kubwa kwa nchi hii… Toka kuumbwa kwa dunia, wanaume wamekuwa mstari wa mbele kuikomboa jamii katika majanga mbalimbali, unyonyaji, vita na mambo mengine mengi...
  8. JamiiForums Tanzania Ila sisi wanaume 😂😂, hakuna kitu mwanamke ataacha kupata kutoka kwa mwanaume

  9. JamiiForums Tanzania Pipi kijiti ni starehe katili ya wanaume dhidi ya wanawake

    Ndugu salaam Sisi wanaume tumekua tukiwapa wanawake pipi kijiti (lolipop) kama njia ya kuridhika na ombi lao la kusamahewa ili hali tunajua kabisa ni starehe ovu na ya kikatili dhidi ya wanawake. Japo wengine wanawadangañya wadada kula pipi kijiti ni njia moja wapo ya kuonyesha mapenzi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanazuoni wa Kiislam kutoka Palestine: "Mwenyezi Mungu anawaruhusu wanaume Waislamu kuwabaka wanawake wasio Waislamu ili kuwadhalilisha"

  11. JamiiForums Tanzania Leo nimenusurika kuuwawa kwa kugongwa hapa Australia kisa Wivu wa wanaume kwa mademu, midemu mitamu sana

    Nikafunga safari baada ya kupata likizo nikaja Brisbane airport kuingia queens land aisee (ila kuingia Australia ni pagumu kama hujajipanga kwa maelezo airport, itakuwa topic ya siku nyingine) Nikafika hotel moja maarufu sitataja Jina, nikakuta mademu wakali tu Nikaanza ku move around ili...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna faida gani mwanaume kutahiriwa/kukatwa govi lake?

    Huko Marekani sasa hivi watu wengi wameacha kutahiri watoto wao wakidai ni mila na tamaduni ya kiyahudi!
  13. JamiiForums Tanzania Dr. Witness87: Wanaume wawe wanawachapa Makalioni Wanawake wao wakiwa Mapenzini kwani huwafanya Wanawake wasikie Utamu usioelezeka

    "Na mkiwa mnawachapa hakikisheni hamuwachapi kwa nguvu bali wachapeni taratibu ili wote mkikojoa msikie Utamu. Na hakikisha ukiamua kumchapa hayo Makofi tararibu huyo Mwanamke / Mpenzi wako awe amekaa ule mkao wanaoupenda Wanawake wote wa Mbwa Kachoka (Dogy Style) Tusichoshane sana nendeni huko...
  14. JamiiForums Tanzania Komesha ya wanaume tapeli

    Nilipata mwanaume humu tu 🤣🤣🤣🤣😅😅😅bas akanambia njoo tuonane njoo kwanauli yako ukifika nakurudishia nikaenda tukacheki afya vzr tu tukalala bas bwana asubuhi naamka hapo kitandani gest nakuta hayupo kasepa nauli hajaach ht sh mia 😬😭 nikampigia akanambia hiyo ndo dawa ya wanawake wa fb Mimi...
  15. JamiiForums Tanzania (UWABATA):CHA CHA WANAUME BAHILLI TANZANIA

    HARUSI YA MAANA SANA HII 💪💪💪 Lenga lililo la maana, acha lisilo na faida ✍️✍️✍️ Katika maisha ya kila siku, kuna mambo mengi yanayoweza kutupotezea muda na nguvu bila faida. Kuepuka mambo yasiyo ya msingi ni hatua ya hekima inayotusaidia kulenga malengo makuu, kuongeza tija, na kuepuka...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni

    Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni. Ukiongeza Anko T kama kifungashio.
  17. JamiiForums Tanzania Aina kumi ya wanaume ambao hutakiwi kudate nao

    10 Types of Men You Must Never Date As a woman, when discussing your ideal partner, it's important to set aside superficial traits like being tall, dark, handsome, having pink lips, being rich, or possessing a broad chest. Instead, focus on the character and values of the man you choose to...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta. Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua. Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
  19. JamiiForums Tanzania Kitu ambacho wanawake hawajui ni kuwa Wanaume tunawajua wanawake vizuri sana ila tunazuga hatuwajui kwa Maslahi yetu

    Hamjambo! Moja ya mambo ambayo Wanaume tumefanikiwa kuwarubuni na kuwashawishi wanawake ni ile dhana ya kusema hatuwaelewi wanawake wanataka nini. Na hatuwajui wanawake. Ila kimsingi hiyo ni trick tuu. Wanaume wengi tunajua wanawake wanataka nini. Na tunawaelewa vyema kabisa kuliko hata wao...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume

    1. Haijalishi mkeo anafanya kazi na anapata pesa au hafanyi kazi, jukumu kumtunza yeye na familia yako ni lako wewe mwanaume. 2. Kifo sio kitu ambacho mwanaume anatakiwa kukiogopa, mwanaume anatakiwa kuogopa umasikini ambao utamfanya adharirike na familia yake kuishi kwa shida. 3. Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…