wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mc Pilipili Amewaachia Ujumbe Wanaume Hapa

  2. JamiiForums Tanzania Kama nimewahi kuwakosea wanaume naomba mnisamehe! Ni kweli mnapaswa kuitwa Wanaume

    Dada yenu,mdogo wenu na last born wenu wa Jamii Forums wa kizazi Cha 2000 ninakuja mbele yenu nikiwa hai hapa Tengeru Arusha,ninamshukuru Mungu kwakuwa siku ya maandamano niliamua tu kulala ndani kwangu,si kwamba naogopa ila sikuwa na Imani kama ndugu zangu Watanzania watajitokeza Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume njooni huku Kuna kikao

    Kabla ya yote niwashukuru kwa kuitikia muitiko huu Sasa tunaweza kuketi ili tuanze kikao Bila kuwachosha . Kuna kitu nilihitaji majibu kutoka kwenu wanaume Imetokea kwenye harakati zako za utafutaji uko na rafiki yako ambae mmeshibana ghafla mkatofautiana na kuanza kuvutana Mara ugomvi huo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume eti mnaitwa BABARISHE

  5. JamiiForums Tanzania Miili ya vijana wanne waliouawa yaokotwa barabara ya Mapinga kuelekea Kibaha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, limethibitisha kutokea kwa vifo vya wanaume 4 ambao miili yao imekutwa pembezoni mwa barabara ya Mapinga kuelekea Kibaha, ikiwa na majeraha usoni na miguuni huku ikadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 19 hadi 22, ambao walikuwa ni wakazi wa maeneo ya Dar es...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanaume kuna muonekano ukiwa nao, huwezi kuja JF kulalamika kuwa kila mdada unayemtongoza anakuomba omba hela

    Habarini, Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
  7. JamiiForums Tanzania Wazee wa Mitindo, Tupeane dress code za Beach

    Wakuu. Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress. Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja. Pamoja. PS: Tupo jukwaa la Lifestyle, nisikaripiwe.
  8. JamiiForums Tanzania Kiukweli sisi wanaume wenye wanawake wasiokunywa pombe tunapitia wakati mgumu sana

    Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii. Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana. Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar unashangaa mtu anakunywa juice au flying fish tu. Sasa wakuu kweli tuchoshane coz ya flying fish tu?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Tanzania hatarini! Kila uchwao ni kutekwa!

    Ni muda wa kujitetea umewadia sasa
  10. X

    JamiiForums Tanzania Leo tuongee na wanaume vibonge, mnazingua sana wanetu

    Mwanaume umeshajua wewe ni mnene umejinenepea kama kiboko basi jisitiri. Kwa nini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika makalio yote mpaka juu? Kwa nini uvae T shirt au shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane kama umevaa kitop au ukiinama mfereji wa matako unabaki wazi makalio...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume, Msijimalize kwa Madada Poa walioko Dodoma, wengi wako 'Kazini'.

    Msiseme Sijawaambia! Fanya ulichokifuata kwake. Ukimaliza mlipe ujira wake mliokubaliana. Kama ahitaji ujira, basi mpe asante kisha rudi nyumbani kwako. Kama wewe ni 'msafi' basi waweza anzisha utaratibu wa kuwa nae karibu zaidi kwa ajili ya huduma zake. Ila kama wewe unajijua ni 'mchafu'...
  12. JamiiForums Tanzania CHALAMILA: Acheni kulaumu wanawake, tafuteni hela, ukijilalamisha ina maana maisha yako bado yako chini

    Aiseeeh, nafikiri huyu mzee anawapima aone anaweza kuwakasirisha kiasi gani. Inakuwaje mkuu wa mkoa, anaongelea habari za wanaume kuhonga na kuwahamasisha wafanye hivyo kwenye kikao na watumishi wa Serikali? Toeni neno moja kwake! Full clip hii hapa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwenye kufanya mapenzi, wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume

    Kwenye kufanya mapenzi mara nyingi wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume. Wakisuguliwa ni utamu wa hali ya juu, wakikojolewa yaani hadi mashetani yatapanda, wakikojoa wenyewe yaani hadi neno ambalo hukuwahi kulisikia utalisikia.
  14. JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani wanaume wangekua na maziwa, wakanyonyesha mtoto

    Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo. Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaongoza kwa kujiua kila mwaka Tanzania

    Kila mwaka Septemba 10, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujitoa Uhai Duniani, huku wataalamu wa afya ya akili wameeleza kuwa tatizo hilo limekuwa tishio kubwa nchini hususan kwa vijana. Akizungumza katika Maadhimisho hayo Septemba 10, 2025 katika...
  16. JamiiForums Tanzania Huwa nawahurumia sana wanaume wenye tabia za kunyonyana ndimi na wanawake

    Poleni kwa jf kufungiwa. Kuna utafiti nimekua nikiufanya,nimegundua wanawake wengi huwa wanapenda kunyonya sehemu za siri za wanaume. Sasa huruma yangu ni hii,mwanamke let's say ni mke wa mtu amechepuka mchana amekuja kwangu Mr kyagata amechezea na kunyonya mti siku nzima,then jioni anarudi...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Ngumi kwenye karamu, kila mtu na wake, ndio maana wanaume tunakufa haraka

    Maustadh na mikanzu yao wanatembezana ngumi balaa
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume mliooaMchezaji anayecheza mara kwa mara lazima awe imara na mwenye nguvu na bora uwanjani!!

    Wanaume mliooa Mchezaji anayecheza mara kwa mara lazima awe imara na mwenye nguvu na bora uwanjani!! Mtangazaji anayetangaza mara kwa mara lazima awe imara pia Vile vile kwa wahubiri wanaohubiri mara kwa mara wanakuwa vizuri Hayah nimemaliza sitaambia kila kitu!! Hakikisha mke wako ni msafi...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Karne hii wapo wanaume wa hivi?

    Tatizo la kutokuhuzuria vikao ndo Haya sasa, Wanaume na nyie baadhi yenu Kuna kaushamba flani mnako Tena kanaboa saana ndo maana hata mnavyo tongoza wadada wanawakataa ......mfano mtu..... 👇 anakuja inbox 📥 anakwambia dada mambo ...wajibu poa....anakuliza unakaa wapi....wamjibu pengine...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo 7 wanaume hawayapendi

    MAMBO SABA (7) AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI: Katika Mambo haya inategemea Aina ya maisha mnayoishi na mumeo lakini wanaume wengi wapo hivi. 1__.MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA: Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima. 2__ MWANAMUME HAPENDI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…