Ebana kipindi cha hivi karibuni nimejikuta nimemaliza mwezi mzima bila kuona kina mama wengi wa mtaa wa pili wakipita wamebeba maji, nikahisi labda wamejiunga na DAWASA.
Ebana kumbe sio, ni kwamba dawasa sasa hivi wanatoa maji usiku wa manane , sijajua kama ni maeneo yote au laa na by saa 12...