wanataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jussa: Kuna watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko wanataka tuwafuate

    Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama...
  2. JamiiForums Tanzania Uislamu unavyozidi kuleta mugawanyiko na viongozi wao wenye imani.Je tunapoelekea ndio wanataka kuonesha dunia au ni imani.

    Matamko ya viongozi ambao wanaonesha wazi wazi sasa yanaonekana ghana na nageria kuwa hawataki imani imani nyingine zaidi ya wanao wasimamia wenye imani zao. Hii imekaaje maana dunia inapoelekea tunaenda sio ukabira ni udini hata hapa tanzania kashaonesha kuwa anafanya.
  3. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini

    Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi wa mfano kuigwa kuishi maisha duni ya kimasikini na kuwataka viongozi wote waishi maisha sawa na yake...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM wanataka maridhiano bila walioteka na kuuwa kujulikana na kuomba radhi. Je, wako sahihi?

    Kichwa cha habari kinahusika. Ccm hawataki watekaji na wauwaji wajikane. Pia hawataki wahusika hao kuomba MSAMAHA kwa matendo yao. Kule Afrika Kusini, mchakato wa Maridhiano ulihusisha waliofanya uovu kutambuliwa na kuomba msamaha. Kwa hapa Tanzania kuna watu wameuwa mpaka watoto OCT 29...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

    Utawala wa sheria maana yake nini? Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga. Haki za wengine hawana habari...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: Kuna watu wanasema wanataka Katiba ya Warioba. Warioba hana katiba

    Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa hakuna Katiba ya Jaji Warioba bali Tume hiyo iliundwa kwa aajili ya kukusanya maoni tu. "Tume ya Jaji Warioba ilikuwa haiandiki katiba...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya sasa inakubalika kuliko hata TANU ya mwl Nyerere iliyopigankia uhuru wa bendera. Sasa hivi watu wanataka ukombozi

    TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao. Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
  8. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa ma Kampuni ni kero wanataka Percent ktk Project za watu

    Wafanyakazi wa makampuni ya ki bongo wanakera sana , inapotokea umefanya kz na kampuni yao wakijua kuna malipo mazuri utapokea , unakutaka mtu anajitokeza Mkuu utaniachaje. Ukichomoa wanakufanyia mizengwe kwenye kupata malipo yako kwa wakati .
  9. JamiiForums Tanzania Marekani: Tunaomba Nchi Zingine Tuungane Kuivunjilia mbali Mahakama ya ICC Kisa Wanataka Kuficha Uhalifu waliyofanya Gaza na Sasa Iran.

    My Take Chadomo wakiona hii watalia sana 😂😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/DaxHrfqjpeU/?igsh=NWJ5N2JkY256ajlq
  10. O

    JamiiForums Tanzania Wanapingana na Marekani Super Power: Wanataka Usawa au Nao Wanataka Kuwa Juu Kama Marekani?

    Kwa muda mrefu Marekani imekuwa ikiongoza dunia kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, nchi kama China na Urusi zimekuwa zikiongeza ushawishi wao na kupinga baadhi ya sera za Marekani. Swali, Je, wanachotafuta ni dunia yenye usawa...
  11. JamiiForums Tanzania Chadema hawajui wanataka nini

    1. Mara nyingi huwa najiuliza hivi kweli chadema wanajua wanataka nini? Mara nyingi wamekuwa wanachagua njia yenye miba sana kwa wafuasi wao ili wakijichoma wao wapige kelele 2. Kwanza lazima wakubali Nchi ina Uongozi kwahiyo kuheshimu mamlaka ni lazima sio hiyari..... maana mwisho wanaoteseka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Muyinga: Watu wanajiita wanaharakati wanataka kulikomboa taifa wanalipwa na wazungu wanachochea tu, njooni

    "Unajua inasikitisha sana. Kuna muda inabidi tucheke japo havichekeshi. Watu wanajiita wanaharakati, wanajiita wakombozi wa taifa japo taifa letu limeshakombolewa toka mwaka 1961, tukapata uhuru tukawa taifa huru. Kuna watu wanajiita wanaharakati wanataka kulikomboa taifa. Lakini nataka...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nafuatilia Pasipoti Uhamiaji Kurasini tangu 2025, nimelipia fedha kamili wao wanataka wanipe Pasipoti ya muda! Why?

    Nina dukudhuku kuhusu Idara ya Uhamiaji Kurasini hapa Dar es Salaam, Mtu unaomba Passport kwa ajili ya matembezi mfano kwenda Kenya wao wanataka bank statement, unaleta bank statement wanataka barua ya mwaliko. Unaleta barua ya mwaliko wanakusukumizia kwa afande mwingine wanaanza kuhoji ukoo na...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka amani na maendeleo sio demokrasia

    Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia. Mfano, kuna jamii...
  15. R

    JamiiForums Tanzania EU hawana jeshi, madikiteita hawaogopi vikao! Madikiteita wanataka vitendo!

    Sawa ni kazi nzuri wanaifanya EU, lkn maneno maneno, vikao hawa watu hawayaogopi! Wanaogopa kufa ingawa wao wanaua! madikiteita wanataka vitendo. Madulo asingelitoka bila vitendo, maana USA imemesema sana....aiwadharau maana maneno hayaunguzi nyumba.
  16. JamiiForums Tanzania Haijulikani wanataka nini?

    Wapo waliowapa pesa Kisha wakawapakia mkongo na kayembe shentemba mpaka kufia kwenye vinena vyao na bado wakalizwa. Wapo waliowahonga magari ,pesa kedekede na mauno ya lokasa ya mbongo na bado wakaachwa!. Wapo waliochagua kuishi nao kwa akili km yasemavyo maandiko lakini mwisho wa Siku Wakawa...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa za kiunaharakati wanazozifanya CHADEMA ni zipi? Ebu tuelezeni tuelewe. Maana wanapinga uovu na ufisadi na wanataka kusaidia taifa lao.

    Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati. Harakati hizo ni zipi? Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki? Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Deep down ni kweli Wanawake bado wanataka 50/50?, uhalisia Makazini na Majumbani ukoje?

    Wakuu habari, So nimerudi tena baada ya mazungumzo mengine marefu na rafiki yangu aliyeniita 'Toxic' Wakati huu tulikua marafiki kadhaa wanaume kwa wanawake tukipiga stori hasa Ubingwa wa Arsenal na baadae mada ikafikia huku baada ya jamaa yetu mmoja kuuliza "Hivi kwa nini wanawake mliamua...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wanataka aletwe Tanzania Msanii Sharukhan

    Habari za Sabato! Nimeshangazwa Sana na mawazo ya vijana. Mnawaza nini vijana? Mnataka nini Vijana? Mkoje ninyi vijana? Katika hali ya kustaajabisha GenZ wanasema wao tatizo lao sio Soka, tatizo lao sio ajira, ajira hawana tatizo nalo. Nikajiuliza kivipi tena wakati vijana ninyi ni jobless...
  20. JamiiForums Tanzania Heche: Nimeambiwa tangu majuzi kwamba na wewe wanataka wakukamate wakubambikie kesi ya uhaini. Nataka nimwambie Samia, nipo tayari sitakimbia

    Ukisikiliza hii hotuba ya mh. Heche utagundua taifa hili tuna rasilimali ya watu wema sana na tunatakiwa kuwatumia kama taifa kwa manufaa yetu sote na Heche kwangu amethibitisha hilo baada ya Tundu Lisdu Msikilize https://youtu.be/0vuyOE2_9GA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…