wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kijana kuwa makini na wanasiasa

    Unaweza kumpigania mtu kwa hali na mali na ukapoteza kila kilichochaki mwisho wa siku unaompigania akakugeuka. Mfano mzuri wabunge wa upinzani jinsi walivyopiganiwa baadae kuunga juhudi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na Tundu Lissu, wanasiasa waliopewa vipaji vikubwa

    Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita. Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam mwenye akili sana Tanzania, asiweza kukata tamaa na Licha ya madhila makubwa aliokumbana nayo ni mtu...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Edda Sanga: Udhalilishaji katika Mitandao kwa Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai ngazi ya Uongozi

    Mwasisi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Edda Sanga amesema udhalilishaji unaofanywa kwenye mitandao ya Kijamii dhidi ya Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai katika ngazi ya uongozi. Amesema “Kama udhalilishaji huu unakwenda hivyo unavyokwenda, bado...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wanatumia bei ya Pamba kisiasa

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, amesema kuwa hoja za kisiasa kuhusu bei ya pamba nchini zinapotosha umma, kwa kuwa tatizo halisi si bei bali ni uzalishaji mdogo wa zao hilo miongoni mwa wakulima wa Tanzania. Akizungumza Jumanne, Juni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tusiwaamini hata kidogo hawako serious na mabadiliko ya haki ya mifumo inayopiganiwa na chadema, ni matumbo yao. Take note of this:

    1. Sheikh Ponda anagombea Ubunge Temeke..........................amekwenda ACT agombee 2. Peter madeleka Tabora........................... amekwenda ACT agombeee 3. "UOZO" wote uliotoka chadema unatafuta majimbo!...........................wanatafuta kugombea 4. Covid-...
  6. JamiiForums Tanzania Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

    Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia. Huwezi kuhubiri na kueneza duniani...
  7. JamiiForums Tanzania Marufuku ya kanisa katoliki kwa wanasiasa kutoa salamu kwa waamini kanisani ni kama ile habari ya kutengeneza tatizo wenyewe na kulitatua wenyewe

    Kutafuta ushujaa wa kinafiki namna hiyo kwa taasisi kubwa kama Roman Catholic ni fedheha kubwa sana, licha ya kua marufuku hii ya kisiasa kanisani pamoja na mambo mengine inalenga kudhibiti upendeleo wa wa baadhi ya makasisi waandamizi wa kanisa hilo kwa viongozi wa kisiasa, hususani wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

    Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
  9. JamiiForums Tanzania Tukubaliane tu: Baada ya kukubali Wanasiasa wawe juu ya Utendaji wa Mifumo, TAKUKURU imejifia rasmi na Rushwa ndo kila kitu Tanzania

    Sasa ni rasmi, Tanzania imeanza kula matunda ya Wanasiasa kuwa juu ya Utendaji/mifumo na Siasa kuwa juu ya Utaalamu. Kwa sasa rushwa imekuwa jambo la kawaida nchini Tanzania na inafanywa waziwazi bila hofu yeyote. Kwa wasiojua, Mataifa yote yaliyofeli haikutokea kwa siku moja. Nigeria unayoiona...
  10. N

    JamiiForums Tanzania TFF tunawaomba na sisi tuje na mabango ya wanasiasa na vyama tunavyovipenda kwenye dabi June,25 maana mabango ya mama yatakuwepo uwanjani

    Habari ndugu. Bila ya kupoteza muda habari za uhakika kabisa timu za Simba na Yanga kupitia kwa mashabiki wao zitakuja na mabango ya mama kwenye dabi ya tarehe 25/06/2025. TFF nawaomba msituzuie kuingia na mabango ya vyama vyetu vya siasa na viongozi wetu pendwa. Kwa nchi hii ilivyo na upuuzi...
  11. JamiiForums Tanzania Ewe mwanasiasa unaefanya anasa kwa pesa za umma, Hauwaonei huruma watanzania wenzako wanaoteseka?

    Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa -chakula bora, -maji safi, -huduma za afya, -elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k Lakini pia kuna mtanzania muda huu hajui wapi atapata pesa ya kukomboa maiti ya ndugu yake ambayo...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wasichanganye dini na siasa basi hata nyie viongozi wa serikali tunaomba msichangaye kuomba amani na sera zenu kwenye dini

    Ni neno gumu nililoweka hapo juu ili viongozi waache na wao kutumia dini kujificha kwenye tawala zao. Tunaomba hata kuhapa wasishike misaafu na biblia sababu wao washasema dini sio siasa. Wakija kwenye dini kuungana tuwaone kama waumini wala sio viongozi sababu dini mjaitaka kuwa na siasa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wadau wakutana kujadili suala la ukatili wa kijinsia kwa wanawake wanasiasa

    Na Mwandishi wa Habari Hub Zanzibar, Juni 12, 2025 Katika juhudi za kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na demokrasia, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-Zanzibar) kimeandaa kikao kazi cha siku mbili kilichowakutanisha wadau kutoka taasisi 15 zisizo za kiserikali...
  14. JamiiForums Tanzania Top ten ya wanasiasa matajiri Tanganyika na Zanzibar

    Nane kati yao ni ccm na utajiri umetokana na kazi zao za kisiasa.. Hapa inahitajika sacrifice kubwa na maumivu mengi mabaya kuweza kuitoa ccm madarakani.. Maana wote hawa wana mtandao mmoja mkubwa na mitandao binafsi
  15. JamiiForums Tanzania Vijana tuache kuwa misukule ya wanasiasa

    Mtu unapewa elfu 20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo... ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani...
  16. JamiiForums Tanzania Grok: Kuna Watanzania 21 Millioni kwenye social media

    Kwa mujibu wa AI ya Grok; Idadi ya Watanzania kwa Ujumla: Kulingana na sensa ya 2022, idadi ya Watanzania ilikuwa milioni 61.7, na inakadiriwa kuwa itaongezeka hadi milioni 77.9 ifikapo 2030, ikiwa na ongezeko la takriban watu milioni 1.6 kila mwaka. Hii inamaanisha kuwa mnamo 2025, idadi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Watu maarufu na wanasiasa mtandaoni wa kerwa na no reforms no ELECTION huku wengine wakipoteza wafuasi kwa kupinga kampeni hiyo

    Baadhi ya watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania wameelezea kukerwa na maoni ya wafuasi wa kampeni ya “No Reform, No Election” yanayoachwa kwenye machapisho yao binafsi. Miongoni mwao ni Wema Sepetu — Miss Tanzania 2006, msanii wa filamu, na mfuasi wa chama tawala CCM — ambaye...
  18. JamiiForums Tanzania Mungu. Alikataza mambo yafuatayo katika amri zake kumi. Sasa hawa wanasiasa wanataka kutuambia au kutudanganya katika mambo yaliyo wazi

    Wakuu kwa namna baadhi ya viongozi wa dini wanavyo tumika kutetea watu flani wale wa kikindj cha utekaji nk. Wanaposimama pale madhabahuni na wanapo hubiri au kuungamisha waumi hivi wana jua uzito wa amri ile ya kwanza (kwa wakristo) Ni aibu na fedheha yenye kusononesha kwa mkuu wa kanisa kama...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe wanasiasa wanaruhusiwa kuchanganya siasa na dini?

    Alichokifanya mwanasiasa Samia Suluhu Hassan leo kumbe kinaruhusiwa au ndiyo mkuki kwa nguruwe? Mimi ni Ponjoro ila kwahili HAPANA.
  20. JamiiForums Tanzania Siri na mustakabali wa maisha ya sasa ya wanasiasa na wasanii duniani

    SIRI NA MUSTAKABARI WA MAISHA YA SASA YA WANASIASA NA WASANII DUNIANI Tom McDonald ni msanii wa muziki wa hip-hop ambaye ameweza kujitokeza na maudhui yanayohusiana na masuala ya kijamii, siasa, na utamaduni. Katika baadhi ya nyimbo zake, amezungumzia mada kama vile Illuminati, cloning ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…