Miaka ijayo, watu maarufu watakua wanasiasa tu

Miaka ijayo, watu maarufu watakua wanasiasa tu

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,859
Social media zimeleta utaratibu mpya wa trending, trend yako ikiisha, umaaruf umeisha. Leo unaweza kua unajulikana mtaani kweny tu, kesho Tanzania nzima wakawa wanakuzungumzia.

Jana zamu ya Piere liquid, asubuhi misomisondo, jioni dogo pattern. Nyimbo nazo hazidumu, ni ku trend kisha zinapotea.

Anga ya kimataifa ni hivyo hivyo, ule umaarufu wa miaka na miaka kama wakina Michael Jackson, Bob marley, kina Mohammed ali, Tyson na Evernder haupo tena, Leo unamsikia Mbape, kesho Yanal N.k

Nothing last too long now days, na nadhan sababu kubwa ni uwingi wa contents, vichwa vinakua overloading, too many choices to even choose among the bandle of choices.

So, the only remaining famous people will be politicians, as they stay on power for at least 4 years, and people talk about then frequently.
 
Siasa ni mtindo wote unaohusu maisha ya binadamu.Ina maana kila mtu anaiishi siasa na yu ndani ya siasa.Kwa hiyo wote tutakuwa maarufu, sivyo?
 
Umaarufu haupotei hata siku moja ukishakuja. MJ ni marehemu ila still familia yake bado inapiga mpunga kupitia umaarufu wake.
 
Back
Top Bottom