wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wasijikoshe kwa kumjengea sanamu Hayati Magufuli, badala yake wamuenzi kwa kuwa wazalendo na wachapakazi

    Habari wadau! Binafsi naomba niwe tofauti kuhusu suala la Magufuli kujengewa sanamu pale sabasaba. Magufuli sasa hayupo hivyo hakuna wa kumsemea leo nimejaribu kuvaa viatu vyake ,naamini kama angekuwa hai hasingeafiki swala hili ingewataka wale waliotenga pesa za sanamu wazielekeze kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Wanasiasa na ubinafsi wa Katiba mpya

    Habari wanaBodi.. Tumekuwa tuna wanasiasa wanafki na wabinafsi pia sana. Watanzania tuna changamoto nyingi za maisha ya kila siku mbali na suala la KATIBA, Yes Katiba ni muhimu lakini Katiba siyo kila kitu, tunaweza kuwa na Katiba mpya lakini isibadilishe maisha ya raia. Ubinafsi wa Wanasiasa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

    Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Papa ameumwa dunia imetangaza, kwanini viongozi wa Afrika wakiumwa inakuwa siri?

    BBC wametangaza kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis anaumwa na amefanyiwa upasuaji, sijasikia taharuki. Hapa nchini viongozi wetu huwa ni siri hasa awamu ya 5. Kisa kuepusha taharuki. Akifa hutangazwa, nini maana yake?
  5. JamiiForums Tanzania Zitto: Wanasiasa Tanzania wanapata ugumu wa kufanya siasa bila uadui

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi. Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na kugawa watu. Mwenye mawazo tofauti sio adui. Anawaza tofauti na wewe tu.
  6. JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa "katiba mpya" ni manufaa ya Wanasiasa na Wanaharakati zaidi kuliko Wananchi

    Siku za hivi karibuni kumezuka Wanasiasa na Wanaharakati wanaohanikiza kupatikana kwa katiba mpya, huku wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kwamba kupatikana kwake ndio itakuwa mwisho wa Matatizo ya nchi hii. Kwa muda wote ninajaribu kuwasikiliza mmoja baada ya Mwingine na bado sioni ni...
  7. JamiiForums Tanzania Wanasiasa msitufanye wajinga kuhusu mikutano ya kisiasa

    Specifically naongea na wanaodai kwamba hakuna uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa. Rais kasema hajazuia mikutano yenu ya wanachama wenu ndani ya chama. Wabunge wafanye kwenye maeneo yao pia. Marekani wametoka kwenye uchaguzi juzi kati, je? Bado wanaendelea na mikutano ya siasa? Tunataka...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnatuchanganya. Tunataka Katiba inayosimamia haki na sio Katiba Mpya. Kamwe Katiba hiyo haiwezi kutengenezwa na Wanasiasa

    Kitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao. Jakaya Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba mpya Ila mchakato mzima katika mazingira hayo ulitawaliwa na wanasiasa. Bunge lilijaa...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

    Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya. Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020. Mdude...
  10. JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnatumika vibaya ipo siku ukweli utajulikana. Mlitumiwa na wanasiasa wa CCM 'kum-harass' Deusdeth Kakoko ili mhalalishe mradi wa kifisadi

    Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7. Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi. Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa na Machinga (Jeshi kubwa)

    Majiji na Miji mingi kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita imekuwa ikijenga masoko mazuri ya ghorofa kama masuper market yenye thamani kubwa. Machinga/Mjasiria Mali ana tabia za maisha ya bata. Tania hizi zimefanya vizimba kukosa wateja. Je, tunatatua tatizo kujenga masoko ya maghorofa au...
  12. JamiiForums Tanzania Wanasiasa, mna Takwimu hii mpya ili muanze kujipanga kimkakati kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025?

    Takwimu mpya kutoka Mamlaka husika imesema kuwa kwa hivi sasa 77% ya ' Population ' ya Tanzania ni Vijana. Mnaotaka Kugombea Urais au Kuendelea nao baada ya 2025 Kazi Kwenu sasa katika Kulishawishi, Kulidanganya, Kulirubuni na hata Kulitumia vizuri hili Kundi ili 2025 Ikulu iwe Nyumbani Kwako...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wanasiasa tulionao, Tanzania hatuwezi kusonga mbele

    Taifa letu limetokea kuwa la ajabu sana tumekuwa na wanasisa wa ajabu ambao hawana mikakati ya kuwasaida wananchi. Wananchi nao wamekuwa watu wa ajabu wanadanganywa kama watoto wadogo ambao wakipewa zawadi ya peremende basi wao husahau shida zote. Sijaona mwanasiasa ambae yupo serious na hali...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Suala la kuachiwa Mashehe wa Uamsho ni vema wanasiasa wakaliacha kando

    Leo tena jamii ya Watanzania wameshusha pumzi kwa mara nyingine baada ya kusikia Mashehe wa uamsho kuachiliwa huru. Kuna maoni mengi sana kwa watu. Mengi ya maoni hayo pamoja na kupongeza kitendo hicho wameenda mbali kwamba serikali iwalipe fidia. Hili limekuwa kubwa zaidi. Wanasiasa na...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaposhindana kuijua Biblia na Koran badala ya Katiba na Sera za Nchi

    Tangu awamu ya 4, 5 na sasa awamu ya 6 hali imekuwa kutoa mifano ya Biblia na Koran, Bungeni na majukwaani. Wanasiasa wanaotoa hotuba zinazostahili kuwa msikitini na kanisani. Leo hii mkuu wa mkoa wa Mwanza anamwita rais Samia ni mtumishi aliyeletwa na Mungu. Sijui anatutisha au anajisemea...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Misiba ya wanasiasa, ishara ya mtengano wa kiitikadi kwenye shida na raha

    Viongozi wa dini kemeeni, wanasiasa kemeaneni. Msiba miaka yote haujawahi kuwa na itikadi wa chama ni wetu sote. Mmezalisha tabia ya kuvunja mashirikiano kwa sababu ya awamu na Matakwa ya kiongoz aliyetangulia. Aliwajengea woga na kuwafanya kuishi kwa kubaguana. Si afya kuendelea hivyo, msiba...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Kwako Prof. Janabi, Heshima yako na hongera sana kwa kuitendea haki taaluma yako vyema

    Kwako Prof JANABI. Heshima yako na hongera sana kwakuitendea haki taaluma yako vyema. Tarehe 12/6/2021 umewasilisha international report kwa Mh Rais. Ulijipanga vizuri mno. Ulitulia sana, Body language inamvuta msikilizaji tangu ulivyopresent kabla ya uzinduzi na hatimaye hotuba yako nje...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza kodi kwa vikundi vya scheme za umwagiliaji ni kukosa Hekima kwa Wanasiasa wetu

    Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu. Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Aisee! Wanasiasa...

    Huyu kazindua transformer.
  20. JamiiForums Tanzania Watu hatari zaidi tusiowajua ni Wanasiasa

    Watu hatari zaidi tusio wajua ni "wanasiasa" Wana urafiki wa kinafiki. Hawa ni watu hatari zaidi duniani! Huleta vita duniani. Hutengeneza chuki, uhasama kwa jamii na jamii. Huwatenganisha watu na jamii. Huchafua watu waonekane wabaya. Bora mchawi kuliko mwanasiasa. Mchawi hawezi kukologa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…