wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanasiasa mnaojijua bado hamjamaliza Uhuni wenu mkiteuliwa na Rais muwe mnakataa ili msije Kumharibia na Kujiaibisha

    Kuna Mtu tokea akiwa Masomoni Chuo Kikuu niliambiwa kuwa alikuwa ni Mhuni ( Mpenda Ngono hovyo hovyo ) nikawa bado mgumu Kuamini. Mtu huyo huyo tena akaniambia kuwa Mwanaume aliyenae sasa siyo wa Kwanza kwani alishakuwa na mwingine ila walishindwana kwa tabia yake ya kupenda Uhuni ( Ngono ) na...
  2. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano...
  3. JamiiForums Tanzania SAU yawashauri wanasiasa kuendelea kuiunga mkono Serikali ya awamu ya 6

    CHAMA CHA SAU CHAWASHAURI WANASIASA KUIUNGA MKONO SERIKALI YA AWAMU YA 6 Katibu Mkuu wa Chama cha siasa cha Sauti ya Umma (SAU ) Majalio Kyara akizungumza na Mtandao huu+ ofisini kwake Mgomeni Kagera jijini Dar es salaam. NA MUSSA KHALID DAR ES SALAAM Katibu Mkuu wa Chama cha siasa cha Sauti...
  4. JamiiForums Tanzania Wabunge Wanapokosa hoja za kisiasa wanakimbilia vifungu vya misahafu. Ongezeni ufahamu wa siasa

    Umekuwa mtindo wa kudumu ukisikiliza Bunge unaishia kuambiwa Biblia inasema hivi, Kuruani inasema hivi. Hakuna maneno ya watu mashuhuri au hoja zenye mashiko kisiasa. Hii ni dalili ya kuwa na wanasiasa waliofilisika kisiasa na wanahangika sana na elimu ya dini. Safari hii Spika kaangukia pua...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuondolee Waziri Gwajima na Msaidizi wake Dkt. Mollel, wana utoto mwingi na wanatusumbua hivi sasa

    Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile? Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka. Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliwaambia Wanasiasa wanapaswa kuchanjwa kwanza sisi Wanyonge tutafuata baadaye?

    Tunapokuwa na Taifa ambalo viongozi na watu wenye uwezo wanapewa kipaombele kwenye kila kitu tunakuza gap la usawa baina ya wananchi. Tumeleta dozi milioni moja kwa ajili ya watawala na wanasiasa wengi wakiwa ni wale waliopo madarakani na wastaafu kwa kisingizio kwamba wapo kwenye risk. Naomba...
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Katiba Mpya: Mchakato muhimu 'uliotekwa nyara' na wanasiasa

    Wanasiasa wote Duniani muda wote hufikiria madaraka,kwenye madaraka hawana mchezo wanaweza kufanya lolote ili kupata madaraka au kukumbatia madaraka yao.Ni siasa za kuchumia tumbo,wanataka au wanakumbatia madaraka ili yawanufaishe wao,kaya zao au ndugu zao na si vinginenyo. Wote wanasiasa wa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliowahi kubadilika kabisa kimisimamo na kunifanya niache kabisa kushabikia wanasiasa.

    Katika miaka michache niliyojaliwa na Mungu kuishi hapa duniani, nimeshuhudia mambo mengi kuwahusu ndugu zangu walioko kwenye uga wa siasa. Kimsingi nimejifunza kwamba wanasiasa kwa sehem kubwa ni watu wanaofanana. Wanachotofautiana ni nyakati walizoishi, na majina ya vyama wanavyovipigania...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Usipotoshwe na watu wasioelewa maana na utaratibu wa kuwa na raia pacha. Angalia hapa maelezo ya uraia pacha na niulize swali lolote nitakujibu

    Nimekuwa nikisoma maoni na hoja za watu kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha, na nimeshangaa sana na kugundua watu wengi sana wanaotoa maoni kuhusu uraia pacha hawaelewi kabisa inakuwaje mtu anakuwa na uraia pacha. Na hili nimeona hata toka kwa wanasiasa wanaopinga uraia pacha, na kuona kwamba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Computer na smartphone za wanasiasa wa upinzani zina nini?

    Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake. Zina nini hizi?
  11. JamiiForums Tanzania CCM imekuwa ikiliea wanasiasa magaidi! Hii ni aibu

    Kwa muda mrefu chama chetu kimekuwa na ukaribu na Ccm. Hata shughuli za kitaifa kama sherehe za uhuru na masuala mengi viongozi wetu wamekuwa wakialikwa. Leo hii nimeshangaa kusikia kiongozi wa chama chetu ni gaidi na anafadhili ugaidi. My take; Ccm nao walaumiwe kwa kukumbatia magaidi kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaofanya ugaidi wapo, Serikali ichukue hatua kali zaidi

    Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake. Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi? Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa baadhi ya wanasiasa unahatarisha mafanikio yanayopatikana kwenye mapambano dhidi ya COVID-19

    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson na serikali yake, wameonyesha msimamo wa ajabu ambao pia unaweza kuonekana kuwa ni ubinafsi, baada ya kuweka kipaumbele zaidi kwenye uhuru wa watu na hali ya uchumi, na sio maisha na usalama wa afya ya wananchi. Mwanzoni Bw. Boris Johnson alishutumiwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nchi yenye wanasiasa Magaidi si sehemu salama kwa uwekezaji

    Nchi nyingi zenye viashiria vya Ugaidi zimekuwa zikiyumba kiuchumi. Lakini pia raia wake upata shida Sana wawapo nje ya mataia yao kwa usumbufu wa upekuzi na ufauatilia unaomiza. Kutangaza nchi kwamba ina viongozi Magaidi Ni kosa kubwa kiuchumi na kisiasa pia. Kwa Mataifa ambayo yanaelewa...
  15. JamiiForums Tanzania Msingi wa hii dhana kuwa wanasiasa wasilipe kodi, wasishitakiwe inatoka wapi?

    Huwaga nashindwa kuelewa. Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanawahudumia wanyonge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa. Mbaya zaidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe. Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ifike hatua wanasiasa wetu wabadilike

    Katika jambo linalotafakarisha sana ni kitendo cha wananchi kuburuzwa na wanasiasa kwa namna wanayotaka. Wanasiasa huwaona wananchi kama watu wasiojitambua wala kujielewa hivyo wanaamini wanaweza kuwaambia chochote na kuwafanyia chochote na wakakubali. Ni jambo la kawaida sana kwa mwanasiasa...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania tuamke na tuache kuwakabidhi haki zetu wanasiasa

    Bado Tanzania ni nchi salama sana kuishi. Kwanini? Watu wake ni wapole na waliomtanguliza Mungu. Hata kwenye haki zetu huwa "Tunamwachia Mungu" na kuendelea na maisha kama kawaida tena kwa furaha. Tumeongezewa kodi ya ovyo inayoitwa kodi ya uzalendo/mshikamano lakini tuko fresh tu na kuanza...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Katiba iundwe na wataalamu sio wanasiasa

    Hakuna katiba ambayo itafanikiwa kama hatutabadilisha mfumo. Katiba iundwe draft yake iandaliwe na wataalamu pekee wenye uzoefu kwa manufaa ya nchi kama walivyofanya Kenya. Tukiweka wanasiasa hatutaweza kamwe kupata katiba nzuri maana wataweka manufaa ya Chama mbele ya manufaa ya nchi...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia

    Ndio tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia. Yaani unakuta mtu anayejiita mwanasiasa naye ni uchwara hamna kitu anachokifahamu vizuri au anachosimamia isipokuwa mihemko na ubinafsi. Chama nacho ni uchwara, hakina msimamo unaoeleweka au misingi ya chama kinaendana na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi. Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na Wataalamu kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…