wanasheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Godbless Lema: Mtoto wa Simbachawene asikomolewe kwa sababu ya matakwa ya Baba yake

    Mh Godbless Lema ambaye anatajwa pia kama miongoni mwa Manabii wa Mungu walioletwa Tanzania kwa makusudi Maalum , Amenukuliwa huko Twitter akipinga POLISI KUFANYA KAZI KWA MATAKWA YA SIMBACHAWENE . Mh Lema anadai mpaka sasa mtoto wa Simbachawene aliyedaiwa kudharau vyombo vya dola angali...
  2. D

    Wanasheria wa bure wa haki za binadamu kama kazi haiwalipi acheni kuliko kufanya kazi kwa visirani kwa wateja wenu

    Vituo vya msaada wa kisheria vilianzishwa ili kumsaidia asiye na uwezo wa kuajili gharama za wakili wa kujitegemea! Wizara na serikali kwa ujumla! Tazameni upya vituo vya misaada ya kisheria! Wanasheria waliopo kwenye vituo hivyo Wanafanya kazi kwa visirani kama wamelazimishwa! Wako too...
  3. Tozo, Miamala, Kikokotoo - Tanzania tuna Wanasheria Wasomi?

    JF team, SALAAM! Nimeona hivi karibuni Serikali ikipitisha vitu vingi ambavyo ni mzigo kwa watanzania (matajiri kwa maskini). Nimejiuliza sana kwa hakika upitishaji wa vitu vya hovyo umeshamili sana. = Kikokotoo kimepitishwa lkn watendewa ni pamoja na wabobezi wa masuala ya Sheria - hapa...
  4. TFF wanasheria za mkoloni ni mungu watu. Bodi ya Ligi ni kama mzinga wa nyuki. Yanga awamu hii msikubali na kinachoenda kutokea

    TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia. Nenda pale epl, bundersliga, hutaona michezo ya kitoto kama ya viongozi wa bodi sijui kamati ya...
  5. B

    Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

    Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata. Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
  6. Lissu, mabilioni mliyopewa katika chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) yaliishia wapi?

    Lissu alikuwa mmoja wa viongozi wa chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) . Chama hiki kilipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, na mara tu baada ya kupokea, chama hiki kiliuwawa kimyakimya na Hela ikaliwa. Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa ulifanyika ....ndugu yetu Lissu, hebu funguka ili upate...
  7. Je, kesi ikifutwa, Vielekezo navidhibiti vyote vinarudishwa Kwa wenyewe?

    Naomba nifahamishwe hili la KESI ya MBOWE kufutwa, au DPP kutokuwa interest na KESI, Swali langu ni Je Vielelezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe? Kama vitarudishwa. Je AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao? Kisheria limekaaje hili.
  8. R

    Wanasheria nisaidieni hapa

    Excerpt from the CA judgement........... Consequently, we invoke the provisions ofsection4(2)of the AJA to revise and nullify the proceedings of the CMA with respect to the evidence of PW1 and DW1 and the resulting award. Equally important, the proceedings of the high court in Labour Revision...
  9. Wanasheria, TLS na Wanaharakati ingilieni kesi ya Mbowe na wenzake ili haki itendeke

    Mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomhusu mhe. Mbowe na wenzake watatu unatia mashaka, tangu mwanzo wa kesi upande wa mashitaka umekua na visingizio vingi vya ugonjwa vinavyowahusu mashahidi, hawa mashahidi 24 wenye maradhi dhidi ya washitakiwa 4 wenye afya imekua kama mchezo wa kuigiza. Nia hasa...
  10. T

    Tuache siasa kwenye mambo nyeti. Tuwe na wanasheria wa Taifa na siyo wanasheria wa Serikali

    Kwa ubush lawyer wangu ukifuatilia matukio ya Sabaya mahakamani na matukio ya Mbowe mahakamani unaona kabisa wanasheria wa Serikali wanahama kwenye taaluma ili kumfurahisha mwanasiasa mwenye vifaru. Wakati huyo huyo mwanasiasa ndiye aliyeagiza. Kumfanya mwanasheria wa Taifa kutampa Uhuru wa...
  11. Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake...
  12. M

    Wanasheria na watafsiri sheria msaada wenu

    Nawiwa kuombwa msaada wa kutafsiriwa kifungu hiki Cha 84 (2) Cha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu namna ya kumpata spika wa bunge. Ni sahihi kusema kuwa nafasi ya naibu spika haijatajwa kwenye ibara hiyo Kama alivyosema Tulia? Ni sahihi Kwa naibu spika kugombea nafasi ya spika...
  13. Tanzania tunazalisha wanasiasa, wanasheria na viongozi wa Dini kuliko wanasayansi alaf tunataka kuingia 5G

    Wana JF, Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa elimu bora yenye mtririko wa kisayansi. Ukienda kwenye vyuo vikuu vya umma utakuta vijana wengi...
  14. Wanasheria naomba mnieleweshe suala hili

    Kwa mfano nimeshtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi,na jamhuri inajua kesi yangu si ya kuhujumu uchumi Ila wizi wa kawaida,Ila imeamua tu kunikomesha kwa sababu naisumbua tu serikali yao. Hakimu kila akiangalia anaona hakuna mashtaka ya uhujumu uchumi, je mahakama ina mamlaka ya kubadilisha...
  15. Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu?

    Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu!? Mathalani Marehemu alikuwa anamiliki: MAGOROFA YA HOTELI 7 MAGARI 6 aina ya BENZI NYUMBA ZA KUPANGA 100 DAlADAlA 1000 BARABARA ZA JUU (PRIVATE FLY OVER 7) Na Mengineyo Lengo ni...
  16. R

    Wanasheria nisaidieni kuhusu issue hii ya Ardhi na District Council authorities

    1. Je mamlaka za wilaya kama District councils, City/Municipal councils district and Town councils ana mamlaka nyingne za aina hiyo kwenye ardhi zinaruhusiwa kuingia kwenye unsurveyed land na kufanya mapimo kama vile kutenga barabara, au kufanya jambo lolote bila mhusika kuwa consulted? 2...
  17. K

    Hawa wanasheria walioshika kuandikiwa charge ndio ushauri kuhusu mikataba na miswada?

    Kilichotokea kwenye kesi ya Mbowe kina impact Sana kwenye siasa na uchumi wetu. Aina ya mawakili wa serikali na Majaji tulionao na kwa namna wasivyo serious kunapaswa kutujuza kwamba lipo tatizo serikalini. Juzi Mama aliwaelekeza waache kubambikia watu kesi, walipoelekezwa wakafuta zaidi ya...
  18. Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

    Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani! Tutarajie muswada wa kufuta huo...
  19. Mlundikano wa mahabusu: Iundwe tume ya Majaji, Mawakili na Viongozi wa Dini

    Ukweli hii ni safari ya pili rais anamwagiza IGP. Binafsi huo mlundikano umetengenezwa na jeshi la polisi kwa sababu zao kutokana na kuwabambikizia watu wengi kesi na kusababisha upelelezi kutokamilika hivyo kuwaachia polisi hao hao waumalize huo mlundikano ni vigumu sana. Ushauri kwa Mh. Rais...
  20. K

    Wanasheria tupeni uchambuzi kesi ya Sabaya

    Wakuu, Watanzania wengi kwa sasa hawaelewi kitu gani kinaendelea kuhusiana kesi ya aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Hai. Hivi wanasheria wasomi ndani ya nchi hii hamuoni missing gap hapa kwa wananchi wa kawaida? Sisi Watanzania tunahitaji uchambuzi na ufananuzi zaidi kuhusiana na scenario ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…