Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu?

Dodoma Demand

Senior Member
Oct 6, 2021
132
225
Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu!? Mathalani

Marehemu alikuwa anamiliki: MAGOROFA YA HOTELI 7

MAGARI 6 aina ya BENZI

NYUMBA ZA KUPANGA 100

DAlADAlA 1000

BARABARA ZA JUU (PRIVATE FLY OVER 7)


Na Mengineyo

Lengo ni kuhakikisha kila mwanadamu hapotezi muda akiwa HAI na unakuwa mfano kwa wengine waliobaki katika hii dunia badala ya marehemu kafia HOSPITALI, kaacha watoto 35 na wajane 6.

Dedication kwa (mtanzamo wa ASIYEMILIKI mali ndio MWAMBA katika maisha - MAFANO WA KUINGWA KWENYE JAMII)
 

Dodoma Demand

Senior Member
Oct 6, 2021
132
225
FLY

2960303_GOD_PLAN.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom