wanapenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini vijana Watanzania wanaongoza zaidi kufuatilia na kujadili ngono na uchawi ?

    Katika utafiti wangu usio rasmi niliuoifanya mitandaoni vijana wa Tanzania ndio wanaoongoza kufuatilia na kujadili mambo ya ngono/mapenzi na uchawi mtandaoni. Wanafuatiwa na vijana wa Uganda kisha Kenya. Rwanda ni wa mwisho. Hali hii inasababishwa na nini? Hali ya shibe Iko vizuri zaidi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanakupenda wewe au wanapenda kile wanachopata kupitia wewe?

    Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilitafakari. Wakati mwingine mtu anaweza kuonekana anakujali sana, lakini unapopunguza kusaidia, kutoa pesa, kutatua matatizo yake au kumpa kile alichokizoea kutoka kwako, ghafla ukaribu unapungua. Lakini pia si kila mtu anayepunguza ukaribu anakuwa na nia mbaya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini hawa Watatu hawakujitoa Muhanga? Walikuwa wanapenda kuishi? Ila wenzao wafe?

    1. Saddam Hussein 2. Osama Bin Laden 3. Muamar Ghadafi Hawa watu walikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa watoto wadogo, watu wazima na wanawake. Wakiwashawishi wajitoe mhanga. Wafe kwa ajili yao Nlitegemea wao wangeonesha mfano kuliko wale wawili kukubali kukamatwa au kuuawa na makafiri na huyu...
  4. JamiiForums Tanzania CCM wanapenda kupush CCM vs CCM ili waendelee kubaki, msikubali kuchezewa

    Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala. Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “ Upinzani sio Uadui”, sio uadui wakati watu wanauliwa, wanabakwa, chaguzi zinaibiwa, watu hawajazika...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu kwanini wazee wanapenda kuoa vitoto vya afu mbili

    Kwenye vitabu vya kale vya historia, kuna siri moja iliyobaki kwenye kurasa za zamani: Wakati Mfalme Daudi alipokuwa mzee sana na mwili wake ukikosa joto, washauri wake hawakumletea nguo nene za sufu. Walimtafuta binti mbichi kabisa aitwaye Abishag ili alale naye. Lengo halikuwa tu...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

    Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa tunakupa platform ukue, jina likiwa kubwa utapiga hela." Tatizo ni kwamba hiyo platform haiwezi kulipa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi wanapenda kusema, "NILIKUWA NA...", hata kama kitu wanachokisema kiko kwenye wakati uliopo?

    Kwa mfano, ukiwa unaongea na mwanamke utasikia akisema, 'nilikuwa naomba' unisaidi buku tano. 'Nilikuwa nauliza' kwamba mandazi shilingi ngapi. 'Nilikuwa naomba' uniruhusu kwenda nyumbani. Je, huu ndio mtinfo mpya wa wanawake mjini ama vipi? Baadhi ya vijana wa kiume nao wameshaanza...
  8. JamiiForums Tanzania Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake

    Hii si mara ya kwanza, Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake. Wito kwa wanaharati akina Hilda, Maria na wengine: Wawe makini na taarifa kama hizi, kwani huenda wanafanya maksudi ili kuwabaini wavujisha taarifa wenzao. Mfano...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

    Hapo VIP! Hili swali huwa sipendi ambao Wachaga wengi wanapenda kuiliza. Eti Wewe ni kabila gani? Hawa jamaa wanamambo ya Kipuuzi sana..nadhani kwasababu wanaukabila sana ndio maana wanapenda sana hili swali.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake wanapenda watu maarufu?

    Mfano mdogo kipindi kabla mondi hajatoka alipenda kuitwa domo Kaya.. Ila baada ya kutoboa tu akageuka kuwa mtu wa kupendwa na kutamaniwa na wanawake? Je mtu maarufu, hata kwa ujinga kwa nini hugeuka kuwa crush kwa mademu? Swali la kizushi tu. Wanawake wangekuja kusema ili tuone, je ni nini...
  11. JamiiForums Tanzania I love Indian culture wanapenda sana family Gathering kila jioni

    Napenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndugu na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna migahawa haifunguliwi mchana ni jioni tu halafu unakuta kuna reserve table kwaajili ya familia fulani...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuombwa tendo siku ya kwanza unayokutana naye, unakuta wengine wamechangamka wanakupa siku hiyo hiyo

    Hii nilichelewa kuigundua aisee, baadhi ya wanawake wengi wanapenda wanaume machachali ambao wanatamaa ya tendo mda wote, na wanapenda ile siku ya kwanza tu unayokutana naye ukamuomba tendo na ukamlilia kabisa akakupe siku hiyo hiyo Na ukimkuta yupo kwenye mood anaenda kukupa chap tu ...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

    Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday n.k au hata pasipo matukio. Sijawahi kuona hii tabia kwa Wachina, Wahindi, Wajapan, Wakorea au...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanywaji wengi wanapenda Serengeti Lager ndogo wakati kubwa ni rahisi zaidi?

    Hapa nilipo Serengeti Lager kubwa na ndogo zoto ni bei mmoja Tsh2500 ila ndogo ndio zinatembea zaidi, wanaokunywa kubwa wanahesabika!
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanapenda singeli???

    Wapendwa.. Kwanini Watanzania wanapenda singeli.. kijana ukimpa nyimbo ya boni mwaitege na d voice au malume.. atachagua malume.. hivi hili mnalionaje???
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kinyamwezi ni wavivu na wanapenda Sorcery (Nsamba)

    Wanawake wa kichaga ni assets kataa kubali. #hakuna mchanga fala.
  18. JamiiForums Tanzania Confirmed !Hatimaye wamepewa Orodha ya Viongozi wa kisiasa, Mahakama, Vyombo vya Usalama ambao wanapenda kuwekewa Vikwazo !!

    Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho Kwa sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake vibonge na wenye mavitambi wanapenda style ya kuikalia kwa juu?

    Kuna kautafiti nimekafanya,nimegundua wanawake vibonge na wenye mavitambi wanapenda sana style ya kuikalia kwa juu. Hivi ni kwa nini wanaipenda sana hiyo style?
  20. JamiiForums Tanzania Je ni kweli wanawake wanapenda pesa au ni uongo unaoenezwa na watu wasio na pesa?

    Wakuu naomba nielewe kidogo bila kubishana 😅 Je ni kweli wanawake wengi wanapenda pesa, au ni kauli tu ya watu waliopitia experience tofauti na wale wanaotafuta excuses na faraja ya umasikini wao Nauliza kwa ajili ya kuelewa mtazamo wa watu 🙏 NACHANGANYIKIWA MIMI Funny boe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…