wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya wana Yanga kwakunyimwa goli ni nusu tu ya maumivu wanayopitia wananchi wanapoibiwa kura na CCM

    Maumivu ya wana Yanga yanaweza yakawa maumivu yanayogusa wananchi wenye itikadi mbalimbali kisiasa na dini. Kwa wale mashabiki wa Yanga ambao pia ni wanachama wa CCM napenda kuwaambia maumivu waliyonayo kwa mwamuzi kutokutenda haki ni nusu ya maumivu waliyonayo wananchi wanapoibiwa kura...
  2. JamiiForums Tanzania Nani kufuzu nusu fainali leo kati ya Wananchi na Wenyenchi?

    Mtaniii, Leo usiku zinatarajiwa kucheza mechi mbili za kihistoria ambapo Simba na Yanga zitakuwa ugenini kwenye ng'we ya pili ya robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa. Simba wapo Misri kumenyana na Al Ahly wakitafuta kupindua meza baada ya kupoteza mchezo wa nyumbani kwa bao 1-0! Yanga wapo...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Aiomba Serikali Kuwapa Wananchi Ruzuku ya Gesi

    Mbunge Cherehani Aiomba Serikali Kuwapa Wananchi Ruzuku ya Gesi Mbunge wa Ushetu (CCM), Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Nishati kutoa ruzuku ya gesi kwa wananchi waishio maeneo ya vijijini, ili kusaidia utuzwaji wa mazingira na kuthibiti ukatwaji wa miti pamoja na kupunguza gharama za...
  4. JamiiForums Tanzania Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

    Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere. Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iamuliwe na wananchi

    Kumekuwa na manung'uniko mengi linapokuja suala la muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar huku kila upande ukionesha kutoridhishwa na muungano huu. Suala la muungano tangu kuanza kwa kwake mpaka sasa limekuwa likitawaliwa na maamuzi ya watu wachache ( Elites), huku mawazo na mitazamo ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hai, Kilimanjaro: Vurugu kubwa kwenye tukio la Mwenge, wananchi wadai kuporwa ardhi na mamlaka ya Bonde la mto Pangani

    MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde la Pangani, hivyo walikuja na mabango kuonesha kero wanayopitia lakini mabango yao yalikumbana nguvu...
  7. JamiiForums Tanzania Sheria ya Maafa ya mwaka 2022 inasaidia vipi wananchi kipindi cha maafa?

    Hapa katikati Tanzania tumekua na maafa kadhaa. Kubwa kuliko yote lilikua la Hanang Manyara. Lakini leo pia kumekua na taarifa kwamba zaidi ya wanakujiji 895 kutoka katika kaya 179 za kijiji cha Taweta kilichopo kilombelo Morogoro hawana mahala pa kuishi wala chakula kutokana na janga la...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Wananchi hawahitaji Elimu ya Katiba ya Miaka mitatu, mchakato urejeshwe

    https://www.youtube.com/watch?v=xoyfxK2zxJk Nipo nawasikiliza Wachambuzi wa masuala ya Sias wakijadili Katiba Mpya. Baadhi ya washiriki wa mjadala ni: Dkt. Anna Henga, Mkurugenzi Mtendaji, LHRC Dkt. Willibrod Peter Slaa, Mbunge Mstaafu Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu , ACT-Wazalendo Salma...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi CHADEMA wamhoji Kitila Mkumbo ''mnatoa wapi izo data zenu jamani''?

    02 April 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Kipande cha barabara cha Boko Bulumawe kimetelekezwa wananchi tunapata shida kupitia

    Wananchi wa Mtaa wa Bulumawe kata ya Bunju tunakutana na adha kubwa ya kupita katika barabara baada ya barabara hiyo kuanza kutengenezwa, lakini wameichimba tu na hakuna kinachoendelea hadi sasa zimepita week 3. Barabara hiyo imekuwa ni changamoto kupitika kwa usafiri wa aina yeyote na hata kwa...
  11. JamiiForums Tanzania TRA inawakarabisha wananchi wote kutembelea banda letu

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakarabisha wananchi wote kutembelea banda letu katika uzinduzi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa 2024 utakaofanyika katika viwanja vya Chuo kikuu cha Ushirika wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro tarehe 2/4/2024. Aidha TRA itaendelea kutoa elimu ya kodi...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro atuhumiwa kuhusika na ufisadi wa kutisha

    Wananchi jamii ya kimasai waanika upigaji mkubwa uliofanywa Ngorongoro === Akizungumza kwa niaba ya Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro, Diwani James Moringe, Kata ya Olektore ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wafugaji ametoa taarifa hii kwa sababu kuu Tatu; 1. Sisi kama macho ya Serikali...
  13. P

    JamiiForums Tanzania RC Sawala: Tumeteuliwa kwaajili ya kuwatumikia wananchi

    Akizungumza leo wakati wa ibada ya Pasaka, iliyofanyika Kanisa la Watakatifu wote jimbo la Mtwara manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala, akiwa katika ibada ya Pasaka 31/3/2024 Manispaa ya Mtwara Mikindani amewataka wananchi kuwatumia viongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Ifike mahali, Wananchi wawakatae Wakuu wa Mikoa wasiofaa. Uteuzi wa Rais siyo msahafu

    Maendeleo ya watu huletwa na watu wenyewe kwa kushirikiana na viongozi bora katka mazingira ya amani, utulivu na upendo. Kiongozi ambaye siku zote ni kuchochea mpasuko na vurugu hafai hata kidogo. Nitoe mfano hai kwa kiongozi kama Makonda. Kiongozi huyu ametuhumiwa na kwa ushahidi ulio wazi...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi Jordan waandamana kwa nguvu wakitaka mpaka ufunguliwe waingie Palestina

    Joto la vita limeanza kupanda ndani ya Jordan ambayo pamoja na Misri ndizo nchi muhimu kwa usalama wa Israel. Wananchi wa nchi hiyo hawajaridhishwa na namna nchi yao ambayo ina udugu mkubwa na Palestina kwa namna inavyoshughulikia madhila ya wapalestina na vita vya Gaza. Hata walipomuona mfalme...
  16. JamiiForums Tanzania Mstahiki Ramadhani Kapera Meya wa Tabora usitumie ubabe wajibu wananchi wako

    Mstahiki Meya dhamana uliyopewa kuiongoza manispaa ya Tabora usiigeuze fimbo ya kuwachapia wakazi wako. Mkazi mtu mzima alikuuliza swali kuhusu wale mnaowaajiri kwa kujuana na kuwapa kazi mishahara na vifaa vya usafi wa mitaro wako wapi mpaka muwalazimishe wakazi kufanya kazi hizo pasipo na...
  17. JamiiForums Tanzania Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Yanga hatunaga dogo Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya Mamelodi Sundowns wajipange, Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu Twende kazi
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe adhalilika, Wananchi wamkimbia uwanjani

    MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo...
  19. JamiiForums Tanzania Yoon Suk Yeol: Taarifa za uongo zinaathiri wananchi kufanya maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi

    Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol akiwa katika Mkutano wa Tatu wa Demokrasia uliofanyika Machi 18, 2024 ametoa wito kwa viongozi wote Ulimwenguni kuunga mkono jitihada za kukomesha taarifa potofu Yoon ameeleza Taarifa zisizo za kweli wakati wa Uchaguzi huweza kuathiri mchakato mzima wa...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara Tegete A ni kero, kama wameshindwa kuboresha watuambie Wananchi tujichange

    Wakazi wa Tegeta A (maarufu kwa Bedui) tuna kero ya Barabara, huu ni mwezi wa tano sasa unaelekea wa sita, barabara ni mbovu na inatuumiza Watumiaji. Barabara ninayoizungumzia hapa ni ile ya vumbi kutoka kwenye lamı ya kwenda Madale mpaka Centre maarufu kwa jina la Bedui. Barabara imechimbika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…