This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Nina uchungu.
Hakuna mzee hata mmoja wa kuonya Mkapa, Mwinyi hawapo.
Mzee Mkapa ndiye alikuwa anauthubutu wa kusema wazi na kukemea yeyote kwenye nchi hii ukitoa Baba wa Taifa.
Kwa sasa nchi haina powerful end say, ndiyo tujifunze kushabikia wanasiasa vizuri.
Nchi haina baba na waliopo ndiyo...
Mambo ya ajabu sana yanayotokana na upofu wa viongozi.
Kama hao wabunge wana uchungu sana na afya za wananchi ni kwa nini wasiridhie kutozwa hata 2% kwenye mishahara yao na kiinua mgongo kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Bima ya Afya?
Wananchi amkeni... Utapeli mwingine kama huu ukataliwe na...
Tuliahidi tukatekeleza
1. SGR from Dar To morogoro: usafiri umerahisishwa sana.Biashara zinasonga sana
2. Bwawa la Nyerere : mgao wa umeme umekwisha kabisa
3. Daraja refu kabisa africa ,kigongo busisi aka JPM brigde : kitovu cha utalii wa luingiza fedha za kigeni,usafiri umerahisishwa sana...
Barabara ya UBUNGO kutoka Posta wananchi wameifunga
Hii sasa ni balaa wananchi wanamlinda Askofu wao.
Baadhi ya wananchi ( waumini ) ambao walionekana nje ya Kanisa la Ufufuo na uzima ambalo lipo chini ya Askofu Gwajima wakiwa wamefunga barabara kushinikiza kuto kamatwa kwa Askofu wao na hii...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo na kufanya shughuli za kibinadamu ili kuepuka ukame.
Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 2, 2025...
Yani hii Tanzania sio kabisa ukiambiwa miaka mitano nyuma tulikuwa tunateleza tu hutaamini barabara ni mbovu sana.
Watu wamegoma kusafiri bila emergency payment maana wanajua hali ikibadilika, safari ya siku 3 itakuwa ya week.
This is shameful, hatuna highway hata moja nzima, ni potholes...
Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji vya Namsinde na Mfuto kuzifikia kwa urahisi huduma za kijamii na kiutawala zinazopatikana Makao Makuu ya kata hiyo Myunga wilayani Momba mkoani Songwe.
Akizungumza katika...
Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi,
Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi...
Watu sisi ni mashahidi. Tunajua kinachoendelea.
Askofu amegoma kuwa mnyonge. Ameamua kuendelea kuwa upande wa wananchi.
Kwa vyovyote vile Utawala haujafurahishwa na hotuba ya leo pale kanisani.
Nini hatma ya mzozo huu? Utawala utakubali kukaa kimya?
Ukiwa mwepesi wa mihemuko na mbusu pete ya msimamo wa itikadi kali jibu lako litakuwa ni USA na ISRAEL
ila kiukweli maudui wakuu wa Gaza ni:
Qatar
Iran
Yemen
Jordan
Maana hawa ndio wanaofadika na misaada wanayopewa palestina huku wakitaka kuonesha dunia tabu ya palestina kwa kumchokoza...
Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana
Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
Wakuu
Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii?
"Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani"
"Wabunge hawa...
Wakuu
Kutokea kijiwe cha Mwembe Yanga, Temeke - Dar es Salaam :- BanduBaba mdau kutokea kijiwe cha Mwenye Yanga akitoa mazito kuhusu viongozi walivyo sahau changamoto za wananchi
Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii?
======================================
Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
Mko salama wanajamvi?
Niende moja kwa moja kwenye mada
Kuna ndugu zetu humu, tunaweza kuwa tunawabeza, kuwatukana, kumbe maskini wa Mungu wametumwa kuangalia comments za wananchi. Ndo maana ukifatilia mada zao ni kuponda upande wa pili na kusifia tu CCM. Hata kama watu wanauwawa, wanatekwa...
Mwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu!
Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.
Ipo kauli ilitolewa na bw. Lema akitaka watanzania wasiende kuhudhuria mikutano ya baadhi ya vyama, napinga kauli ya bw. Lema kwa nguvu zote, watanzania wanao wajibu wa kuhudhuria mikutano yote ya vyama kwa wingi kabisa, ili waweze kubaini ni yupi au chama gani kitawafaa kwa sababu kura ni siri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.