This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Takwimu zote, pamoja na hisia za wananchi ni kuwa polisi wanagandamiza na kudhulumu haki za wananchi. Kauli hii iliwahi kutolewa pia hata na Rais Samia siku za mwanzoni mwa utawala wake, kabla na yeye hajageuka.
Polisi wa Tanzania, mahali ambapo watajitokeza kwa uwingi mkubwa na kila aina ya...
Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki. Maneno haya pia Rais Samia aliyatamka mwaka 2024 wakati akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye...
Habari ndugu zangu wana jamii forum.Kuna hii ishu ya kununua nguzo za Tanesco kwa ajili ya kuunganishiwa umeme? Maswali yangu ni kama ifuatavyo.
1.Je kuna sheria inayowaruhusu kuwauzia nguzo wananchi??
2.Kama mwananchi amenunua nguzo ni sawa kuwa mali ya Tanesco??
3.Kwa nini wanawaungia watu...
Great Thinkers.
Nadhani pakitokea ranks za raia waoga dhidi ya watawala wabidhilifu Tanzania na Uganda lazima tushike seat ya mbele.
Kinachotupoanza kikubwa ni unafiki imefika mahali hadi dini zinatumika kutetea ujinga, mimi.siyo mdini lakini itoshe kusema waislamu ni binadamu wanafiki kuliko...
Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli.
Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka)...
Wakuu,
Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote?
Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi?
Au tafsiri ya wananchi ni...
Sisi Wananchi tunaoishi hapa Mbagala Sabasaba tunapata changamoto ya mazingira kuchafuliwa na kuwa hatari kwa afya kutoka katika Machinjio ya Ng’ombe ambayo yapo kwenye makazi ya Watu.
Maji machafu ambayo yanatoka kwenye machinjio hayo tanatiririka kwenye makazi yetu na hakuna jitihada...
Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu bajeti hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye kiasi cha shilingi bilioni 11.7.
Akizunguzmia bajaeti hiyo mkazi wa...
Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zilizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na...
Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, ametoa wito kwa viongozi na mamlaka zinazohusika na uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia maoni ya wananchi pamoja na ushauri kutoka kwa viongozi wa juu na wadau mbalimbali wenye...
Rais najua japo wengi wanamchukia ila kuna wachache wanapenda,ila Kauli kama hizi zitamfanya kila mtu amuone kama ni katili na mwenye Roho mbaya sana na wananchi kuzidi kumchuikia.
Wananchi zaidi ya 900 wamepatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo katika Hospitali ya MT. Joseph Peramiho, huduma ambazo kutolewa na madaktari bingwa wa magonjwa ya saratani kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa muda wa siku nne (4).
Waziri wa Afya Mhe...
Katika historia ya mataifa yote yaliyojikomboa kiutawala, sauti ya wananchi ndiyo iliyovunja minyororo ya uonevu na ukandamizaji. Lakini hapa Tanzania, tunaishi katika kipindi ambapo ukimya wa wananchi umegeuka kuwa baraka kwa watawala dhalimu. Viongozi wanakiuka haki, wanatumia vibaya madaraka...
Maswa:Ni saa 22 tangu kuwekwa humu jamvini uzi uliokuwa na kichwa cha habari”Bonde la Ziwa Victoria mnataka kuwadhulumu wananchi wa kijiji cha Iyogelo,wilaya ya Maswa ardhi yao mliochimba bwawa?”leo mmefika katika kijiji hicho katika kitongoji cha Bugarama na kufanya tathimini ya maeneo ya...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa wito kwa madaktari na wauguzi kote nchini kuwa na utu wanapowahudumia wagonjwa, hususan wale wanaoshindwa kulipia gharama za matibabu kwa wakati.
Akizungumza bungeni leo Alhamisi Aprili 17, 2025 wakati wa kipindi cha...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM...
Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China.
Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class.
Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.