wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

    Mwazahumua wedi wagosi wa JF wabwanga na watate? Mwahumuaze wandee wose na va mame? Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima. ✍️ ooh tatenaneee wabwanga tushikamane Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja. Tutaona mengi huu mwaka Ndio kwanza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chato: Wananchi wafurahia jina la Dotto James Ngosha kukatwa. Colnell Magembe apigiwa chapuo

    Ndoshi, alena kishimbhe, alena thuja Kila kona wamefurahi kuanzia stendi ya zamani mpaka vijijini huko Bukamila Ilemela na kwingine kote. Alipokuwa katibu wizara ya Fedha alidharau sana watu Colnell Magembe huenda akawa Mbunge wa Chato. Source: Phone caller
  3. R

    JamiiForums Tanzania Watendaji waaswa kutatua kero za Wananchi

    Katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma stahiki, Serikali imewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanasimamia ipasavyo mapato ya ndani na kushughulikia changamoto za wananchi katika maeneo yao Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro,Kiseo Yusuph...
  4. JamiiForums Tanzania Petabytes 633 ndo kiwango cha data kilichotumika na wananchi 2024/2025. Lakini mpaka leo huna cha kuuza mtandaoni

    https://www.tcra.go.tz/uploads/text-editor/files/Takwimu%20za%20Mawasiliano%20za%20Robo%20ya%20Mwaka%20Inayoishia%20Juni%202025_1752572004.pdf
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Ibrahim Kaniki: Wanachokifanya CHADEMA ni amana iliyokubaliwa na wananchi

    Akizungumza Julai 26, 2025 katika hafla ya kuongoza dua maalum kwa ajili ya kumuombea heri na ulinzi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu,aliyeko rumande kwa tuhuma za uhaini na uchochezi, Sheikh Kaniki alieleza kile wanachokisimamia CHADEMA ni ridhaa kutoka kwa wananchi. Alisema "Chadema...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe CCM wanaweza kubadilisha katiba yao tena mtandaoni lakini ya Wananchi aaah!

    Katibu wa CCM, Amos Makala ametangaza leo kuwa CCM wanatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vya Kamti Kuu Halmashauri Kuu Taifa kupitia njia ya Mtandao. Pia ameeleza kuwa ajenda ya kikao hicho ni Marekebisho ya Katiba ya Chama hicho ila najiuliza kama...
  7. JamiiForums Tanzania Wananchi Tumekuwa Spectators Katika Nchi Yetu – Hii Ni Dhihaka Kubwa Kwa Demokrasia Yetu!

    Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba hatuna akili za kupambanua nani anafaa kutuongoza. Hivi kwanini kura yangu – kura yako – iwe treated...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Neema mpya Arusha! Wananchi kicheko

    Mikopo ya 10% 👇🏽 Chini ya Rais Samia Mikopo ya 10% kwa vijana, wanawake na walemavu Arusha imeongezeka kutoka TZS 3.08bn (2021) hadi TZS 13.55bn (2025), ikinufaisha zaidi ya vikundi 1,380 na kuinua maisha yao kiuchumi. Arusha OKTOBA Tunatiki ✅
  9. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa

    Wakuu mpo vizuri? Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi. Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Alex Msama: Mtumishi wa watu mwenye dhamira ya kweli aliyebeba hatima njema ya wananchi wa Ukonga!

    Jina la Alex Mwita Msama halihitaji utambulisho wa makelele mengi. Alex Msama ameweka alama na nembo isiyofutika katika jamii ya Watanzania. Ameibua , kukuza na kuendeleza vipaji vya wengi kupitia muziki wa Injili. Kwa miaka mingi, Alex Msama amekuwa kielelezo na mfano hai katika kumtumikia...
  11. JamiiForums Tanzania Maandamano rasmi Kwa wananchi haihusiani na chama chochote ni sisi wananchi tumeamua

    Kama sio Leo Ni lini twendeni ikulu Dodoma hamna kusubiri Hawa watawala watatumaliza tarehe 28 tupo ikulu
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makalla: Wananchi watulie hakuna aliyefyekwa hadi sasa

    Makalla: Mashinikizo ya watia nia kupitishwa, chama kitafanya uteuzi na wanachama watapewa taarifa. Mpaka sasa hakuna aliyekatwa au kufyekwa. "Kwamba kila kata waje waamke waseme tunamtaka mtu fulani, tunamtaka mtu fulani, tunamtaka mtu fulani. Ndiyo maana wakati ule wa kuchukua fomu tulisema...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT yalalamikia utaratibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar unawakosesha Wananchi wengi haki ya kupiga kura

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima na Pole pole , ni kama walituambia watekaji ni kina nani, wananchi tunadhani Wenye power waahusika

    Ni kweli nataka kuanza na sisi wananchi, njoo mtaani uone reaction ya watu kuhusu utekaji , wanadhani watu wa usalama wapo Kila kona mtaani , hivyo raia wengi wamekuwa waoga kuongea ,na ukiuliza chochote watatuambia Mimi sitaki kuongea kitu unataka nitekwe, maofisini pia watu wamekuwa waoga...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Aweso: 'Tufocus' katika miezi hii miwili, kufikia Oktoba wananchi Tabora wapate maji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji-28 kufanya kazi Usiku na Mchana ndani ya Kipindi cha Mwezi Julai na Agosti, akiagiza wananchi wa Miji ya Urambo, Kaliua na Sikonge mkoani Tabora kuanza kupata huduma ya Maji Mwezi Oktoba mwaka huu. Wakati wa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Gwajima ametoa wito kwa wananchi wote kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani, utulivu na mshikamano

  17. JamiiForums Tanzania John Heche: Wabunge wanafanya Siri mishahara yao ili Serikali iendelee kuwaibia Wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wakati alipokuwa Bungeni mishahara ya Wabunge ilikuwa Tsh. Milioni 4 (take home) na nyongeza ya Posho ya Jimbo Tsh. Milioni 8 kwa mwezi lakini kwasasa jumla Mbunge analipwa zaidi ya Tsh. Milioni 18 kila mwezi na ndio maana hawataki kuweka wazi...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 JamiiCheck ilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Taarifa sahihi huwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi

    Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
  19. JamiiForums Tanzania No Reforms No Election haizuiliki wala kushikika: Wananchi sasa wanasema wazi hawatopiga kura Oktoba 2025

    Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria. Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe. Watanzania tujipongeze sana. Lazima CCM watambue sisi sio mafala tena. No Reform No Election ✊️ ✌️
  20. E

    JamiiForums Tanzania Kelele mitaani tishio kwa wananchi

    Licha ya Sheria ya Mazingira, 2004 kukataza upigaji wa kelele unaosababisha kero kwa Wananchi, bado suala hilo limekuwa kero katika maeneo mbalimbali nchini. Sheria hiyo kifungu cha 3 inatafsiri kuwa kelele ni kila uchafu zi usababishwao na sauti ambayo kwa asili inakataliwa au ile iwezayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…