wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naionea huruma Tanganyika nawa one huruma wananchi wa tanganyika

    Poleni sana ndugu zangu
  2. JamiiForums Tanzania Oktoba tunatiki challenge target 5k replies

    Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa watu mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
  3. JamiiForums Tanzania Rais Wa JMT hajui kama wananchi wanasafirishwa kama ng'ombe. mfikishieni Taarifa

    Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi) Mh. Rais SSH hana hizi taarifa Huu usafiri sio salama
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za CCM Mbalizi mkoa wa Mbeya 2025-2030

    Uwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamiaUwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. #haijapatakutokea kurayakwanzakwaSamia
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Magufuli awataka Wananchi wa Isaka kuendelea kuiamini CCM chini ya uongozi wa Rais Samia

    Mitano tena kwa Jesca Magufuli =============== Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameendelea kufanya mikutano yake ya kampeni ambapo leo Alhamisi Septemba 4, 2025 ameanza katika eneo la Isaka katika Jimbo la...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri aliyehonga wananchi nyama ya ng'ombe 500 alipigwa chini na kachero la uchafuzi

    Hajafanya lolote jimboni. Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague. Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini laki 8. Laki nane X 500 = 400 milioni Umepata wapi hela hiyo ya kuchoma siku moja, akajibu...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge aahidi kuwapatia wananchi UJI huko Lindi

    Wakuu mimi Nimeshangaa kidogo,huyu mgombea ubunge huko mkoani lindi ameahidi kupatia wananchi uji. Hivi hawa wanasiasa wako serous kweli?
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uwajibikaji wa taasisi zinazohudumia wananchi; Je, wanafanya inavyotakiwa?

    Ni miezi 6 sasa nafuatilia usajili wa kikundi chetu kwa mkuu wa wilaya ya kinondoni chini ya wizara ya mambo ya ndani. Kila nikienda nipate majibu wananiambia taarifa zetu hazijarudi na hawajui ni lini zitarudi tumeamua kusajili kwa njia ya mtandao online tumelipia elfu 50 ya fomu ya huduma ni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao? Polepole kasema mengi yenye...
  10. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi kwenye baadhi ya nchi yaliyowahi kupata Ushirikiano wa Wananchi

    Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi Afrika 1. Mali (2020, 2021) – Wananchi walipinga ufisadi na ukosefu wa usalama, wizi wa mali za Umma...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Kulikoni walioitwa wabunge wa COVID-19 ambao walifukuzwa uanachama wa CHADEMA wanakubalika zaidi kwa wananchi wakati CHADEMA imesahaulika kabisa?

    Je, Chadema walikurupuka kuwatimua hazina hiyo muhimu ya viongozi wa wanawake wanaokubalika zaidi kwa wananchi na kuwaita wasaliti? Maana iko wazi kwamba, wote waliojiunga na chama tawala na kupewa fursa ya kugombea nafasi ya ubunge, wanakubalika zaidi, wanaaminika zaidi kwa wananchi, na...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia apiga selfi na wananchi wa Kibaingwa

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya 'Selfie' na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Agosti 30, 2025.
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Miongoni mwa atakayozungumza: 1. Biashara za Rostam Aziz 2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam 3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki 4. Wezi wanakoficha pesa 5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini 6...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyejifanya Msukule akamatwa na wananchi akiiba, Arusha

    Mwanamke mmoja anayedhaniwa kuwa ni msukule amekamatwa mkoani Arusha, ndani ya duka la dada mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe Mwanamke huyo alikutwa akiiba vitu mbalimbali, ikiwemo viatu na nguo, kitendo kilichowashangaza wateja na majirani waliokuwa karibu na eneo hilo ‎ ‎Mashuhuda wa...
  15. JamiiForums Tanzania JESHI LA WANANCHI SHIKAMOO.

    Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama. Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka "...
  16. JamiiForums Tanzania RC Iringa: Kuna maafisa wanafokea wananchi, kama huna majibu ya maswali aliyokuuliza mwananchi usimfokee

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameonya na kukemea tabia ya Watumishi na maafisa wa Serikali kuwafokea na kuwatokea kauli mbaya Wananchi pindi wanapohitaji huduma, huku akisema kuwa kufanya hivyo ni utovu wa Nidhamu na kwenda kinyume cha Misingi, taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Unyenyekevu wa Wagombea kwa Wapiga Kura kipindi cha Uchaguzi ni Mbinu za Kisiasa na kuwalaghai Wananchi?

    Wakuu! Tupo kwenye joto la uchaguzi mkuu hapa nchini, na tumeona baadhi ya wagombea wakionyesha maisha ya kawaida kwa wananchi ni kama kujishusha na kuishi maisha ya hadhi ya chini. Hata hivyo, je, wananchi wanawezaje kutofautisha kitendo halisi cha unyenyekevu cha mgombea na propaganda...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Homera asindikizwa na mamia ya wananchi wa Namtumbo kuchukua fomu ya kugombea ubunge

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Namtumbo Dkt. Juma Zuberi HOMERA, Tarehe 26 Agosti, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa taarifa tu mkude ndie mchezaji pekee ataagwa na timu mbili tofauti kwa heshima..Simba day na wananchi day

    KILA.LA KHERI MWAMBA ULIITENDEA HAKI TATHNIA YA MPIRA ALL DBEST NIONGEZE SAUTI AMAA.???
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania – Tujifunze kwa Norway jinsi Inavyogawa Utajiri wa Taifa kwa Wananchi Wake.

    Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…