This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Dah.. Japo mimi ni Mngoni ila nachukulia sana Ruangwa ndio kwetu, maana nimezaliwa na kukulia huku; hadi leo hii nina miaka 19, familia yetu haijawahi kuhama Ruangwa
Huku wanashangilia sana CCM kwa sababu kipindi cha Magufuli, Majaliwa alijitahidi kuleta maendeleo lakini wananchi hawaelewi...
Najua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani.
Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa.
Edmund John
Aziz Andambwile
Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona mechi kubwa zenye presha.
Vipi wananchi mmewaonaje awa mastaa wapya? Ni wa kuwategema kuvusha team?
Ndugu zangu, kuna jambo moja linazidi kujidhihirisha katika historia yetu ya kisiasa: Tanzania bado ni nchi ya watazamaji, si ya washiriki. Ndio maana kila baada ya muda fulani, Chadema huibuka na tangazo la maandamano, mara hii Oktoba 29, kana kwamba dunia itatikisika, serikali itatetemeka, na...
Wakuu habari,
Hizi ni baadhi ya picha na video za Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Mkumbo akipita mtaani kusaka kura kutoka kwa wananchi kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
Je, ataendelea na muenendo huu wa kufanya ziara Mtaani katika Jimbo lake...
Ipo kauli inayosema msanii ni kioo cha jamii, kwa sababu wanapaswa kuakisi na kuifunda jamii yao katika mstari ulionyooka katika nyanja zote. Kupitia sanaa yao wanalo jukumu la kuielimisha jamii, kukosoa na kukemea maovu, kuburudisha na kadhalika, yote ni katika kujenga jamii yenye haki, amani...
Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM.
Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?.
Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?.
Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote.
Nawasilisha kutoka...
Ni kusuka au kunyoa. Kikwazo cha kwanza kitatolewa majibu leo, kama Lissu ataachiwa huru au majaji watatupilia mbali hoja zake.
Kumbuka, Lissu aliibua hoja za msingi sana zilizohusisha uwepo wa mapungufu makubwa ya kisheria kwenye commital process iliyofanyika Kisutu hivyo kuialika mahakama kuu...
Watoto wa Mkuu wa Usalama wa Taifa wakiwa wana enjoy matunda ya watanzania wasio na uchumi sahihi,
Wanaonesha madolali na kutambia watanzania Wengine
Nimekumbuka ilikuwa asubuhi tarehe 17/02/2025 nikakutana na mtoto wa mstaafu fulan ambaye aliwahi zushiwa kuwekwa kuzuizini
Aliniambia hivi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi, Wakili Dickson Matata, ameonesha masikitiko yake kwa vyama vya siasa vilivyokubali kushiriki uchaguzi licha ya kuwepo madai ya kukosekana kwa mabadiliko ya msingi katika mfumo wa uchaguzi nchini.
Akizungumza kupitia...
Klabu ya Yanga inatarajia kukipiga dhidi ya Bandari FC kutokea nchini kenya katika uwanja wa Benjamin Mkapa leo Septemba 12, 2025 katika kuadhimisha siku yao ya Mwananchi.
Yanga yauza tiketi zote (Full house)
Uwanjani (Benjamini Mkapa) kukiwa kunameremeta kuelekea sikukuu ya wananchi...
wanaosema mpo tayari kunipa miaka mitano tena ya majaribio, nijaribuni kwa miaka mitano mimi na Shukuru (mgombea Udiwani kata ya Minazi mirefu) ni kwa sababu sisi tunaamini changamoto za wananchi wa Miti mirefu zinapaswa kutangulia maslahi yetu yanapaswa kufuata nyuma"
Hayo ameyasema Agnesta...
Zaidi ya watu 200,000 wameandamana na mamia wakamatwa nchini Ufaransa Septemba 11, 2025 kufuatia maandamano makubwa ya kitaifa yaliyoanza Septemba 10, 2025 wananchi wakipinga mipango ya kupunguza bajeti na hali tete ya kisiasa nchini humo.
Vuguvugu hilo lililopewa jina “Fungeni Kila Kitu”...
“Wananchi kesho mtaona ladha ya kiutofauti kutoka kwetu. Tumepata kocha mpya ambaye amekuja na mbinu zake. Wachezaji wetu tupo nyuma yake kuhakikisha tunafanyia kazi kila mbinu ambayo atatuelekeza. Mwalimu amesisitiza sana nidhamu ya mchezo, bila shaka huo ni wajibu wetu Ili kupata matokeo...
Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, amefanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri Jumatatu Septemba 8, 2025 kufuatia maandamano yenye vurugu yaliyozuka nchini kote kupinga marupurupu ya wabunge na kupanda kwa gharama za maisha. Hatua hiyo imekuja baada ya kuongezeka kwa malalamiko ya...
Ikiwa mikutano ya kupiga kampeni kuendelea nchini. Chama cha CCM kwenye mojawapo wa mikutano yao wameonekana kuwanyima wanachama waliohudhuria kupiga picha wala kirekodi katika mikutano hiyo. Kwani nini kinaendelea?
Disclaimer:
Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri rasmi wa kisheria, bali ni uchambuzi wa kisheria na kikatiba kwa lengo la kuelimisha na kujadili...