wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kigoma msijishuku kubaguliwa mnapohojiwa uraia wenu

    Kuna wananchi wenzetu wa asili ya mkoa wa Kigoma wametaharuki baada ya watu kuhoji uraia wa Dr. Mpango na kuona kama wanabaguliwa. Hapana, ni jambo la kawaida kwani kuna watu wengi kutoka nchi jirani wanahamia Kigoma. Jambo linalotakiwa ni kujibu hoja mnazoulizwa kwa usahihi na siyo kuanza...
  2. JamiiForums Tanzania Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

    Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
  3. B

    JamiiForums Tanzania TCRA; Rais anatumia mitandao ya kijamii kuwasiliana na wananchi. Kuendelea kuzuia mitandao ni kimhujumu yeye na sisi wananchi

    Mhe. Rais anatumia akaunti zake za mitandao ikiwemo Twitter kuweka video na maelekezo mbalimbali kwa ajili ya wananchi hasa wale ambao hawakupata muda kumsilikiza live. Ili tupate taarifa hizi lazima mitandao iwe inafanya kazi la sivyo Kama mitandao itaendelea kuzimwa Mhe. Rais hatoweza kutimuza...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msela na Mbabe TAMISEMI walivyoichonganisha awamu ya tano na wananchi na wafanyakazi

    Mama Samia Suluhu Hassan ameshtuka mapema. Ninamsifu sana. Ukweli kabisa Msela Jafo hakuwa na impact kabisa katika awamu ya tano. Aliyafanya yale ambayo alifikiri yanampatanisha Rais wa Awamu ya Tano na Serikali na wananchi. Ona Msela huyu alivyoharibu kabisa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Chato: Wananchi walilipia umeme wa REA tangia mwezi wa tisa lakini hadi sasa hajapewa umeme

    Wananjamvi-Mbunge Kalemani aliahamaisha sana watu kufanya wiring tayari kwa kuvuta umeme, Vijiji vya Bikaka na Nyakakarango tukafanya hivyo hadi tukaletewa Control namba ya kulipia umeme mnano mwezi wa tisa lakini hadi hivi sasa haujapata umeme. Je, huu waziri wa Nishati na Pia Mbuge sijui...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la sasa la Mawaziri halikidhi matarajio ya wananchi chini ya uongozi mpya wa Rais Samia

    Tupo kwenye zama mpya na kila zama na style yake. Kwa hivi sasa wananchi wana matumaini makubwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba atakuwa ni rais atakeyekidhi matarajio yao ya maendeleo lakini pia atakuwa rais atakayeondoa mapungufu makubwa yaliyoonekana katika serikali iliyopita ya rais...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu hizi sura za kukata tamaa zitawavunja mioyo wananchi

    Kiongozi ni kioo cha jamii, anatakiwa ajiamini na kuwapa matumaini anao waongoza.
  8. JamiiForums Tanzania Marais wa EA wapata chanjo ya Corona, isipokuwa wa Tanzania

    Hatimaye wakuu wa EA wamepata chanjo ya kujikinga na gonjwa hatari la Corona, isipokuwa Rais wetu Mama Samia. My Take Uzi hauhitaji hoja yeyote,ni taarifa tu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwanza imezizima wananchi wakesha kuusubiri mwili wa mpendwa wao hayati Magufuli utakaowasili saa 1:00 asubuhi!

    Sijapata kuona heka heka za kiwango hiki katika jiji la Mwanza ambapo watu wamekesha kumsubiri mpendwa wao hayati Magufuli waweze kutoa heshima za mwisho. Kwa kweli hayati Magufuli anakubalika kanda ya ziwa maana nimeshuhudia wageni kutoka pembe zote za kanda hii wakiwa tayari kumpokea, kumuaga...
  10. JamiiForums Tanzania Wazee, watoto na wagonjwa Mkoani Geita na mikoa jirani washauriwa kufuatilia kuagwa kwa Rais Magufuli kupitia Vyombo vya Habari

    Wazee, Watoto na wagonjwa wa Wilaya ya Chato Mkoa wa Geita na mikoa jirani wameshauriwa kuaga mwili wa hayati Rais John Magufuli kwa kufuatilia kwenye vyombo mbalimbali vya habari vinavyorusha mubashara badala ya kwenda uwanjani. Uamuzi huo unatokana na eneo la uwanja wa Magufuli ulipo wilayani...
  11. P

    JamiiForums Tanzania 2025 ili ukubalike kwa haraka, italazimu Tundu Lissu kulitaja jina la JPM kuomba kura kwa Wananchi

    Amini usiamini ndivyo itakavyokuwa, Kama ambavyo imekuwa karibu Kila mara Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga kisiasa. Kwa kadri siku zinavyosonga na vizazi vingi kwa sasa Kwa sababu ya kukosekana somo la...
  12. JamiiForums Tanzania Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike. Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
  13. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania kwanini hamuwakamati Maria Sarungi na Fatma Karume? Mnabaki kukamata wananchi wa kawaida?

    Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko Mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani. Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea...
  14. JamiiForums Tanzania Ni ushahidi tosha kuwa hamkuibiwa kura. Wananchi walimkubali zaidi ya ilivyodhaniwa

    Kwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana. Kwa hali na mazingira tuliona jana ni wazi kabisa alikuwa anakubalika kwa wananchi, hasa wa kawaida ambao ni wapiga kura. Kilichomfanya...
  15. JamiiForums Tanzania Je, CCM ni chama kisichopenda Watanzania wawe na maisha bora? Tangu kitawale nchi hakuna mtawala aliyewaacha vizuri wananchi

    Tangu tupate Uhuru CCM imekuwa initawala hii nchi. Hakuna mtawala ambae kama Rais wa nchi alishawaacha watanzania na maisha bora. Awamu ya Kwanza ya Mwl. iliacha watanzania wakiwa na hali mbaya sana ya kimaisha. Watu walivaaa masempele. Mahala pa kulala palikuwa hovyo kabisa. Awamu ya pili...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanyonge wa Chasimba Wazo wampinga Waziri Lukuvi wamwomba Rais Magufuli aingilie kati na kuwasaidia

    Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia. Wananchi hao wamesema uamuzi wa waziri wa ardhi wa kuwataka kumlipa mzungu tsh 6400 kwa kila mita moja ya mraba kufidia maeneo yao ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Bashiru ajitambulisha Zanzibar. Rais Mwinyi amtaka akawaletee wananchi maendeleo

    Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi. Maendeleo hayana vyama!
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa azuia wananchi kuchukua mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif, asema wataumaliza na kuacha shimo

    Wajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani😥😥😥😥😥 Aendelee kulala salama Maalim Seif Sharif Hamad === Katika hali ya kustaajabisha inadaiwa kumeibuka watu ambao wanachukua mchanga katika kaburi la Hayati Maalim Seif. Baadhi ya wakazi wameeleza kuwa mchanga huo unachukuliwa kwa imani...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Wananchi tunataka haki ya kumuondoa mbunge asiyefaa kabla hajamaliza muda. Kwanini wana-CCM wasiopenda haki mnaipinga?

    Ni utaratibu mzuri tu ambao unatakiwa kuwekwa kwenye katiba ya JMT ili wananchi tusiporidhika na ahadi tulizopewa na mbunge tuliomchagua tuwe tuna uwezo kuweka azimio na likishapita huyo mbunge anatolewa kwenye nafasi hiyo na uchaguzi unaitishwa. Wabunge wengi wanaunga mkono sera na hoja ambazo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaofaidi keki ya taifa ni nani hasa kati ya Wananchi na Viongozi?

    Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto. Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa? Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…