wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

    Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi? Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi? Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi? Je...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Wananchi wasiache kutumia tiba za asili zinazotambulika kukabiliana na Corona!

    Kaimu Katibu mkuu wa wizara ya afya bwana Mbanga amewataka wananchi kutoacha kutumia tiba za asili zinazotambulika katika kukabiliana na Corona kwani zimesaidia wengi. ========= Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Edward Mbaga ametoa wito kwa Watanzania kutoacha njia za asili za kupambana na...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi ngapi duniani wananchi wake wanapinga chanjo ya Corona?

    Nikiwa napitia mada mbali mbali hapa JF, kuhusu chanjo ya covid, nimekuwa nikisoma comments mbali mbali za wadau, juu ya hii chanjo ya covid19. Wapo wanao pinga chanjo, na wapo wanaotaka chanjo na tayari wengine wameshachanja.Ok fine, Sasa Nimekuwa nikijiuliza, kwa kukuwa suala hili la chanjo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ndoa kati ya Kampuni za Mawasiliano na Serikali kuhusu tozo ni kichomi kwa Wananchi

    Ndoa kati ya kampuni za mitandao ya simu na serikali inayohusu tozo kwenye miamala mbalimbali inayofanywa kwa njia ya simu, pamoja na ndoa kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) zimekuwa ni ndoa kichomi kwa wananchi kutokana na mlundikano wa kodi...
  5. U

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI sasa ni ya wananchi, Waziri Ummy Mwalimu anastahili pongezi

    Leo nimemskiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na amesisitiza Ujenzi wa Vituo vya Afya katika Tarafa 207 utatumia utaratibu wa FORCE ACCOUNT sio KANDARASI. Na ameagiza watumie Mafundi Ujenzi waliopo ktk eneo husika ili kutoa ajira...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

    Habari wadau! Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede. Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Serikali yake wamefanya lipi jema mpaka sasa?

    Tuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe Rais wao? Kwa upande wangu naona mambo ni valuvalu tu hayana muelekeo wa kuonyesha ameleta unafuu wa maisha kwa...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA ilishajenga uhasama na wananchi, kujinasua ni ngumu sana

    Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa. Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi. Ni kweli kila nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Kabul, Afghanistan: Wananchi wadandia ndege baada ya Taliban kutwaa Ikulu ya Rais

    Hali si hali huko Afghanistan [emoji1023] kwenye mji mkuu Kabul baada ya Taliban kutwaa udhibiti raia wamekimbilia Airport wakitaka kuihama nchi. Hali ni tete kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya kimataifa. Tutunze amani.
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi na wasafiri wa Mbeya na ushabiki wa mwendokasi wa mabasi ya abiria

    Kuna tabia ya ushabiki wa mwendokasi wa mabasi hasa yaendayo Mbeya ambayo naona siku hadi siku inazidi kukua. Sasa sijui ni ushamba au nini. Kufukuzana huko mtakuja kufa kwa kwa ujinga. Mikoa mingi sasa ina kampuni kubwa za mabasi ya abiria lakini hawana ujinga huo kama wanaofanya mabasi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

    "Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi" Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.! My Take Hii imevuka mipaka. Lakini mambo...
  12. JamiiForums Tanzania Tangu Uhuru Tanzania ina Katiba 3 ambazo hazikushirikisha wananchi

    Tanzania ni nchi huru iliyopata uhuru wake mwaka 1961 Katiba ya kwanza iliandaliwa uingereza na kuleta tanganyika na kuanza kutumika baada ya kuonekana ina mapungufu. Mwaka 1962 waliteuliwa wabunge 71 wakaifanyia marekebisho bila kupata maoni na mapendekezo ya wananchi. Mwaka 1977 waliteuliwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Katiba Mpya: Mtazamo wa Serikali na Wananchi

  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama viongoz wakuu wa nchi wanaelekeza wananchi wapigwe na kuporwa mali zao wanawezaje kutenda haki?

    Nchi za Ulaya kashfa iliyoibuliwa leo mahakamani ilitosha kumwondoa gavana na Makamu wa Rais lakini huku kwetu kashfa ile inafaa kutumika kuendelea kumweka madarakani kiongozi mwenye maelekezo magumu kama yaliyoelekezwa kwa Sabaya. Naamini Makonda pia walishindwa kumpeleka mahakamani pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaojiita Vyama Pinzani Tanzania msipokubali kuacha ubinafsi na kuwatumikia Wananchi kwa Elimu ya Siasa Ikulu mtapasikiga tuu

    CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani wakati umefika sasa mkae chini na kujitafakari! Tena mjitafakari na kuwa wakweli nafsini mwenu kwamba siasa mnazofanya ni kwa maslahi ya familia zenu huku vyama vyenu vikiwa havina hata misingi imara kwa jamii Hakuna mtanzania anayekataa au asiyejua...
  16. JamiiForums Tanzania Wananchi tunataka Katiba Mpya ndio maana tulishiriki kutoa mapendekezo Tume ya Warioba

    Hakika haiingii akili kumsikia katibu mkuu wa CCM eti anasema wananchi hawataki katiba mpya. Bw. Chongolo napenda nikukumbushe mchakato wa katiba mpya ulifanywa na tume ya Warioba na kina Polepole, Kabudi na wengine. Tume ya Warioba ilizunguka nchi nzima kukusanya maoni na mapendekezo ya Katiba...
  17. JamiiForums Tanzania Ikiwa kama Wananchi wa Tanzania hawataki Katiba mpya, Maoni yaliyokusanywa na Tume ya Warioba yalitoka wapi?

    Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa ccm wananchi wa Tanzania si wanaotaka Katiba mpya , bali Katiba mpya inatakiwa na wanasiasa ili watimize malengo yao, hii ndio kauli yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo. Swali langu ni hili, yale maoni ya Tume ya Warioba yaliyopelekwa kwenye Bunge la Katiba...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Makubi: Wananchi wote wanaofika kuomba huduma wasinyimwe Chanjo

    CHANJO SASA RASMI KWA WATU WOTE WA MIAKA YOTE (kuanzia watoto mpaka wazee) Zoezi hili linaanza kesho tar 12 baada ya kugundua kwamba vijana wengi wanahitaji chanjo. tangazo hili limetolewa na waziri wa afya leo(na kuletwa hapa na Mimi binti.Khadija) DOROTHY GWAJIMA(DR)
  19. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi tuzitambue vyema hali za wananchi wetu ili kuweza kufanya maamuzi yasiyo kandamizi

    Ninaandika makala hii baada ya kilio cha wanachi kutokana na maamuzi mbalimbali yanayofanywa na serikali. Baada ya kutoka kwa bei mpya za vifurushi kwenye huduma za maongezi na intaneti kilio kikubwa cha wanachi kilizuka . Baadae imekuja makato kwenye miamala ya pesa kilio kingine kikazuka...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ulitaka wananchi tukataaje tozo za miamala ya simu?

    Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa, umenifikirisha na kunisikitisha sana. Nimekusikiliza na kukutazama kwenye mahojiano yako na mwandishi na mtangazaji nguli Salim Kikeke. Nimekufuatilia hadi nikalia ulipokuwa ukijibu maswali bila kujali athari. Juu ya tozo za miamala ya simu, nimekusikia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…