wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt Mpango: Kuna manung’uniko mengi ya Wananchi kuhusu mifumo yetu ya haki jinai

    Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango amesema manung’uniko hayo ya Wananchi yanaonesha changamoto nyingi zilizopo kuanzia ukamataji wa wahusika kujua hata haki zao pamoja na ucheleweshaji wa upelelezi. Amesema “Nitoe mfano kuna kijana alikamatwa mwezi mmoja na nusu uliopita #Mwanza, wazazi wake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji fuatilia bili za DAWASA, wanawaibia watu na kuwafanya wananchi wamchukie Rais

    Kwako ndugu Waziri mwenye dhamana ya mambo ya maji. Iko hivi: Bili ambazo watu wa DAWASA wanawatumia wananchi siyo bili za kweli, haziakisi matumizi halisi ya maji ya wateja. Ni bili za kupikwa. Haiwezekani bili yako kwa miezi ya nyuma iwe ni shilingi X halafu ghafla bin vuup bili inaamza kuja...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ukuu wa mikoa na wilaya zimekaa kisiasa' nashauri wapigiwe kura na wananchi!

    Kwa jinsi ilivyo, ukuu wa mikoa na Wilaya, utafika wakati watu wataanza kukataa kuteuliea kwa jinsi wanavyokuwa kwenye hatari ya kutenguliwe muda wowote! Unateuliwa leo kesho huna kazi, huku ni kudhalilishana! Kwa kuogopa fedheha hizi pamoja na kumpa wakati mgumu mteuaji wao kuwa sijui...
  4. JamiiForums Tanzania Lissu na Chadema yenu hamna uhalali wa kulalamikia mfumuko wa bei na ufisadi wa CCM. Mlikuwa mnataka serikali kama hii ya kipagaji.

    Sikiliza
  5. JamiiForums Tanzania Kama Lissu anapinga serikali isiweke Kodi yoyote ile kwa wananchi, yeye atatoa hela mfukoni kuendesha nchi?

    Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake. Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi...
  6. JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu, Wananchi wabubujikwa na machozi ya Matumaini

    Hakika bado wapo Watanzania wanaoililia nchi yao kutokana na ukweli kwamba hakuna tena viongozi wenye uchungu nao, sasa anapokuja mtu kama Tundu Lissu aliyejidhihirisha wazi kutetea wananchi ni lazima hali kama hizi zijitokeze.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mazungumzo na Rais yataendelea, lakini Katiba Mpya italetwa na pressure ya wananchi

    Lissu amesisitiza wananchi waweke shinikizo kudai Katiba Mpya. Kwamba Mbowe ataheshimiwa ktk meza ya maridhiano kama itaonekana anaungwa mkono na umma wa Watanzania. https://m.youtube.com/results?sp=mAEA&search_query=Lissu%2C+Mbowe%2C+Heche
  8. JamiiForums Tanzania Singida: Wananchi walalamika mauaji ya watu mfululizo, ufukuaji makaburi na kuchukua nguo za ndani

    Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Manyoni imetakiwa kuchunguza mauaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa kutokea mfululizo pamoja na vitendo vya ushirikiana vinavyohusisha kufukua maiti na kuchukua nguo za ndani na baadhi ya vitu vya thamani. Maagizo hayo yametolewa Januari 20, 2022 na Mkuu wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Masauni, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, wananchi wako wanahangaika na shida ya maji

    Mheshimiwa najua una majukumu mengi ya kitaifa kwa vile wewe ni Waziri, lakini angalau ungezungumza na muwakilishi Mheshimiwa Jazira, mkalipatia ufumbuzi tatizo hili. Majimbo ya Zanzibar ni madogo mno kulinganisha na bara, yaani huku jimbo unaweza kutembea kwa miguu nusu saa tu ukawa...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kuiponda awamu ya 5, maoni ya wananchi ambao ni wapiga kura kwenye Instagram page ya JF yanashtua

    Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani. Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli. Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Itilima wanakubali maendeleo ni hatua

    Maendeleo ni ushirika kati ya Wananchi na Serikali yao wananchi wa Itilima mkoani Simiyu wamenufaika na uboreshaji wa huduma za afya.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sauti za Wananchi: Rais Samia amebadilisha maisha yetu

    Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo hayabaki tu mijini, serikali inawafikia wananchi kote nchini kwa kujenga barabara na madaraja, miradi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yamaliza mgogoro wa ardhi Bonde la Usangu

    Hello Tanzania! Hayawi hayawi yamekua, kama kawaida mfupa mgumu mpe Rais Samia. Hatimaye Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa n Dk. Samia imemaliza Mgogoro wa matumizi ya Ardhi baina ya Wananchi waliokuwa wanalima Bonde la Usangu na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha. Mgogoro huu umedumu miaka 15 bila...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi wananchi kuchangia mafuta ambulance au magari ya polisi wanapohitaji huduma?

    Imekuwa kama kasumba sasa. Mwananchi akipata tatizo kwenye mahospital ya wilaya ambazo ziko na hospital za rufaa na kisha kuandikiwa rufaa huwa anaambiwa kuchangia mafuta ili mgonjwa apelekwe. Polisi nao ukienda kuripoti tukio la uhalifu ili waende eneo la tukio huwa wanahitaji mafuta ya...
  15. JamiiForums Tanzania Tunisia: Wananchi waandamana wataka Rais ajiuzulu

    Wananchi hao zaidi ya elfu moja wamemtaka Rais Kais Saied kuachia ngazi kutokana na mzozo wa kisiasa na kiuchumi unaoendelea. Wakiandamana katika Mji Mkuu wa #Tunis huku wakipata upinzani kutoka kwa Askari katika baadhi ya maeneo, wamedai licha ya kumuunga mkono kiongozi huyo lakini Serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia ili Wananchi watoe taarifa kwa Uhuru

    Wajibu wa kutoa taarifa juu ya uhalifu ni wa kila mmoja wetu ambaye anajua au amesikia kuhusiana na tukio lolote la kijinai. Tumeona katika makala iliyopita juu ya changamoto zinazowafanya watu au wananchi kutokuwa wepesi kutoa taarifa za uhalifu katika maeneo yao. Leo tunaangalia juu ya mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi wakivuka mto kwa namna ya tofauti baada ya kukosekana kwa daraja

  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiteka mijadala ya kisiasa mitaani, wananchi waupongeza uongozi wake

    Ndugu zangu watanzania, Rais Samia Ameendelea Kuiteka mijadala ya kisiasa Mitaani, kila mahali Ni Rais Samia. Ni Rais Samia juu ya uchapa kazi wake ulio tukuka. Ni Rais Samia juu ya kuimarisha demokrasia. Ni Rais Samia juu ya kuendesha na kuongoza maridhiano. Ni Rais Samia juu ya kulituliza...
  19. JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi waomba kujengewa daraja

    Wananchi wa kata ya sinoni na Themi katika halmashauri ya jiji la Arusha, wameiomba serikali kuwajengea daraja linalounganisha Kata ya Themi na Sinoni kutokana na Kuwa ni miaka zaidi ya mitano sasa imepita tangu kuvunjika kwa daraja la awali lilokuwepo. Wakazi hao Wamekuwa wakipata shida...
  20. JamiiForums Tanzania BoT yatahadharisha wananchi kuhusu utapeli wa fedha mitandaoni

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka Watanzania kuwa makini na utapeli mpya unaofanyika kwa njia ya barua pepe unaoelekeza kulipa kiasi fulani cha fedha kuwezesha kupata fedha nyingi. BOT katika taarifa yake imebaini kuongezeka kwa udanganyifu wa fedha nchini unaohusisha mwananchi kupokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…