wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia eneo la Magereza kumegwa ili wapewe wananchi

    Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza mgogoro wa ardhi yenye ukubwa wa ekari 7,495.74 uliodumu kwa zaidi ya miongo mitatu kati ya vijiji vya Kata ya Kingale, Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Gereza la King'ang'a. Mgogoro huo umetatuliwa baada ya kiongozi huyo kuagiza eneo lenye ukubwa wa ekari...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali tusaidieni wananchi, magari yanayouzwa kwenye yard za Wapakistan mitaa ya Morocco na Victoria ni mabovu sana

    Serikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan. Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia magari. Rafiki yangu alikuwa anataka Toyota Probox kwa ajili ya kubebea mizigo yake Kariakoo na kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kibaha Vijijini kubomolewa nyumba zao, Mbunge asema anapeleka mashtaka kwa Waziri Mkuu

    Baadhi ya Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini Mkoani Pwani wamelalamika uamuzi wa kubomolewa kwa nyumba zao pasipokuwa na taarifa huku wakidai kutokuwa na tamko rasmi la taarifa kutoka kwenye mamlaka. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamedai zoezi hilo limefanyika Februari 5, 2023 na kutarajiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Arusha: Mti umekauka, wananchi waomba wahusika waukate kabla haujaleta Madhara makubwa

    Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles). Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini...
  5. JamiiForums Tanzania Iringa: Wananchi wahofia kufanyiwa Upasuaji kwenye Kituo cha Afya kisicho na Jenereta

    Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho, Dkt. Selestini Vulua amesema kituo hicho ni kati ya Vituo 6 vilivyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo kinahudumia Kata 7 na Vijiji zaidi ya 30 kwa Huduma ya Upasuaji. Dkt. Vulua amesema "Kuna wakati unafungua Tumbo la Mama halafu Umeme wa TANESCO...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya viongozi wa CCM kuwahadaa wananchi kwq kula wali maharage ni ushamba wa kisiasa.

    Watanzania wapo kwenye umasikini mkubwa. Ufisadi umekithiri alafu mnajifanya kula wali maharage
  7. JamiiForums Tanzania Ombi: Tunamuomba Rais Mwinyi amuwajibishe waziri wake kabla ya wananchi kumuwajibisha

    Kitendo alichokifanya waziri wako wa kilimo, umwagiliaji, maliasili na mifugo mh Shamata Shaame Khamis sio cha kiungwana na kiutu. Kile ni kitendo cha kinyama ambacho hakutakiwa kumfanyia mtanzania mwenzetu au binadamu mwenzetu kwa sababu yoyote ile. Mtu kaingiza chakula mnafanyia unyama ule...
  8. B

    JamiiForums Tanzania CCM Momba Tunduma waandamana kuadhimisha kuzaliwa kwake

    02 February 2023 Tunduma, Tanzania CCM WAWASHA MITAMBO, WARUSHA "MAKOMBORA' KWA WALICHOKIITA CHAMA CHA UPANDE WA PILI Wanachama wa CCM jimbo la Momba wamejitokeza kwa wingi barabarani kufanya shughuli za kisiasa kujibu walichoita mapigo upande wa pili walioanza mikutano ya hadhara. Baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Faida za Muswada wa Bima ya Afya kwa Wananchi wa Kawaida na Masikini

    Naikumbuka vizuri sana siku ya tarehe 6/04/2021 ambapo Rais wangu mpendwa Mama Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali pale Ikulu yetu, alisema kuna suala la Bima ya Afya kwa Wote, wataalam kaeni mlimalize hili, tuleteeni Serikalini tulijadili ili tuone kama linatekelezeka kwa kiwango gani. Agizo...
  10. JamiiForums Tanzania Tarime: Polisi watumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi waliotaka kumshushia kipigo ajuza

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime-Rorya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakitaka kumshushia kipigo ajuza ambaye jina lake halijafahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 60, wakimtuhumu kuhusika na kupotea kwa watoto watatu kwa njia za...
  11. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM asikitishwa na wananchi Morogoro kutozwa Sh 7,000 bili ya maji yasiyotoka, aagiza TAKUKURU kuchunguza na kuwatia pingu wanaohusika

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wa bili na bei za maji kwa wananchi wilayani Malinyi mkoani Morogoro ili kupata ukweli iwapo wananchi hao wanabambikiwa bili au lah. Kauli hiyo ameitoa leo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atakubalika kwa Utetezi wa Wanyonge lakini hatavunja Rekodi ya Magufuli ya kupendwa na Wananchi

    Ni angalizo tu kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu kwamba wanamkubali kwa Kiasi anachofanya kutetea haki zao likiwamo hili la Mfumuko wa Bei yaani inflation. Atazidi kukubalika ila hatavunja Rekodi ya Kupendwa na Wananchi aliyonayo hata kufani yule Shujaa Magufuli. Tunaeleweshana...
  13. JamiiForums Tanzania Je, kupanda kwa bei ya vyakula kumezaa tabaka la wakulima na wananchi?

    Nimeona katika mijadala yetu kuhusiana na kupanda kwa bei ya vyakula kumezaa tabaka la wakulima (ambalo halitajwi wala kuonewa huruma) na la wananchi (ambalo linatajwa na kuonewa huruma). Ningependa kuchangia kwa kusema na kumbusha kuwa, hakuna namna yoyote ya kupata chakula bila kulima kwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuwasaidie wananchi kupata haki zao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka majaji kuwasaidia wananchi waweze kupata haki zao kwa kuwa wengi hawana uelewa wa nini wafanye. Lakini katika kuhakikisha wanapata haki zao kwa wakati ametoa wito wa mapitio ya sheria ili kupunguza michakato...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge watetezi wa kweli wa hoja za wananchi Gambo anaongoza

    Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo ndio anaongoza kwa hoja nzito za kuwapigania wananchi ndani ya Bunge tofauti na wabunge wengine wa kusifu na kuabudu akifuatiliwa na Bashiru Ally. Tuweke list ya top 5 ya wabunge watetezi kweli wa hoja za wananchi bungeni; 1. Mrisho Gambo 2. Bashiru Ally
  16. JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi watishia kugoma kudai lami, wachoshwa na ubovu wa barabara

    Wakazi wa kata ya Sinoni, na Ungalimited wanaotumia barabara kuu ya Engosengiu inayotokea mjini kuelekea katika Kata hizo mbili wamedai kuchoshwa na ubovu wa barabara hiyo kiasi cha kuwaletea usumbufu mkubwa hata katika vyombo vyao vya moto. Baadhi ya madereva wa Bajaji na Hiace wanaotumia...
  17. JamiiForums Tanzania Chama cha CUF wananchi wilaya ya Kinondoni kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Magomeni Februari 2, 2023

    CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe kinondoni, njoo tuijaze magomeni. #ChamaMakini #ViongoziMakini
  18. JamiiForums Tanzania Dkt Mpango: Kuna manung’uniko mengi ya Wananchi kuhusu mifumo yetu ya haki jinai

    Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango amesema manung’uniko hayo ya Wananchi yanaonesha changamoto nyingi zilizopo kuanzia ukamataji wa wahusika kujua hata haki zao pamoja na ucheleweshaji wa upelelezi. Amesema “Nitoe mfano kuna kijana alikamatwa mwezi mmoja na nusu uliopita #Mwanza, wazazi wake...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji fuatilia bili za DAWASA, wanawaibia watu na kuwafanya wananchi wamchukie Rais

    Kwako ndugu Waziri mwenye dhamana ya mambo ya maji. Iko hivi: Bili ambazo watu wa DAWASA wanawatumia wananchi siyo bili za kweli, haziakisi matumizi halisi ya maji ya wateja. Ni bili za kupikwa. Haiwezekani bili yako kwa miezi ya nyuma iwe ni shilingi X halafu ghafla bin vuup bili inaamza kuja...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ukuu wa mikoa na wilaya zimekaa kisiasa' nashauri wapigiwe kura na wananchi!

    Kwa jinsi ilivyo, ukuu wa mikoa na Wilaya, utafika wakati watu wataanza kukataa kuteuliea kwa jinsi wanavyokuwa kwenye hatari ya kutenguliwe muda wowote! Unateuliwa leo kesho huna kazi, huku ni kudhalilishana! Kwa kuogopa fedheha hizi pamoja na kumpa wakati mgumu mteuaji wao kuwa sijui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…