wanakuja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wakulima wa Mpunga Kilosa tunateseka na Mashamba, wakati wa mavuno Halmashauri wanakuja na ushuru unaotuumiza

    Halmashauri ya Kilosa kuchukua Sh 2,000 kwa kila gunia la mpunga kwa Wakulima wa mpunga katika Kata ya KIMAMBA A na KIMAMBA B Wilayani KILOSA mkoani MOROGORO, ni maumivu makali kwetu kwa kuwa ni kama hawatusaidii chochote kisha Wakulima wanaolima Bonde la Kimamba kwa sasa wanahangaika na...
  2. A

    KERO Wakazi wa Matosa - Goba, Mwaka wa 3 tunabembeleza kujengewa kalavati, TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Serikali itusaidie kuhusu suala la kalavati sisi Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, huu unaenda mwaka wa tatu sasa tangu tuombe turekebishiwe lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Tumesharipoti kwa mamlaka mbalimbali wanatuahidi...
  3. Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  4. PostGE2025 Clemence Mwandambo: Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar

    Baba yenu Clemence Mwandambo anauliza, Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar.
  5. Historia inaonesha watu walionyanyaswa udogoni wanakuja kuwa wakatili au wenye hasira sana ukubwani

    EITHER: Aliathirika kisaikolojia kwa manyanyaso makali baba aliompa mama (or vice versa) plus unakuta ndugu nao wanaingilia mgogogoro huu ka kuchagua pande kupelekea ukiwa kwa mama/baba. OR: Au manyanyaso aliopokea yeye binafsi katika makuzi yake. kurubuniwa kingono, kuteswa na ndugu...
  6. Kwanini wanawake wakizeeka ndo wanakuja jukwaa hili kutafuta wenza?

    Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi. Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato Are you insane?
  7. H

    Kwanini manabii wote miuujiza wanakuja kufanyia mimi na siyo vijijini kwao walikozaliwa?

    Manabii wa makalio yao wapumbavu na kukosa akili kwao,nabii wako wasiwe wazazi wake awe yeye,alizalliwa na maajabu gani au alishafanya maajabu gani kwenye ukoo au kijijini kwake?masikini na wagonjwa wamejaa ktk ukoo wake na kijijini kwake asifanye miujiza huko aje afanye mijini???
  8. Makosa 13 Yanayowafanya Wateja Wasinunue Hata Wakikufuata

    Makosa yanayofanywa na wafanyabiashara wengi bila kujua, na namna bora ya kuyaepuka. Lengo letu ni kuhakikisha unapofikia hatua ya kumaliza mazungumzo na mteja, hauachi pesa mezani. 1. Kumlazimisha mteja kununua Hakuna mteja anayetaka kushinikizwa. Watu hununua kwa sababu wanataka, si kwa...
  9. Kwanini wateja wanakuja Dukani/DM lakini hawanunui? Hii ndo sababu

    Wateja wanaingia dukani kwako kila siku, wanakuja dm whatsapp, wanauliza bei, lakini mwisho wa siku, hakuna mauzo yanayofanyika! Kama wewe ni mfanyabiashara wa duka la nguo na unakutana na hali hii mara kwa mara, basi video hii ni kwa ajili yako. Leo nitakuonyesha sababu kubwa zinazowafanya...
  10. Honda wanakuja na Honda 0 Series SUV: Baya kuliko Cybertruck ya Tesla!

    Tushawahi kuongelea humu EV kutoka Honda ambayo ni sedan, iliopo katika series 0. Honda 0 Series Saloon: EV yenye muonekano wa ki-future! Hawa jamaa sasa wanaleta SUV yake. Ingawa taarifa za specifications, bei na upatikanaji hazijatolewa, ila ndio hii production type.
  11. Hii kusema Chama kitaanza kutekeleza Mchakato Wa Katiba Mpya wakiingia Madarakani 2025-2030 ni uongo, kila muhula wanakuja na Uongo huu.. shituka wewe

    Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
  12. Sio Yanga tu Azam nao wanakuja, hiki kikombe Karia na wenzio lazima mkinywe mkitapike...

    Muda si mrefu Azam nao wamejiandaa kutopeleka timu yao kuonyesha mpira 15 jun Mpaka walipwe hasara walizotumia tar 8 Sasa bodi ya ligi a Karia wenu Nendeni mkajipange na hawa wapangieni ratiba kama mlivyojichanganya Kazi iendeleeee
  13. K

    KERO Wakazi wa Matosa Uzaromoni – Goba tuna changamoto ya Kalavati, huu mwaka wa pili TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia changamoto kubwa ya usumbufu wa maji ya mvua kutokana na udogo wa ‘Kalavati’ Tumelalamika sana...
  14. Kuna watu wanakuja JamiiForum kuchukua namba za watafuta ajira ili wawatapeli , so kuweni makini kuna hizi namba polisi zifatilieni wanatapeli vijana.

    +255613784064 +255610186092 Naomba Jeshi la polisi mzifatilie hizo namba wanadai wapo mbeya . Wakiona MTU anatafuta ajira wanachukua namba wanampigia na kumwambia wana Kazi /ajira Ila wanamwambia achangie hela ya Vitu vifutavyo -Form elfu 40K -Chumba elfu 20K Ukiangalia watu Kama hawa...
  15. Wanawake wanakuja juu kwenye Biashara ila wanafeli Hapa

    Miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuja juu sana kwenye Biashara nimeshangaa mpaka ilala madada wanauza Autoparts ni jambo jema sababu wanatafuta namna ya kuchangia kwenye familia na kujiwezesha kiuchumi ila kuna changamoto zitafanya kamwe wanawake wasitoboe kwenye business tofauti na wanaume...
  16. Je, zamani watu walipataje taarifa za misiba ya wapendwa wao pasipokuwa na simu , email wala kutumiwa barua?

    Zamani miaka ya nyuma Msiba ulikuwa unatumia Mwezi mzima . Ila jambo ambalo huwa nalitafakari ni kuhusu "the power of connectivity" Yaani kuna wale ndugu zetu walikuwa wakitoka Bukoba na kwenda kutafuta Maisha mikoa mbali mbali na wengine nje ya nchi . Ila ilikuwa ikitokea Msiba ndani ya huo...
  17. S

    unaweza kuishi hapa

    hii itakua mwanza rock city maisha yanataka utake risk lakini kuishi hapa ni zaid ya risk yenyewe
  18. R

    Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka tofauti na ndugu wa damu, Mnapoamua kupata mtoto moja wakati uwezo upo ni kumtesa mtoto, idadi nzuri ni 3+

    Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine. Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani. Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
  19. Pato la China ni dogo sana ndio maana Wachina wanakuja Tanzania kufanya biashara ndogondogo

    Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka. Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422. Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814. Ukipiga hesabu za...
  20. Inaumiza sana. Sisi tunapambania chama, tunasifu na kuabudu viongozi wanakuja faidika wengine

    Tupo humu daily tukilamba makalio na miguu ya viongozi wetu wa chama. Tukisifu na kuabudu wao daily. Kazi yetu haionekani. Kwa sasa nani mwana CCM mzuri humu kwa kusifu na kuabudu kama Mwanaishambwa na tilatilaa? Hawa watu juhudi zao kila siku tunazisema kwenye vikao. Dulla hawaoni hawa? Pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…