wanakijiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    India: Wanakijiji wazima intaneti, TV kwa muda ili wazungumze

    Wakazi wa Kijiji cha Maharashtra wamedai wamejitangazia uhuru kutoka katika Dunia ya digitali baada ya kuchukua hatua hiyo ili kuwawezesha wananchi kupata muda wa kuzungumza. Uamuzi huo umefikiwa ambapo wanazima TV na intanenti kila siku Saa 1:00 Usiku hadi 2:30 Usiku wakiamini teknolojia hiyo...
  2. Nyenyere

    DOKEZO Kampuni ya simu inadhulumu wanakijiji

    Wakuu amani, Nimefanya mawasiliano na ndugu yangu aliye kijijini mkoa wa Dodoma, mojawapo ya makampuni yetu ya simu (local) liliingia mkataba na kijiji miaka zaidi ya mitano iliyopita kwa ajili ya kuweka mnara wa mawasiliano kijijini hapo. Tatizo ni kuwa kampuni hilo halitekelezi sehemu yake ya...
  3. Suley2019

    Iringa: Wanakijiji wamtuhumu mwenyekiti wao kuwapora ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Hassan Moyo ameingilia kati mgogoro wa ardhi kati ya wakazi wa Kijiji cha Mgera Kata ya Kiwele, Wilayani Iringa na Mwenyekiti wa kijiji hicho, Lucas Mgata kwa kuzuia shughuli yoyote isifanyike katika eneo hilo hadi watakapopata ufumbuzi. Wanakijiji hao wakiwemo wazee...
  4. L

    Wanakijiji wa wilaya ya Hejing, mkoani Xinjiang, China wafanya sherehe ya Nadam

    Wanakijiji wa wilaya ya Hejing mkoani Xinjiang, China walifanya sherehe ya Nadam kwa kusherehekea ufugaji bora ya mwaka huu. “Nadam” ni sikukuu ya kijadi ya kabila ya Wamongolia, maana yake kwa Kimongolia ni burudani au michezo.
  5. L

    Wanakijiji hukusanya vifuko vya nondo wa hariri ili kupata utajiri

    Wanakijiji wa Huanghe, Mkoa wa Guizhou, China, wanakusanya vifuko vya nondo wa hariri. Katika miaka ya hivi karibuni, tasnia ya kilimo cha majani ya folium mori na kufuga wadudu wa Hariri imeendelezwa kwa kasi, na zaidi ya wenyeji 1,000 wametajirika kupitia kilimo hicho.
  6. Bushmamy

    Wanakijiji waomba malipo ya minara ya simu iliyopo kijijini kwao wapewe kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

    Wakazi wa kijiji cha Mazwe, wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba viongozi wa Minara ya simu ya Tigo na Airtel walioweka minara yao kijijini hapo tangu 2013 malipo ya minara hiyo iwanufaishe wanakijiji wa kijiji hicho kwa kujenga zahanati kutokana na kuwa malipo hayo hayafiki katika ofisi...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wanakijiji Pombambili wafanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi

    Wanakijiji wa Kijiji Cha Pombambili, wamefanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi kwenda PSG. Kongamano limefanyika leo kijijini hapo na kuhudhuriwa na mashabiki wengi sana wa Barcelona wakiwa wamevalia jezi zao maridadi. Kwa kweli wameumizwa sana
  8. Determinantor

    Upotoshaji wa Chanjo ya CoVid 19: Nusura nijeruhiwe na Wanakijiji

    Mods and Wachangiaji, ninachoandika hapa ni kitu kikubwa na nashauri tahadhari ichukuliwe mapema. It is very serious. Siku ya Jana nikiwa kwenye majukumu yangu ya kutafuta riziki, nilipaswa kufika kwenye shule X huko kanda ya MAGHARIBI ili kuonana na Mkuu wa shule kwa akili issue Fulani...
  9. Analogia Malenga

    Apoteza maisha kwa kushambuliwa na tembo, Handeni

    Mtu wa pili amepoteza maisha ndani ya wiki moja baada ya kushambuliwa na tembo wanao endelea kuzurura hovyo kwenye makazi ya watu katika mtaa wa malezi wilayani Handeni mkoani Tanga. Akiongea na ITV akiwa hospitali ya wilaya ya Handeni ulipohifadhiwa mwili wa marehemu ambaye amejulikana kwa...
Back
Top Bottom