wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Biden awapongeza wanajeshi kwa kufanikiwa kulitungua Balloon la China

    President Joe Biden on Saturday congratulated fighter pilots for taking down a Chinese spy balloon off the east coast after it spent several days flying over the United States. "They successfully took it down. And I want to compliment our aviators who did it," Biden told reporters in Maryland. AFP
  2. Mpaka sasa wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ

    Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k. Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji...
  3. Wanajeshi 900 wa Urusi wameuawa ndani ya masaa 24

    Mizoga ya Warusi inaendelea kutapakaa Ukraine. ========= The General Staff of the Ukrainian Army has indicated that 910 Russian servicemen have been killed during the last 24 hours and added that so far the clashes have resulted in more than 123,000 Russian soldiers "liquidated". He also...
  4. Urusi imeishiwa wanajeshi hadi inarejesha vitani waliojeruhiwa na kupewa likizo

    Jameni Warusi wanapitia mateso sana, mtu amejeruhiwa amepasuka pasuka analazimishwa arudi vitani akapigane na kufia huko, hii aibu itaisha lini maana kama inazidi kuwa mbovu..... Severely injured Russian soldiers are being returned to the frontline in Ukraine without the approval of military...
  5. Wagner Group: Wanajeshi wa Ukraine waliozingirwa huko Soledar ama wamejisalimisha au wameuawa

    Soledar Down! Hawa Wagner si ndo tuliambiwa wamesambaratishwa?. Anyway Kherson Offensive iliishia mtoni na hakuna offensive yeyote mpaka sasa. Time will tell. Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena Soma: Ukrainian soldiers surrounded in...
  6. Kama Mungu angefanikisha ndoto ya kila Mtanzania sasa tungekuwa na Marais laki 1, wanajeshi ml.10, marubani mil.7, madaktari mil. 10, wanasheria ml.15

    Ahahaha kweli Afrika, kila mtoto ukimuulizia ndoto yako nini atakuambia ni kuwa rubani, daktari, mwanasheria, RAIS au mjeda. Wachawi tumewachoka sasa, hebu rudisheni ndoto za Watanzania walizoota walipokuwa primary na sekondari.
  7. Ukraine yakanusha madai ya Urusi kuua wanajeshi wake 600

    Ukraine imetaja madai ya Urusi kama "propaganda" kwamba imeua mamia ya wanajeshi wa Ukraine katika shambulio. Moscow ilidai, bila kutoa ushahidi wowote, kwamba "shambulio kubwa la kombora" katika mji wa mashariki wa Kramatorsk limeua zaidi ya wanajeshi 600 wa Ukraine. Urusi imedai kuwa ilikuwa...
  8. Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

    Amani iwe nanyi. Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu. Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa...
  9. Ukraine: Simu za mkononi chanzo cha vifo vya wanajeshi 89 wa Urusi!

    Urusi imesema idadi ya vifo vya wanajeshi wake kufuatia shambulizi la Ukraine kwenye mkesha wa Mwaka Mpya katika eneo la Makiivka imepanda hadi 89. Moscow imesema mapema leo kuwa miili zaidi ilipatikana kwenye vifusi katika mji wa Makiivka ulioko mkoa wa mashariki wa Donetsk unaodhibitiwa na...
  10. Hii ndio sababu ya wanajeshi wengi kupigwa na Himars

    Ni kosa lilifanyika nadhani ni kwa sababu hawa sio askari tegemezi wa Russia. Askari hawezi kutumia simu za kawaida sehemu yoyote iwe kambini au uwanja wa vita. Already obvious that the main reason for what happened was the turning on and mass use mobile phones by personnel – contrary to the...
  11. Nitateua Makatibu Wakuu wa Wizara Wanajeshi waliokula Kiapo cha Kifo nikishika hatamu

    Wakuu KIFO ndio fumbo pekee ambalo wanadamu tunaogopa. Watu hawaogopi tena kifungo cha Maisha jela wala faini zinazolipika. ILI kuongeza tija kiutendaji na kuepuka ubadhirifu, wizi na UFISADI katika wizara mbalimbali nchini,ipo haja ya kuteua kada ambayo itakula kiapo cha KIFO!kabla ya...
  12. DRC: Wanajeshi 8 wahukumiwa kifo kwa kuua raia wawili wa China

    Wanajeshi wanane na raia moja katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa DRC wamehukumiwa kifo kwa mauaji na ubadhirifu. Kati ya waliopatikana na hatia kati yao kuna Kanali Mukalenga Tendeko na Kayumba Sumahili. Wanajeshi wengine watatu ambao walikuwa wamehukumiwa hadi kifungo cha miaka 10 jela...
  13. Urusi kutuma wasanii wakawatumbuize wanajeshi wake walioishiwa na ari au mzuka

    Wanahisi labda wanajeshi wakitumbuizwa watakubali kupigana maana pamekua pagumu.... Russia says it will deploy musicians to the front lines of its war in Ukraine in a bid to boost morale. The defence ministry announced the formation of the "front-line creative brigade" this week, saying it...
  14. Wanajeshi wa Ukraine wafanya aina ya mashambulizi ambayo hayajashuhudiwa kwa muda mrefu

    Donetsk kumewaka moto, Warusi wapoteana....viongozi wa Urusi wanasema hawajashuhudia aina hii ya mashambulizi kwa miaka mingi. MOSCOW, Dec 15 (Reuters) - Ukrainian forces shelled the Russian-controlled eastern Ukrainian city of Donetsk overnight in some of the biggest attacks for years...
  15. Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

    Hawa ni walioponea kufa na kurudi Urusi, wamegoma hawarudi tena kwenye mapambano....
  16. Kwanini katika vita vyote, ni hii RUSSIA-UKRAINE tu ndio wanajeshi WANAFICHA nyuso zao? Wanaogopa nini?

    Asilimia kubwa ya wanajeshi wote wanaficha nyuso zao. Wa Ukraine wanavaa mask vilevile wa Urusi. Sababu kubwa ni nini wakuu. Tumezoea kuona vita vingi mbalimbali watu walikuwa wanaenda wanakodoa nyuso tu. Je kuna jambo jipya la kujifunza katika hili? Karibuni wajuvu,
  17. Wanajeshi wa SADC waua wapiganaji wa kiislamu 30

    Mpambano mkali baina ya wanajeshi wa SADC na wapiganaji wa kiislamu ambao humpigania 'mungu' wao umeshuhudiwa Msumbiji na hatimaye wapiganaji 30 wakawahishwa kule peponi..... The mission sent by the Southern African Development Community (SADC) to northern Mozambique to combat terrorism in...
  18. Idadi ya wanajeshi wa Ukraine wanaotoroka vitani inaongezeka baada ya matamshi ya Ursula Von der Leyen

    Ursula Von der Leyen alisema katika hotuba yake ya video Jumatano asubuhi kwamba "zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa" ======== LUGANSK, December 2 Ukrainian service members have been deserting their positions in the special military operation zone after a statement by...
  19. B

    Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

    Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke. Description: ~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty. ~ Ana mke na watoto. Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye...
  20. Wanajeshi 600 kuuawa kwa siku moja, hivi Putin huwa anawajibu nini wazazi wa hawa vijana

    Hivi mbona Marusi sio kama wazungu wengine, ujamaa husababisha watu wanaishi kama mazombi ya kupelekeshwa na serikali, mtu mmoja kwa uchizi wake ameingiza nchi kwenye vita visivyokua na tija yoyote na kusababisha maelfu ya vifo vya vijana, ameishiwa wanajeshi mpaka anaokoteza walalahoi vijiweni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…