wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Drones 17 zashambulia Crimea na kuua wanajeshi wa Urusi

    Ifahamike sasa Ukraine wana viwanda vyao vya drones, Mrusi ajiandae kupambana na maelfu ya drones kote kote, wanapiga Moscow na Crimea, maeneo ambayo Putin alisema yakiguswa atafanya kitu. 17 Ukrainian drones attacked a logistics base of Russian troops near Yevpatoriia in occupied Crimea on...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanajeshi wa Urusi wanaojitoa uhai yazidi kuongezeka

    Wengi wanaamua hamna haja ya kuhangaika, bora wajifie... The number of suicides among Russian officers has increased significantly since the Russian full-scale invasion of Ukraine began. Source: Ukrinform news agency, citing Andrii Yusov, Spokesman for Ukraine's Defence Intelligence, on air...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi walioko Bakhmut waanza kuzingirwa

    Muda itabidi waachiwe pakutokea.... =========== Ukraine forces have retaken land near Bakhmut from Russia, Kyiv says Ukrainian forces have recaptured the heights over Bakhmut and are successfully encircling Russian troops in the city, a defence minister in Kyiv has said. Hanna Maliar also...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine wafaulu kupasua na kuvuka mto Dnipro

    Ikumbukwe kwenye huu mto Warusi walikua wamejichimbia balaa kwenye upande wa pili, haya Ukraine wamevuka, mbele kwa mbele... Ukrainian forces conducted a raid across the Dnipro River in the Kherson region on Tuesday, attempting to land near the Russian-occupied village of Kozachi Laheri, state...
  5. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

    Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu. Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi. Wakuu...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Balaa ya HIMARS, wanajeshi Warusi wafumuliwa 200 kwa mkupuo

    Haya madubwana ni hatari sana..... UKRAINE has reportedly wiped out hundreds of Russian soldiers who thought they were out of the range of danger. Sources say five US-made HIMARS missiles slammed into the squaddies who were gathered on a beach in the Kherson region. 7 Up to 200 of Putin's...
  7. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel waziba chanzo cha maji kwa saruji kinachowapa Wapalestina maji mjini Hebroni

    Huu ndiyo ukatili wa hali ya juu unaoendelea huko Palestina na huku Dunian ikifumbia macho haya yote.
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Poland yatuma wanajeshi mpakani licha ya Putin kulia lia

    Wamediriki na wamefanya....jeshi lao liko mpakani na Belarus, Putin alibwatuka mikwara na vilio ila ndio hivyo ashakua mzee wa kupuuzwa.... POLAND has sent troops to their border with Belarus to face off the growing threat of Wagner forces amassing on the Nato nation's eastern flank. Vladimir...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida yoyote ya Jeshi lolote la Afrika Kuficha Taarifa za Kuuwawa kwa 'Ambush' kwa Wanajeshi wake

    Majeshi ya Bara la Ulaya, America, Mashariki ya Kati na Mashariki ya mbali huwa hayana Upuuzi wa Kuficha au Kuwaficha Wananchi wa Nchi zao Taarifa za Kuuwawa kwa Wanajeshi wake katika Ambush wakiwa Vitani au katika Misheni za AU au UN. Ila kwa Bara la la Afrika Majeshi yao hupenda sana kuficha...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Urusu waunguzwa kwa makombora kama mkaa

    Hivi Putin ipo siku ataweza kujibu nini kilipelekea asababishe maafa kwa vijana wa nchi ya Urusi???
  11. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Mamlaka badilisheni mwonekano wa mavazi ya wanajeshi wawe nadhifu kama hawa

    To be honest lijapo umakini, nidhamu na hata mwonekano Wanajeshi wa Rwanda wapo mbali sana! Mwanajeshi wa Rwanda mda wote awapo kazini ni mtu makini na mzingatifu na bila kusahau hupendeza kwa uniform safi kabisa! KAMWE HUWEZI KUKUTA UNIFORM ZA YULE ZIMEPAUKA AMA ZA HUYO ZIPO VILE. WOTE...
  12. Zacht

    JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline wakutana na mashambulizi mkali

  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CDF General Mkunda washauri Wanajeshi wako wasipende 'Kujilundika' katika 'Baa: Moja na 'Kugambeka' ovyo

    Kuna Baa Tatu maarufu zilizoko sehemu tofauti tofauti Wilayani Kinondoni Wamejazana kiasi kwamba Tanzania ingekuwa na Waasi au Magaidi na Bomu Kutupwa waliko hivi sasa Jeshi na Tanzania lingekuwa linaomboleza Vifo vya Wanajeshi wake wapatao Tisini ( 90 ) waliokuwa Wakilewa ( Wakigambeka ) katika...
  14. Planett

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Walinda amani wa Tanzania kurejeshwa nyumbani kutokana na madai ya utovu wa nidhamu CAR 9 Juni 2023Haki za binadamu Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) chenye makao yake makuu mjini Bangui, kimetangaza uamuzi wa Sekretarieti, kuwarudisha...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 100 wa Urusi waliokuwa wanasubiri hotuba wapigwa bomu na kuuawa

    Walikua wanasubiri hotuba ya kuwatia hamasa, maskini hawakujua satelite inawaona. =========== As many as 100 Russian troops gathered for a motivational speech near Ukraine’s eastern frontline may have been killed in a strike earlier this week, prompting fury among Russian military bloggers...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wagner asema Urusi iache propaganda za kusema imeua maelfu ya wanajeshi wa Ukraine

    Huyu mzee hehehe eti ndiye tegemezi la Warusi na anavyofyatuka.... asema hizo ni ndoto za mchana Russia's claims that its military had inflicted massive casualties on advancing Ukrainian troops are "wild fantasies", the boss of Russian mercenary group Wagner said Tuesday. Moscow's defence...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi walijaribu kulipua wapiganaji wa Wagner wakati wanageuza

    Haya yamesemwa na kiongozi wa Wagner, ambaye kila siku anatoa matamko baada ya kukimbia mapambano ya Bakhmut June 2 (Reuters) - Russian mercenary boss Yevgeny Prigozhin, who has been arguing with top military brass for months, on Friday escalated the feud by accusing pro-Moscow forces of trying...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Waasi wa Urusi wateka wanajeshi Warusi, mambo yanaendela kutokota

    Wanajeshi wa Urusi wameanza kukamatwa mateka na waasi, supapawa hali tete. ======== Fighters opposed to the government in Moscow say they have have captured two Russian soldiers in Belgorod, near the border with Ukraine. Belgorod's top official said he had agreed to meet the men's captors if...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Al-Shabab waua wanajeshi 54 raia wa Uganda

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema mauaji yametokea katika shambulizi la Al-Shabab kwenye kambi ya walinda amani wa Umoja wa Afrika Nchini Somalia. Wiki iliyopita Museveni alisema kumetokea vifo vya Waganda lakini hakutoa maelezo zaidi kuhusu shambulio hilo dhidi ya wanajeshi hao...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wagner: Tumeanza kukabidhi miili ya wanajeshi wa USA tuliowaua kwenye mapigano ya Bakhmut

    Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut...
Back
Top Bottom