wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

    Wanajeshi wa jeshi la ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi ya Tanzania wana tatizo la nidhamu na hawapendi kukosolewa pale wanapokosea. Tatizo ni kwamba hawa vijana wetu na kaka zetu na dada zetu na wadogo zetu,pale wanapovaa mavazi yenye nembo ya taifa wanajiona wapo juu ya sheria. Matukio ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini tarehe za 21 hadi 4 Wanajeshi wanakuwa na Furaha tele, ila kuanzia tu tarehe 5 hadi 20 Wanatia mno Huruma na kuwa na Usununu / Hasira?

    Na hapa GENTAMYCINE nawaongelea / nawalenga zaidi wale Non Commissioned Officers ( Wanajeshi wa Ngazi za Chini ) na wala sina shida na wale Wakubwa ( Commissioned Officers ) kwakuwa sijawahi kuwaona wakiwa na hali ambayo huwa naiona kwa hawa Wenzao ninaowajadili wa Vyeo cha Chini wakiongozwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

    Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu. Kitu wengi wasichokifahamu, hao...
  4. JamiiForums Tanzania Je, na Wanajeshi Wastaafu wa nchi nyingine Barani Afrika nao wako 'Fiti' Kiafya na Kiukakamavu kama hawa wa Israel?

    Kuna wa nchi moja Barani Afrika (kwa sasa nimeisahau) nina uhakika Taifa hilo likiingia Vitani na kuita/kuwaita Wanajeshi wake Wastaafu watakaorudi wote watakuwa ni Wagonjwa wa Kisukari, Figo, Ini, TB, HIV na BP, wanywa gongo maarufu vilingeni na wapiga debe vituoni.
  5. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa ufaransa wameanza kuondoka rasmi Nchini Niger

    Wanajeshi kutoka nchi ya Ufaransa walioletwa Niger kulinda usalama dhidi ya vikundi vya kigaidi wanaonekana kwenye video hapo nchini wakifungasha virago maeneo ya Airport ambapo ndege yao ilitua hili kuanza mchakato wa kuondoka nchini humo baada ya kauli ya kiongozi wa kijeshi nchini Niger...
  6. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine wafaulu kwa mara nyingine kuingia Crimea na kushambulia

    Kama kawa.. vilianzia Crimea, vitaishia Crimea ======== Ukraine’s Defence Intelligence has stated that units of the Special Operations Forces landed on the territory of the occupied Crimean peninsula and attacked the Russians, and after completing the mission, they retreated. Ukraine’s...
  7. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine wafaulu kumkamata kamanda wa Urusi na wanajeshi kadhaa

    Kamanda alishindwa kutoroka walipozidiwa.... SCREENSHOT FROM VIDEO MADE BY AZOV Soldiers from the 1st and 2nd battalions of the Azov 12th Special Forces Brigade of the National Guard of Ukraine have captured four servicemen of the Russian Army during the storming of Russian positions: among...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

    Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na...
  9. JamiiForums Tanzania Ufaransa yatangaza kuwaondoa Balozi na Wanajeshi wake kutoka Niger

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema watachukua maamuzi hayo kutokana na Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Niger ya kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum. Amesema “Tutatekeleza hilo ndani ya saa kadhaa zijazo, Balozi na Wanadiplomasia wetu watarejea nyumbani, hivyohivyo kwa vikosi vyetu...
  10. JamiiForums Tanzania Kambi ya jeshi la Urusi kwenye ziwa Black sea yalipuliwa na wanajeshi wa Ukraine

    Hamna kinachosazwa, vinalipuliwa vyote... The Armed Forces of Ukraine have confirmed that they successfully attacked the command post of the Russian Black Sea Fleet near Sevastopol on the morning of 20 September. Source: Directorate of Strategic Communications of the Armed Forces of Ukraine...
  11. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi wanatelekezwa kila wanapojeruhiwa au kuuawa

    Malalamiko yameibuka jinsi wanajeshi wa Urusi wanaachwa wajifie kwenye nchi ya watu kila wakijeruhiwa, maana wenzao wanakimbia mapambano ilhali Urusi haijali. Kuna matatizo mengi sana ikiwemo wanajeshi kujinunulia baadhi ya vitendea kazi maana Urusi imeishiwa. =================== Russian troops...
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe wanajeshi hawatanii, leo wamepita Soko la Mchafukoge kuchukua nguo zao

    Jeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani. Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu hasa zinazofanya wanajeshi wawapindue watawala

    Mara nyingi wanajeshi husema kuwa wanapindua nchi sababu ya uongozi mbaya, kwa ajili ya wananchi blah blah. Ukweli hizo si sababu kabisa zinazofanya wafanye hivyo. Mara nyingi wanajeshi hupindua nchi baada ya kuona mtawala hana maslahi tena kwao au hawezi kuendelea kulinda maslahi yao. Mfano...
  14. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine waanza kuingia Crimea

    Putin alisema Crimea ikiguswa, atafanya jambo, sasa imepigwa mabomu na leo hii kuna kundi la wanajeshi limeingia, sijui aguswe wapi ndio afanye..... A battle took place in occupied Crimea, as Ukrainian intelligence units disembarked on the peninsula as part of a special operation on the morning...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi La Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lakanusha Wanajeshi wa Ngazi ya Juu Kuongezewa Mshahara

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kuwa kuna habari ya uzushi iliyosambazwa na mtandao wa kiiamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara. Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023...
  16. JamiiForums Tanzania Mataifa 11 ya Afrika Magharibi yaandaa yajitolea kupokeza wanajeshi watakaokwenda kuiweka sawa Niger

    Zama za wanajeshi kukurupuka na kuchukua uongozi wa nchi zimepitwa na wakati, ndio mojawapo wa sababu Afrika huonekana kama bara la njaa na vita vita vya kijinga. Inapaswa tulumbane kwa hoja kama raia lakini malumbano yenyewe yabaki kwenye ndani ya wananchi, sio hawa wavaa magwanda ghafla...
  17. JamiiForums Tanzania Ukraine wanatumia drones kugundua mabomu yaliyofukiwa na wanajeshi wa Urusi waliotoroka mapambano

    Wenzetu teknolojia zao ziko mbali sana, yaani drone inapaa na kumulika hadi chini ya ardhi na kugundua mabomu, Warusi waliposhindwa mapambano walifukia mabomu na kutoroka. A demonstration of the thermal vision of the new military-grade drone in Kyiv, Ukraine, on June 20. Alex Chan Tsz Yuk/SOPA...
  18. JamiiForums Tanzania Eneo lingine lakombolewa Donetsk, wanajeshi wa Urusi wafukuziwa nje nje

    Kwa mwendo kasi, zege hailali...ni kulipua mpaka wakomboe maeneo ya taifa lao.. Russian troops have been forced to retreat as Ukraine has retaken a key village in Donetsk, according to reports. Moscow’s forces have abandoned their positions in Urozhaine, which is a strategically-significant...
  19. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

    Swali makini: Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
  20. JamiiForums Tanzania Base ya wanajeshi wa Urusi yatiwa kiberiti Mariupol

    Hii imefanywa na wazalendo, ikumbukwe pembeni na jeshi la Ukraine, kuna wananchi wapiganaji waliounda makundi ya kuhujumu na kuharibu miundo mbinu ya wanajeshi wa Urusi...... Petro Andriushchenko, adviser to the mayor of Mariupol, has said that the partisans destroyed the Russian base in the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…