wanaijeria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Wanaijeria wapata wasiwasi kuhusu hali ya ASAKE baada ya kuonekana kachoka na maisha

    Tuache utani, Mziki ni kazi ngumu jamani kama hauna strategies thabiti. Wanaijeria walalamika kuhusu ASAKE kubadilika muonekano na kuanza kufanana na watu wa kawaida japo kuwa ana mamilioni ya pesa kwenye Account za benki. ASAKE aliyezoeleka kuwa ni mtu wa fashion za kuvutia, siku hizi amekuwa...
  2. Braza Kede

    Kwanini wanaijeria wanawaacha vijana wanachagua marais wazee waliojichokea hoi?

    yule mjeda aliepita muda mwingi alikuwa anabadilisha mahospitali tu kwa umri mrefu na hadi ameondoka hata upande huu haujui maana hajawahi kukatiza huku. huyu wa sasa siku wanamwapishwa alikuwa anatembea kama anakwea ngazi wkt sehemu yenyewe wala haina ngazi! sasa nimejiuliza ina maana huku...
  3. Mhaya

    Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

    Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi. Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania. https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Japokuwa Nchi yetu inashika...
  4. GENTAMYCINE

    Kumbe yaliyokuwa Maandalizi Kabambe ya Wiki nzima yalikuwa ni kuhakikisha leo tunatoka Sare na Wanaijeria?

    Kumbe nia yenu Kuu na Juhudi zote mlizofanya Wiki nzima kabla ya kukutana na Rivers United FC leo ni kutaka tu Mashabiki wenu AKILI HAMNAZO waujaze tu Uwanja wa Mkapa ili mpige Pesa lakini siyo Kuiandaa Timu ili leo isitie Aibu kwa kutoka Suluhu ( bila Kufungana ) wakati mnaichezea Nyumbani na...
  5. GENTAMYCINE

    Kama unaona Simba SC imefanya vibaya leo mkitoka kwa Wanaijeria ombeni nao Mechi ya Kirafiki mkoge goli 10

    Mnaacha kuwapongeza Simba SC kwa kumfunga Bingwa wa Kombe Klabu Bingwa Afrika ambalo umeishia njiani na kuangukia Kombe la Walioshindwa CAFCC unaanza kutabiri kuwa Safari ya Simba SC ndiyo imefikia mwisho! Mkiambiwa hamna akili mnanuna!
  6. NetMaster

    Afrika na unyonge ni ndugu ? Wanaijeria ndio jamii inayoongoza kwa maendeleo kwetu waafrika lakini katika ngazi ya dunia badowapo nyuma sana.

    Hapa Afrika unapozungumzia jamii ya watu walioendelea zaidi basi ni wanaijeria hata wale wambao wapo Diaspora. Najua utakimbilia kusema kuna Black americans kina Jay Z lakini hao bado ni wachache sana hawawezi kufikia wanaijeria kina Dangote, pia huko Marekani ni jamii inayowakilisha watu weusi...
  7. Zombie S2KIZZY

    Mtaa umejaa wanaijeria

    Kunani mtaani kumejaa hawa vijana kutoka Lagos na Abuja na wako kimakund makund Kuna nn Hapa bongo ? Je wamekuja kutalii au wamekuja kuota jua la bongo maana wanalalamika bongo joto au wamekuja na mishe zngne tusizozijua au kutafuta maisha? Ila wanantia mashaka wanavozd kuwa weng na wengne...
  8. sky soldier

    Je, Ukiwa upo vizuri kiuchumi na wanawake wengi wanazipenda hela zako, unaweza kupata mke Loyal kwa kujifanya masikini kama kwenye muvi za wanaijeria?

    Ni kazi sana mwanamke kujuia na pesa za mwanaume labda awe ni mtoo wa kishua au ana kazi yake inamlipa fresh, Hali hii imepelekea vijana wengi wenye pesa kutembea ama kuoa wanawake wanaojali pesa zao tu, na endapo kukawa kuna mtu mwenye pesa zaidi basi hawajiulizi mara mbili kukuacha ama...
  9. Sa 7 mchana

    Utapeli au upigaji wa wanaijeria

    Hawa jamaa wamekua ni kwikwi duniani kote kwa utapeli. Nawaza pengine yawezekana utapeli kwao ukawa ni sehemu ya vinasaba kwa kitaalum DNA. Kila siku wanakua busted/ kamatwa katika nchi tofauti tofauti na kurudishwa kwao. KISA CHA MJANE WA MIAKA 54 ALIETAPELIWA USD 90,000 NA MNAIJERIA WA MKIA...
  10. sky soldier

    Kwanini Waafrika wakiona Wanaijeria wanapiga hatua wanalalamika kuibiwa fursa ila hawalalamiki kuhusu Wahindi, Waarabu, Wachina, n.k?

    Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana. Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
  11. M

    Haya haya Kumekucha Wanaijeria wameshaanza tayari Umafia na Kulipiza Kisasi huko Kwao Port Harcourt

    Tafadhali mnapotutumia Picha mlizopiga Uwanja wa Ndege baada ya Kutua hebu tuwekeeni pia na Picha za Mashabiki zenu baadhi Kupigwa Ngumi na Wanaijeria wakijiandaa kupanda Basi. Halafu mbona Picha ya Msemaji wenu Mzungu Pori ya Kujificha jificha hapo Uwanjani kwa Kuogopa Kipigo hamtutumii pia...
  12. Chizi Maarifa

    Marehemu Dkt. Shika alipigwa Shilingi ngapi na Wanaijeria?

    Utapeli huu wa Wanaijeria ni maarufu sana; wanakutumia Email. kuingia nawe mikataba ya mabilion ya pesa mnajaziana documents kadhaa na we unawatumia mnaenda sambamba huku ukiwatumia some amount kama 'kishika uchumba', na kukufungulia acccount bank yao huko pamoja na kulipia lipia mambo kadhaa wa...
Back
Top Bottom