Wenzetu zanzabar wamefanikiwa kubadili katiba yao, wamefanikiwa kuondoa vifungu ambavyo vipo kwenye katiba ya muungano ambavyo hawavipendi lakini hakuna mtu au watu wanaopigania Tanganyika kwenye Muungano huu.
Hadi mkuu wa majeshi Tanzania naye kawa chawa tu yaani Watanganyika ukiacha majembe...
Leo wanasherehekea Isreal na Marekani kuishambulia Iran.
Hawaoni watoto wadogo wanaouliwa
Hawaoni Isreal na marekani uhuru wa wananchi wao una binywa.
Leo ukipost picha ya jengo la Isreal limeshambuliwa, raia huyo anaweza kupotezwa.
Hawaoni jinsi gani nchi hizi zinavyovuka mipaka ya...
Hakuna serikali ya kijinga namna hiyo.
Mange Kimambi anazusha Mafwele kabakwa halafu anasema serikali ikanushe na Mafwele ajitokeze.
Kigogo 2014 anazusha Rais kafa, mnafurahi na kujifariji. Mkiona kimya anatokea Lema na Maria Sarungi mjaa laana wanasema serikali iseme Rais yuko wapi.
Anatokea...
Ni baada ya wahanga kutishia kumpeleka mahakamani.
Yericko Nyerere:
IMEDHIHIRIKA TAARIFA HII HAIKUWA SAHIHI.
Kwa msingi huo, Naomba nitumie nafasi hii kuomba radhi juu ya maoni yangu kwenye post ya juzi kuhusu nyaraka hii ambayo imethibitika ilikuwa ni ya uzush wa mitandaoni, maoni yangu kwa...
NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai
Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mbaya zaidi huko mitandandaoni tulikuwa hatupumui tena walikuwa hadi na majukwaa na mikutano ya...
Baada ya MO29, Wanaharakati na CHADEMA walisisitiza kwamba lazima haki ipatikane na kuwe na uwajibikaji kutokana na matukio yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
Kampeni zikaanza ikiwemo za kukusanya vielelezo, kupinga tume feki ya Chande na kupeleka vielelezo vya kufungua...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema wanaharakati wanapinga sana sababu mirija yao imekatwa na Serikali ya Mapinduzi
Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa
Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika mashirika ya kimataifa 66. Hatua hii, inayokuja chini ya sera ya "America First", si pigo kwa...
Polepole hakua mjinga atoke cuba na kuja nchini kuhamasisha UKOMBOZI ilihali akijua usalama wake upo rehani, hii ni mbinu ya UKOMBOZI lazima uwe tayari kuwa sadaka ili wengine waone dhamira ya dhati huwezi waambia watu tupo tayari kufa kwa ajili ya nchi yetu wewe upo abroad nje ya nchi unaishi...
Tunajua mnapambania ugali wenu ila hii vita yenu na serikali ni ya hovyo.
Kwa sasa mnasema waliouwawa ni 10,000 kutoka elfu moja ( 1000) mnadhani binadamu ni sisimizi. Idadi hii hata kwa kiziwi tayari ni siasa chafu.
Pili, Tanzania ni wazi sana tunaomba watu waliopigwa risasi nyumbani kwao...
Tunajua mnapambania ugali wenu ila hii vita yenu na serikali ni ya hovyo.
Kwa sasa mnasema waliouwawa ni 10,000 kutoka elfu moja ( 1000) mnadhani binadamu ni sisimizi. Idadi hii hata kwa kiziwi tayari ni siasa chafu.
Pili, Tanzania ni wazi sana tunaomba watu waliopigwa risasi nyumbani kwao...
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft
Ila ongea ukweli tu.
Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa
Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement
Don't play someone's game
Na wanaharakati anzeni...
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?
Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake
Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki...
Wanaukumbi.
Nadhani sasa wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ..
Hawa ndiyo wanajeshi mlikuwa mnajazwa ujinga eti wanawatumia wanaharakati wenu meseji DM 😁😁😁
Wanaharakati wenu hawanaga akili kabisa !.. Ila leo wameelewa nini maana ya...
Wakrislam tumefikiwa 😂 😂 😂
----------------
"Ni nani amabye hajui kwamba moja wapo ya mikakati ya wanaharakati kwa ajili ya kutekeleza mambo yao ilikuwa kutugawa kupitia dini?. Kutugawa tuchukiane kwa sababu ya tofauti ya itikadi zetu za vyama vya siasa." - Amesema Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi...
Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na waanzilishi wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuata ambao ni wanaharakati
"lazima umma ujue tutakuwa ni...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 amehoji mikakati na mbinu za wanaharakati za Oktoba 29 kama ilileta mwarubaini wa chanagamoto zinazowakabili wananchi na taifa kwa ujumla kama...
Kwa mtumiaji yoyote wa mtandao wa X na ambae anafuatilia taarifa za mtu anaeonekana kuwa ni mwanaharakati katika mtandao wa X anaetumia jina la "Tanzania leaks"atakubaliana namu kuwa huyu mtu taarifa zake nyingi huwa ni za uzushi.
Ni bahati mbaya sana wanaharakati na wanasiasa makini, hu-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.