wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini Serikali haiwajali wanafunzi Kama inavyowajali wafungwa?

    Ni jambo la kushangaza na kuumiza moyo kuona kuwa wafungwa walioko magerezani wanahakikishiwa huduma zote muhimu kama vile chakula, mavazi (mavazi ya gereza), malazi, huduma za afya na hata baadhi yao kupata fursa ya elimu. Hili ni jambo jema kwa kuwa hata mfungwa anastahili haki zake za...
  2. Kitabu kipya: Mbinu bora za ufundi wa AC cha Mohamedy J Kamau

    Habari wanajamii wa JamiiForums, Napenda kuwajulisha kuwa nimeandika kitabu kipya kwa lugha ya Kiswahili kinachoitwa “Mbinu Bora za Ufundi wa AC”kilichoandikwa na mimi Mohamedy Joseph Kamau Kitabu hiki: Kinafafanua kwa ufasaha mbinu za kisasa za matengenezo, usakinishaji na uendeshaji wa...
  3. Wanafunzi wa Vyuo Vikuu: Fahamuni Umuhimu wa Psychographic Segmentation Katika Ulimwengu wa Kisasa wa Marketing

    Wanafunzi wa marketing na biashara kwa ujumla, ni muhimu sasa kuelewa kuwa soko la leo haligawanywi tu kwa kipato (income), jinsia (gender), au umri (age). Dunia ya kisasa imeingia kwenye hatua ya deep consumer understanding ambapo psychographic segmentation ndiyo silaha kuu ya makampuni...
  4. PreGE2025 Mwanafunzi UDSM: Wabunge wanawaza kurudi 2030 sio kujenga taifa

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa. Akizungumza leo Juni...
  5. Walimu Nchini watakiwa kuwa Walezi Bora kwa Wanafunzi

    Serikali imewataka walimu wote nchini kuendelea kuwa walezi na kuwasaidia wanafunzi kutojihusisha na tabia zenye kuondoa maadili na utamaduni wa Kitanzania. Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu - Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Daniel Mushi tarehe 20 Juni 2025 katika chuo cha...
  6. S

    Ushahidi kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuhusu tuhuma za wanafunzi kusahihishiana mitihani S/M Kimandafu

    Ndugu mkurugenzi napenda kukutaarifu kama mtanzania mzalendo na mwenye wivu mkubwa na ubora wa elimu yetu niliandika kupitia mtandao huu wa Jamii Forums juu ya matendo yasiyofaa yanayofanyika ktk shule ya msingi Kimandafu iliyoko ndani ya halmashauri ya wilaya ya Meru unayoiongoza hivi sasa...
  7. Ni wakati sasa wa serikali kuwapima wanafunzi UKIMWI na MIMBA

    Kwangu haya mawili ni majanga makubwa kuliko majanga yeyote yaliyowahi kuwapata watoto (wanafunzi. Naiomba serikali na wizara husika kuchukua hatua ya haraka ikiwemo ya kupima UKIMWI NA MIMBA kwa lazima kila wanaporudi likizo. Pia kuwepo na njia salama za kutoa wanafunzi mimba changa pale tu...
  8. Wanafunzi wa Afrika wanapenda zaidi kusoma nchini China badala ya Marekani

    Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho. Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha...
  9. Hashimu Rungwe aitaka Serikali kutoa Chakula bure kwa Wagonjwa na Wanafunzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni...
  10. Kwanini wajasiriamali wanapewa mikopo isiyo na riba, lakini wanafunzi wabebeshwa mizigo ya madeni?

    Serikali kupitia Halmashauri inatoa mikopo kwa ajili ya vikundi vya wajasiriamali na mikopo hiyo haina riba wakati ni kwa ajili ya biashara, maana yake wanufaika wanapata faida, lakini mikopo inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kwa ajili ya wanafunzi (ambao kwa sasa hawana uhakika wa ajira...
  11. PreGE2025 Rais wa TAHLISO: Wanafunzi vyuo vikuu tutashiriki uchaguzi, Instagram Facebook na X sio Tume Huru ya Uchaguzi

    Wakuu Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7. === Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO...
  12. Anayekumbuka: Maandamano wanafunzi wa UDSM kupinga ukoloni wa Wafaransa

    Mnamo miaka ya 1970s , wanafunzi wa UDSM waliandamana Dar es salaam International Airport kupinga siasa za ukoloni wa Kifaransa . Maandamano hayo yalikuwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, aliyeitembelea Tanzania kuona ni misaada gani wafaransa wanaweza kuleta na ushirikiano...
  13. L

    KERO Malipo ya Wanafunzi Law School COHORT 39 wanaodai chuo (overpayment_refund) imekuwa danadana na wahusika hawajalipwa

    Inaelekea wiki ya pili sasa tangu wanafunzi hao wamalize masomo hapo na HESLB imekwisha watumia message za malipo yao, chuo wamekaa kimya na Ofisi ya Uhasibu hawatoi ushirikiano mzuri, ni uwajibikaji gani huo? Pesa hizo zinalipwa lini? Dear .......... your loan item TU TZs 1,000,000.0 has been...
  14. Halmashauri ya Missenyi yasema inachunguza madai ya baadhi ya Walimu Wilayani hapo kuwaagiza Wanafunzi vyuma chakavu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja kuwa Baadhi ya Shule za Msingi Wilaya Missenyi-Kagera, Walimu wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu kwa manufaa yao binafsi Mamlaka ya Wilaya hiyo imejibu madai hayo kwa kueleza kuwa inatuatilia suala hilo. Taarifa rasmi ya Halmashauri ya...
  15. DOKEZO Uongozi wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika, unatuvuruga baadhi ya Wanafunzi, wanadai tumelipa fedha “hewa”

    Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
  16. PreGE2025 Mavunde akabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge

    Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde amekabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge lengo ikiwa ni kuendelea kuwasaidia wanafunzi hao kuendelea kupata huduma ya umeme na maji pindi umeme unapokatika. Mavunde akizungumza baada ya...
  17. Marekani imetangaza kuanza kufuta viza za wanafunzi wa China

    Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China, hususan wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa taifa. Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China,hususan wale wanaohusishwa...
  18. Kwani wanafunzi wakimaliza kidato cha sita ni lazima waende JKT? Kwani JKT ni lazima?

    Kuna orodha imetoka kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima. Hii hapa ipakue. Sasa nauliza kwani ni lazima?
  19. A

    KERO Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi

    Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…