wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Siri zimevuja kuna wimbi la account fake mpya za wanafunzi wa chuo mitaondoni lazima tujiulize hivi kweli tumefika hapa sisi ?

    :
  2. Zanzibar: Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole Wapatiwa zawadi za motisha kwa kufanya vizuri Michepuoni

    Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole waliofaulu mitihani ya Michepuo wamepatiwa zawadi za motisha zilizotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo, Seif Hamad Suleiman, katika hafla iliyofanyika Januari 4 Skuli ya Sekondari Ole. Akizungumza wakati wa utoaji wa zawadi hizo, Mwakilishi huyo aliwapongeza...
  3. KERO Kuna wanafunzi wananyanyasika vyuoni

    Habarini wana JF, Mimi ni mwanafunzi kutoka chuo kikuu kimojawapo jijini Mbeya. Chuo hiki kimekuwa kikibadili sera zake Kila unapobadilika mwaka wa masomo,,, ni hatua nzuri lakini Kuna sera zingine zinabadilika zinawaathiri wanafunzi Moja kwa Moja na hawapewi fursa ya kujitetea au kupewa...
  4. Mbeya: Baadhi ya Wanafunzi wa kike Shule 109 Kyela wanakatisha masomo kila mwezi wanapokuwa kwenye kipindi cha hedhi

    Baadhi ya wanafunzi wa kike katika shule 109 za msingi na sekondari, Halmshauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, wanalazimika kukatisha masomo kila mwezi wanapokuwa kwenye kipindi cha hedhi kutokana na ukosefu wa taulo za kike, hali inayowaathiri kimasomo na kisaikolojia. Katika kukabiliana na...
  5. A

    KERO Wanafunzi UDOM tunaoomba 'Loan Extensions' tusikilizwe, maisha ni magumu

    Naomba ujumbe au andiko langu lifike kwa Viongozi wanaohusika, binafsi hali yangu ya maisha ya chuo itakuwa mbaya sana, mimi ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma nasoma Shahada ya Uuguzi na Ukunga. Shida yangu naomba kufikisha ujumbe huu kwa Bodi ya Mikopo kuwa kuna Wanafunzi zaidi ya 200...
  6. Sikuwahi kufikiri kama Wanachuo wa UDSM wangefanya mzaha mkubwa kiasi, hii inaonesha dunia kuwa masihara ni sehemu ya maisha yao

    Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina hadhi Wamejitokeza Wanachuo wa UDSM wakaunda toy nakuita Robot Kujaribu sio kosa bali ni mwanzo wa...
  7. Johann Carl Friedrich Gauss - Mtoto wa miaka 7 aliyetengeneza equation baada ya mwalimu kutoa Kazi ya kuwa-keep Busy Wanafunzi

    Wanasema wengi waliona Tofaa linaanguka ila mmoja (wachache ndio waliuliza kwanini) - Ingawa hizi story huwa zina chumvi nyingi na uongo wa hapa na pale lakini hii ya Gauss inafurahisha Katika miaka ya 1780 mwalimu wa shule huko Ujerumani ili wanafunzi wake wakae kimya kwa muda wa kama nusu saa...
  8. Wazazi waomba kambi ya wanafunzi wenye ufaulu wa chini iendelezwe

    Wazazi na Walezi wa Manispaa ya Mtwara–Mikindani mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuendeleza programu maalum ya kuwaweka kambi Wanafunzi wenye ufaulu wa mdogo ili kuongeza kiwango cha ufaulu.Ombi hilo limetolewa mara baada ya matokeo ya mtihani wa MOCK wa kidato cha nne ngazi ya Mkoa kuonyesha...
  9. R

    RC Kheri James awahakikishia usalama wanafunzi wapya wa vyuo Iringa

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewahakikishia wanafunzi wote wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu mkoani humo kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kuwa hali ya ulinzi na usalama ni shwari, huku akisisitiza kuwa serikali imeweka mazingira rafiki kwa kujifunzia na kuishi Kheri James ametoa kauli...
  10. Wanafunzi 66,987 Wapangiwa Mikopo ya Tsh. Bilioni 215.3 na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu (HESLB)

    TAARIFA KWA UMMA Dar es Salaam, 07 Novemba, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7, 2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 66,987. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatao: Wanafunzi 43,562 wa shahada ya awali na...
  11. GE2025 Luhende: Nitahakikisha wanafunzi hawakai chini Bukene

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bukene kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM )John Luhende, ameendelea na kampeni za kunadi sera kwenye jimbo hilo, akisema endapo atachaguliwa atatatua changamoto zinazoikabili sekta ya elimu, ikiwemo uhaba wa madawati mashuleni kwa kutumia rasilimali misitu inayopatikana...
  12. Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
  13. L

    Wanafunzi wa Kenya wapata ufadhili wa kusoma lugha ya Kichina nchini China

    Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani Afrika zimejumuisha lugha hii kwenye mitaala yao ya masomo, ikionyesha jinsi ambavyo lugha hii...
  14. A

    KERO Open University wana tabia zikibaki siku chache mwaka wa masomo uishe au Graduation ndiyo wanaanza kusikiliza shida za wanafunzi

    Ni jambo la kipumbavu sana (Mods please naomba mniache, sisi watu wazima na watanzania tunafanyiana mambo ya kijinga sana hawajui wanakwamisha madeal kiasi gani kwa wanafunzi wao) Mfano una shida yoyote ya ki Academic unaenda mpaka Dar makao makuuu, supervisor wako anakukwepa, ukipiga simu...
  15. Inawezekaneje walimu wanaweza kuwa na kumbukumbu ya wanafunzi wote waliowafundisha?

    Nimekutana na mwalimu wangu wa shule ya msingi kwa sasa ni mstaafu ila mpaka jina langu kaniambia. Walimu wanakipawa gani kujua watu na kila siku wanapokea idadi mpya ya wanafunzi.
  16. VIDEO: MAGAIDI WA KIHOUTHI WAKIWAFUKUZA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA SHULENI KWA MAANA CHINI YA SHARIA HAIPASWI BINTI AENDE SHULE

  17. DOKEZO KERO Hizi kambi za Wanafunzi wa madarasa ya Mitihani zimekuwa kero kwa Wazazi na Walezi

    Habari ndugu zangu, hivi huu utaratibu wa kuwaweka kambi Wanafunzi waliyokwenye Vidato vya mitihani nani ameuleta? Maana umekuwa ni mradi kwa baadhi ya Walimu wa Shule hasa za Serikali. Kuna shule moja Jijini Mbeya inaitwa ITIJI SECONDARY inapatikana Kata ya ITIJI ni Shule ya Kata imekuwa na...
  18. Katiba liwe somo lifundishwe kwa Wanafunzi wa Sekondari haswa kidato cha nne

    Katiba ni nyaraka kuu ya taifa lolote. Ni dira, mwongozo na msingi wa maisha ya wananchi wake. Inabeba kanuni, sheria, haki na wajibu wa kila raia pamoja na viongozi wanaoongoza. Kwa maana hiyo, katiba si jambo la wanasheria pekee, bali ni chombo cha kila mwananchi. Hata hivyo, changamoto kubwa...
  19. Ostadhi kabananishwa na wanafunzi wa Madrasa juu ya Yesu kuwa Muislamu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…