wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi mlioko Marekani rudini kabla ya Trump kuapishwa.

    Wasiwasi umetanda katika baadhi ya Vyuo Vikuu nchini Marekani huku vingine vikitoa tahadhari kwa Wanafunzi wa Kimataifa kurudi vyuoni kabla ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa nchi hiyo Donald Trump. Kwa mujibu wa Shirika la habari la CNN, Vyuo hivyo vina wasiwasi wa kuwepo kwa marufuku ya safari...
  2. JamiiForums Tanzania Je wanafunzi wataanza muhula ujao na walimu idadi ileile Huku idadi ya wanafunzi ikiwa imeongezeka?

    Binafsi najiuliza ufanisi utatoka wapi ikiwa idadi ya walimu ni ileile halafu wanafunzi wameongezeka kwa shule zote za msingi na sekondaril,mfano Kuna shule jirani watoto walidahiliwa kuanzia form one ni 500 je idadi ya walimu waliopo inatosha? Jibu ni hapana nn kifanyike au serikali haijui takwimu?
  3. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo

    Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wanafunzi hawa wanakumbana na hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu wala...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rekebisheni madudu haya mliyofanya kwenye selection za wanafunzi wa kidato cha Kwanza 2025

    Kwa faida ya wengi na kuondoa sintofahamu kwa wasiofahamu, Ofisi ya Rais TAMISEMI fanyeni marekebisho ya machaguo ya wanafunzi kwenye eneo la Wilaya Shule ilipo. Miaka ya nyuma hili kosa halikuwahi kujitokeza bali lilianza kuonekana kwenye selection za mwaka 2023 na mwaka huu. Nipo tayari...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wa kike wanakatazwa kusuka?

    Shule nyingi za serikali zimekuwa zikikataza watoto wa kike kusuka na kuna shule baadhi za serikali zina ruhusu wanafunzi wake wa kike kusuka, je hii ni sheria au ni maamuzi ya shule husika na kama maamuzi nani anasimamia ili yasitumike vibaya? Historia fupi tu ni kwamba kipindi cha ukoloni...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa ametangaza Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025. Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi tunaosoma Shahada ya Usingizi na Ganzi Salama tupewe haki za kimasomo, Serikali ifanye maboresho katika hii Shahada

    Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu. Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za Kiafya hasa katika sehemu ya vyumba vya upasuaji (theater), kwa wagonjwa mahututi, emergency, clinics na...
  8. JamiiForums Tanzania Kupangiwa shule wanafunzi wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza itatoka lini?

    Hivi waziri mwenye dhamani mbona hatoi selection za watoto wetu waliomaliza la saba 2024 wanaenda shule zipi kidato cha kwanza 2025,?
  9. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nduweni wamshukuru Mbunge Prof. Mkenda kwa zawadi za fedha kwa waliofanya vizuri

    Wanafunzi wa Shule ya msingi Nduweni Kata ya Tarakea motamburu wilaya Rombo wamemshukuru Mbunge wa jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda ambae pia ni Waziri wa elimu sayansi na Teknojia nchini kwa zawadi za fedha kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2024 Akizungumza kwa niaba ya...
  10. JamiiForums Tanzania Watawala wasingekosea kama wangekuwa wanafunzi makini wa Historia!

    Daniel Arap Moi "alijiapiza" kuwa KANU ingetawala Kenya miaka mia moja! Iko wapi kwa sasa? Haikufikisha hata miaka hamsini. Iliondolewa madarakani na waliowahi kuwa wana KANU waandamizi. Adolf Hitler alikuwa na nia ya kuwaangamiza Wayahudi wote. Japo aliwaua wengi lakini lengo lake halikutimia...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha SAUT-Mwanza hakitatui matatizo ya wanafunzi kwa wakati

    Nina kero ya kutotatuliwa changamoto ya kimatokeo zaidi ya mwaka mzima, kutoka katika chuo Kikukuu cha mtakatifu Augustino Mwanza, amabapo kero hii imekuwa ikawakumbuka wanafunzi wengi hususani katika somo la kifaransa ambalo lilikuwa somo la lazima na baadae kulifanya somo la hiari kwa baadhi...
  12. JamiiForums Tanzania Nyerere na Wanafunzi wa Chuo Kikuu waliopinga kwenda JKT

    Hotuba hii ilitolewa kama kijitabu TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. Unaweza kukisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Inapatikana playstore. Oktoba 23, 1966. Wananchi, Jana tumefukuza wanafunzi wapatao 393 kutoka katika vyuo mbali mbali vya Dar es Salaam baada ya maandamano yao ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi DIT hatujasajiliwa wiki ya 7 sasa tokea chuo kifunguliwe kwa kisingizio cha ubovu wa mfumo

    Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una changamoto, na tunapojaribu kufuatilia pengine ikibidi kwenda kwa watu wa system hawaji hata ofisini...
  14. JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliofukuzwa Shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA warejeshwa shuleni

    Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari...
  15. JamiiForums Tanzania Rukwa: Wanafunzi waliofukuzwa shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA, warudishwa shuleni

    Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tanzania imezuiliwa kuingia Marekani

  17. JamiiForums Tanzania Serikali ichunguze vikundi vya dini vya wanafunzi shule za Advance

    Napata alarm hapa kuwa kuna vijana radical wanazalishwa mashuleni hasa advance. Hawa vijana wanazalishana wenyewe kwa wenyewe kwa hisani ya watu wazima ambao wako nje ya mfumo. Usipoziba ufa utajenga kuta. Miaka 30 iliyopita Nigeria ilikuwa shwari kabisa lakini sasa serikali ya Nigeria...
  18. JamiiForums Tanzania Responded Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

    Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha SAUT boresheni ukumbi uendane na idadi ya Wanafunzi, tunajazana sana Ukumbini

    Hiki unachokiona kwenye picha hapo siyo kwamba watu wapo kwenye shoo ya muziki, hapo ni Ukumbini katika Chuo Kikuu cha SAUT au Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino Tanzania (St. Augustine University of Tanzania - SAUT MAIN CAMPUS). Wanafunzi tumejaa katika Ukumbi wa chuo kiasi kwamba wengine...
  20. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 4,183 wapangiwa mikopo ya TSh. 13.8 bilioni kwa rufaa

    TAARIFA YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WALIOKATA RUFAA WANAFUNZI 4,676 WAPANGIWA MIKOPO YENYE THAMANI YA TZS 15.5 BILIONI Mfuko wa Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) umetangaza kukamilika kwa upangaji wa mikopo ya wanafunzi waliokata rufaa kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Jumla ya wanafunzi 4,676...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…