wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya wananchi wasombwa kwa mabasi kupelekwa kwenye shughuli za mwenge na ziara ya Rais

    CCM wanalazimisha sana kukubalika Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na...
  2. Kama kuna mifumo ya kurusha wanafunzi wasimalize miaka 7 ya darasa la saba, tujue kuna mifumo ya kuchakachua mahitimu wa Chuo kikuu!

    Huko nyuma kabla ya Jiwe JPM, kulikuwa na tabia mbaya ya kitapeli eti unamrusha darasa mwanafunzi. Unakuta mwanafunzi kasoma mpaka darasa la pili alafu unamrusha mpaka darasa la tano au yuko darasa la nne unamrusha darasa la sita. Nashukuru JPM kwa kutengeneza mfumo ambao ukisajiliwa na mfumo...
  3. Computer4Sale SOFTWARE Huduma za Printing, Scanning, na Photocopy kwa Wanafunzi

    Huduma za Printing, Scanning, na Photocopy kwa Wanafunzi 📢 Wanafunzi wa Vyuo Mnakaribishwa! 📢 Unahitaji huduma za haraka na nafuu za stationery? Karibu Dodoma Mjini kwa huduma za: ✅ Printing za miradi, makala, na nyaraka mbalimbali ✅ Scanning ya hati muhimu kwa ubora wa juu ✅ Photocopy ya haraka...
  4. Mkuu wa Dawati awaasa wanafunzi kuhudhuria Masomo kikamilifu, awasihi walimu kufuatilia mienendo ya watoto

    Katika kuhakikisha watoto wanapata elimu na kusikilizwa kero zao zinazowakabili wanafunzi katika Wilaya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Mkuu wa dawati la jinsia na watoto wilaya hiyo ameendelea kutoa Elimu ambapo amefika katika Shule ya Msingi Kanindo ambapo amewataka wanafunzi kuhudhuria kikamilifu...
  5. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kasirwa ya Rombo wanazurura tu mtaani kwa sasa

    Hii ni Shule ya Msingi Kasirwa ipo Rombo, kwa sasa asilimia kubwa ya Wanafunzi wanashinda nje ya Madarasa, wanazurura tu nje kwa kuwa madarasa yao yapo kwenye maboresho. Hivi tunajiuliza uongozi wa Shule, Wilaya na Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa wapi muda wote hadi madarasa yanakuwa katika hali...
  6. Tukisema CCM inazalisha Wanafunzi Mazuzu ambao wanaligharimu na wataligharimu Taifa letu mnatuchukia

    Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Mchepuo wa Kiingereza, Chief Zulu mkoani Ruvuma wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan Sh1,800 kama zawadi. Baada ya tukio hilo, Rais Samia amesema atawanunulia ng’ombe wawili, mchele kilo 500 na mafuta ya kupikia kwa ajili ya kula shuleni hapo. Leo...
  7. Mbowe alivyokimbiwa na wafuasi wake ni kama Yesu alivyoachwa solemba na wanafunzi wake akakamatwa na jeshi la Rumi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna watu wanauliza Wafuasi wa Mbowe(Wanachadema) walikuwa wapi wakati kiongozi wao anakamatwa na Askari pale kwenye Magomeni. Wapo wapi anaowapigania? Wapo wapi waliopatwa na madhila, majanga ambao Mbowe na viongozi wenzake anawasemea na kuwapigania? Yesu...
  8. Serikali irejeshe saikolojia ya wanafunzi wa shule ya msingi Mbezi Juu ili wendelee vyema na masomo yao

    Siku ya alhamisi tarehe 19.09.2024 katika shule ya msingi ya Mbezi juu palitokea tukio la mwanafunzi mmoja wa kiume wa darasa la tatu kutumbukia ndani ya shimo la choo wakati alipokwenda kujisaidia majira ya mchana. Shule ya msingi Mbezi juu ipo katika kata ya Ndumbi mtaa wa Mbezi mtoni ndani...
  9. Je, ni lini wanafunzi wa vyuo wataacha kujamiiana kwenye dabo deka?

    Tupo katika kipindi ambacho wahitimu wa kidato cha sita wanatarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Swali ni kwamba wanachuo watarajiwa wameandaliwa mazingira mazuri ya malazi? Ikumbukwe kule vyuoni Kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakifanya mapenzi kiholela katika vitanda vya...
  10. Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
  11. Nimekutana na wanafunzi wamebeba fimbo na wameagizwa na mwalimu wao.

    Kwanza WAALIMU tunawapenda sana ndio maana tumewaamini kuwafundisha Watoto/wadogo zetu. Lakini hii imekaaje unatoa oda zaidi ya wanafunzi wa 5 wakuletee fimbo za kuwaadhibu? Hatukatai adhabu lkn mara kadhaa tumeshuhudia waalimu mkilemaza Watoto wetu na kuwatia kilema Cha maisha! Wanafunzi...
  12. KIWANDA KILICHOTOKANA NA WANAFUNZI WA CHUO HUKO UGANDA

    Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuposti thread nikihoji kwa nini wanazuoni wetu UDSM mtaala wa Uhandisi (Mechanical Engineering) hawajiongezi na kuunda hata mfano wa gari. Majibu niliopata toka kwa wanazuoni hao, mimi mwenyewe nilikoma kuendelea na hiyo hoja. Sasa angalia wanafunzi wa...
  13. Wanafunzi 1,230,780 kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi leo Septemba 11, 2024

    Wanafunzi 1,230,780 wamesajiliwa na wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi kuanza leo Septemba 11, 2024, kati yao Wavulana ni Asilimia 46 na Wasichana ni Asilimia 54 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed amesema masomo yatakayotahiniwa ni Sita...
  14. Ni mfumo wetu wa elimu mbovu au wanafunzi uelewa upo chini? Nchi nyingi duniani vijana waliosoma ICT ndio matajiri ila kwetu wanazunguka na bahasha

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply. Mfano wa kijana wa...
  15. G

    Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  16. Marekani: Mtoto wa miaka 14 avamia shule, aua kikatili wanafunzi wenzake na walimu

    Huko kwenye jimbo la Georgia nchini Marekani, mtoto wa miaka 14, Colin Gray alivamia shule aliyokuwa anasoma ya kuitwa Apalachee High School. Mtoto huyo ambaye insadakika kuwa alichukua bunduki ya baba yake alifanya unyama huo shuleni hapo na aliweza kuua walimu wawili na wanafunzi wawili...
  17. Moto waua Wanafunzi 16 wa Shule ya Hillside Endarasha, 14 wajeruhiwa

    Wanafunzi 16 wameripotiwa Kupoteza maisha baada ya ajali Moto kutokea katika moja ya Mabweni ya Shule ya Hillside Endarasha iliyopo Kieni, Nyeri usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024. Msemaji wa Huduma za Polisi Kenya, Resila Onyango amethibitisha tukio hilo na kueleza "Tuna wanafunzi 16 wamekufa...
  18. Mchengerwa: Wanafunzi wote wa kutwa wapate chakula shuleni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kote nchini kuhakikisha wanafunzi walio katika shule zote za kutwa za umma na binafsi wanapata chakula bila kujali ni wa madarasa ya mitihani ama lah na kamati za shule...
  19. Rorya: Wanafunzi sita wafariki baada ya kunasa kwenye tope wakiogelea kwenye bwawa.

    https://x.com/MwananchiNews/status/1827665660110872878?t=M10MpOscMBz7jcfQEB0_ig&s=09
  20. G

    Kisa kilichonitokea kutibiwa na mwanafunzi wa udaktari, Siwezi kuja kukubali tena kuwa mwili wa kujifunzia matibabu kwa wanafunzi wa field

    Kuna kipindi nilikuwa ninahisi maumivu kwenye jino la mwisho, nikaenda hospitalini kupiga xray ikaonekana nina jino chini ya fizi, inabidi litolewe. Nikaweka appointment ili niende kesho yake kulitoa. Asubuhi na mapema nikawahi hospitalini, Daktari nilekutana nae ni kijana mdogo mwenye rika la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…