Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA).
Here we go!.
Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo.
Civics
History
English
Kiswahili
Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
Malezi ya watoto wa sikuhizi bana ni hatari sana, ukisikia mzazi ameuza ng'ombe akampeleka ng'ombe shule ndio huku, nyie wazazi huruma sio malezi, sisi watoto wa 80's ukimzingua mzazi atakupa mijeredi mpaka ushangae..
Nimeona video wanafunzi wa chuo kikuu kinachoaminika kwa kutoa elimu Bora...
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) leo tarehe 18 Aprili, 2025 imekabidhi Taulo za Kike (Sanitary Pads) 350 kwa Wasichana walio katika mazingira magumu nyakati za hedhi husababisha changamoto kubwa kwa wasichana kuhudhuria masomo...
An irregular hexagon with all sides of equal length is placed inside a square of side length 1, as shown below (not to scale). What is the length of one of the hexagon sides?
Habari yako mwana JF, natumai umzima. Siku ya leo nimekuandalia thread nyingine inayohusu mambo ya research na leo tutaangalia kitu kinaitwa obsession ambayo imefocus na matumizi ya SPSS kuhusu kuanalyse data Je ni lazima utumie SPSS kwenye kila aina ya research unayoifanya? Twende...
Imekuwa ni kawaida kwa walinzi kuwalazimisha wanafunzi kuvua kofia za cap wanapoingia library au sehemu za maofisi, huu ni unyanyasaji dhahiri kwa watanzania ambao wanatumia uhuru wao wa kuvaa kunyimwa haki ya kutumia maeneo muhimu ya kujifunza na kujifunzia. Sababu ya msingi kwanini wanazuiliwa...
Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER".
Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake
Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana na hili jambo.Awali hili kundi lilianza kimasihara tu kama vijana wanaojihusisha na uchezaji wa kamari wao kwa wao.Pengine baada ya kuona malengo yao hayafanikiwa wakabadili mtindo wa utafutaji wakaingia kwenye biashara ya kuuza dhahabu feki.Hili...
Vurugu zimezuka katika Tamasha la Kitaifa la maigizo huko Nakuru nchini Kenya, baada ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Butere kukataa kucheza tamthilia yao ya kutatanisha "Echoes of War’’, mchezo ambao unaangazia mapambano ya Vijana kuhusu uhuru wa kiraia, utawala na haki ya...
Kuna habari iliandikwa humu JF jana na mdau wa huu mtandao kuhusu wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao. Habari ilihusu shule ya msingi Kimandafu.
Kwanza naipongeza serikali yetu kwani kwa kweli ni sikivu sana, hongera serikali ya Samia Suluhu Hassan. Leo Asubuhi walifika wakaguzi...
Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia.
Kuna kipindi 'member' mmoja alileta uzi hapa jukwaani kuhusu miundombinu ya Shule...
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma kwenye shule Moja ya mchepuo wa kiingereza iliyopo ndani ya manispaa ya Moshi (j'ina tunayo)wameingiwa na hofu kutokana na uongozi wa shule hiyo kuanzisha utaratibu wa kupika chakula cha mchana nje ya Shule hiyo na kukisomba kwa kutumia magari kupeleka shuleni hapo...
Nimepita katika mitaa ya karibu na ndugu zangu, nilichokiona kilinipa masikitiko, kuna baadhi ya majengo la Skuli ya Msingi Mchangamdogo iliyopo Wilaya wa Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba sio salama kwa matumizi.
Wazazi pamoja na Walimu wa skuli hiyo wamekuwa wakilalamikia juu ubovu wa madarasa ya...
MUSOMA VIJIJINI, ELIMU: "THE DIALOGUE" - MJADALA WENYE MAPENDEKEZO YA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU
Tarehe:
25 - 27 Machi 2025
Wataalamu:
1. Dr Zabron Kengera, UDSM
2. Dr George Kahangwa, UDSM
3. Mr Japhet Makongo, Ubunifu Associates
Washiriki...
Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi.
Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
Wakuu uchawa unapandikizwa kwa nguvu mpaka kwa wanafunzi, hizi kauli za mitano tena kwa hawa watoto na za kumezeshwa na watu wasiojitambua.
====
Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera...
Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
Wanafunzi wa chuo cha afya na sayansi shirikiri Tabora, wamekuwa wakipitia changamoto ya kupewa matokeo yasiyo sahihi kwa muda mrefu sasa, hali ambayo imepelekea wengine kupewa barua za kusitishiwa kuendelea na masomo (DICO), wakifuatilia matokeo yao wanaambiwa hawakufeli bali walikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.