Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja kuwa Baadhi ya Shule za Msingi Wilaya Missenyi-Kagera, Walimu wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu kwa manufaa yao binafsi Mamlaka ya Wilaya hiyo imejibu madai hayo kwa kueleza kuwa inatuatilia suala hilo.
Taarifa rasmi ya Halmashauri ya...
Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde amekabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge lengo ikiwa ni kuendelea kuwasaidia wanafunzi hao kuendelea kupata huduma ya umeme na maji pindi umeme unapokatika.
Mavunde akizungumza baada ya...
Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China, hususan wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa taifa.
Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China,hususan wale wanaohusishwa...
Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi.
Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
Anonymous
Thread
afya
afya za wanafunzi
hatari
manispaa
msingi
ruvuma
shule
shule ya msingi
songea
vyoo
wanafunzi
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikuu cha Dar es Salaam UDSM kampasi kuu ya mwalimu Nyerere Dsm.
Kwasasa kuna changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za kujikimu (meals and accomodations) maarufu kama BOOM.
Kwa kawaida pesa hii huingia baada ya wiki nne za...
Anonymous
Thread
pesa za kujikimu
ucheleweshaji
udsm
wanafunziwanafunzi wa chuo
Hakuna Taifa duniani linaweza kuwa kichaka cha kizazi cha wanaharakati lialia wanaotukana serikali au kuchukua misimamo na mirengo hatari kwa usalama.
Hii ndio demokrasia.
Nikiwa Rais wanafunzi wa form four waliopata div 4 na zero wataenda VETA kwa udhamini wa serikali, na watapata ujuzi ambao anagalau utawasaidia kwenye maisha yao
Vyuo vya veta vitaboreshwa na kuwa vya kisasa na maabara za veta zitaboreshwa maradufu ili wahitimu wakitoka wawe compentent
Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka.
Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika.
Na...
Kwa miaka mingi tumekuwa tukiwatukuza wazungu kwa vitu vya ajabu ambavyo ukikaa na kutafakari utagundua kuwa na upuuzi mtupu.
Mi huwa najiuliza kuwa Columbus alipoenda America hakukuta watu? Kama alikuta watu kwa nini tumwite mgundizi wa America wakati hata wale aliowakuta hawajawahi kudiriki...
Bro, let’s keep it real – haya mambo yamefika pabaya. Sio stori mpya tena, ni daily routine kwenye shule nyingi za sekondari. Hawa ma-teacher wa siku hizi, especially wale fresh kutoka college wenye swagga za “boss,” wamegeuka wanaume wa mtaani ndani ya staffroom. Badala ya kufocus kwenye books...
Wanafunzi wa Kitongoji cha Iyozu, Kata ya Muungano Wilayani Chato Mkoani Geita wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka kwenye makazi yao kwenda shuleni kutokana na mvua kubwa zilizonyesha miaka 13 iliyopita kukata mawasiliano ya kitongoji hicho kwenda kwenye Kijiji cha Rubambangwe.
Inaelezwa...
Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto.
Na...
Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory
Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha maungo yao na kujidhalilisha
Tunamtaka Waziri Gwajima atoe tamko hii ni shule gani na hatua gani za...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga kuongeza wigo wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati vinavyotoa stashahada lengo ni kuongeza idadi ya wataalamu.
Utoaji wa mikopo katika ngazi za stashahada kwa wanafunzi wa ngazi hiyo ya elimu...
UKIMUULIZA mwanafunzi wa shule yoyote ya msingi kwamba ndoto yake anataka kuwa nani, atakutajia vyeo na kazi anazoamini kuwa nzuri, lakini hata kuambia anataka kuwa mkulima.
Mtazamo hasa kuhusu kilimo, ndio umesababisha hadi leo sekta hiyo kuonekana ya watu wa chini, wanaoishi vijijini na...
Ukweli mchungu!
Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko.
Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa.
Wakirudi majumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.