wanadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Unahisi nini kinafanya wanadamu wasiishi kwa amani?

    Unahisi nini kinachostopisha wanadamu wasiishi kwa amani?
  2. J

    Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni

    Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema, “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye...
  3. ELI COHEN

    Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
  4. Ashampoo burning

    Je, Idi Amin Alikuwa anakula Wanadamu?

    Unajua Idi Amin? Watu wake walimuita Big Daddy, lakini maadui wake walimuita mzee wa buchani – “The Butcher”. Yaani huyu jamaa alitokea kule West Nile uganda kaskazini, Uganda, kijiji chenyewe hakijulikani jina, alikulia kwenye familia maskini chokaa balaa. Baba na mama wakatengana, akabaki...
  5. Mshana Jr

    Wanadamu wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Mbwa Mwitu!

    Wakati wa vita, Mbwa Mwitu wa kike hukaa karibu chini ya wa kiume, kwa utulivu mkuu na usio na hofu. Anamwamini kabisa na anajua nguvu zake zitawalinda wote wawili. LAKINI...! Mbwa mwitu wa kiume wana sheria moja wanayoiheshimu sana ...! Hawadhuru wanawake kamwe; hivyo mbweha jike yuko salama...
  6. Fbn

    Kuna mada zinachekesha sana kuonesha kuna kundi wanatumia kubishia vilivyo tengenezewa

    Haya makundi ni wanasiasa na viongozi wa dini ndio wanaongoza kwa upinzani wa teknolojia yani ndio wapingaji wa teknolojia. Kuna siku nilikuwa naangalia watu wa dini yani mtu anakwambia vitu ni vya sheatani vilivyomo duniani ila cha kushangaza anayepinga kavaa nguo ambayo ni teknolojia, katumia...
  7. Leejay49

    Hivi nyie wanadamu kwanini hampendi kuona watu wakifurahi eti?

    Good morning,. Yaani utakuta MTU wakati umepatwa na Jambo gumu au tatizo akimweleza anakupa pole anakufariji,. Anakuuliza kwahiyo tunafanyaje jamani mbona Jambo hili sio jepesi maskini,. Mara Ee Mungu wangu tusaidie🥺,. Anakushauri Hadi muanze kusali mfunge na kuombaa Kwa pamoja..... Kila siku...
  8. Tajiri Tanzanite

    Nadhani viumbe vilivyoko kwenye ulimwengu wa roho hazina kazi ya kufanya ndio maana muda wote wanahaninga na wanadamu

    Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha hivi viumbe vimekaaa kakaa tu huko pasipo na kazi ya kufanya kama mwanadamu,kwa ujumla ni viumbe vya...
  9. S

    Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa

    Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa.
  10. R

    Ikiwa wanadamu wote wameumbwa kwa udongo, Hawa nusu udongo nusu chuma wametokea sayari gani?

    Salaam, Shalom! Wanadamu wote asili yao ni Adam na Eve, walitokana na udongo. Sasa Leo kuna mtu ameponyokwa neno la Siri na kutudokeza kuwa tuna kiongozi nusu udongo nusu chuma. Je mtu huyu amepata maono kusema jambo hili? Au tuseme naye ameota ndoto kama Mfalme Nebuchadnezzar aliyeona...
  11. Fbn

    Inaonyesha dunia kwa wanadamu zama zote mpaka kufikia hapa na maendeleo tulikuwa kama wanyama wanavyo ishi

    Kama kuna ukweli ambao dunia ingekuwa wanadamu wamezidi kuishi mwaka bilioni 1 moja tu ambayo wameishi wanyama na wengine wamekosa basi tungekuwa na mambo mengi. Siwezi kukubari kuwa mwanadamu alikuwa miaka ya bilioni zaidi ya wanyama. Ina maana kuwa kuna viumbe vilikuje hapa kutengeneza watu...
  12. R

    Enyi wanadamu, Nia hasa ya kuvaa nusu uchi huwa ni ipi?

    Hellow! 1. Ni mke wa mtu, unakwnda kwenye closet, Kisha unachagua nguo nusu uchi, inayobana, au mini skirt Kisha unakwenda ofisini ukijua mumeo siye atakayekuwako huko uendako kuuangalia mwonekano wako, Nini hasa huwa umelenga? 2. Ni kijana wa kiume, unazo suruali kabatini, unachagua kipens...
  13. The redemeer

    Level za ufahamu au maarifa kwa wanadamu zipo tatu

    Kichwa: Piramidi ya Kuwezeshwa: Safari ya Binadamu Kupitia Ngazi za Ufunuo wa Dhamira --- Wazo la Siri Kuhusu Binadamu: Muundo huu wa kifalsafa unaonyesha ukweli wa kale kuhusu uwepo wa binadamu na ukuaji wa kiroho. Piramidi inaonesha mfumo wa tabaka — wa kijamii na wa ndani ya nafsi. Kila...
  14. S

    Mungu amezidiwa akili na Wanadamu.

    Hivi kwanini Mungu anazidiwa akili na Wanadamu?
  15. tpaul

    Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii...
  16. Bams

    Kauli Mbiu ya CCM, ya Utu na Kazi, Imewapa Agenda ya Awali Wapinzani.

    CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu. Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake. Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
  17. P h a r a o h

    Wanadamu tuna-undergo evolution, tunapoteza meno

    Nyuso za wanadamu zinazidi kuwa fupi zaidi, hii inasababisha kupoteza meno. Kutokana na mabadiliko katika lishe, nyuso zetu zinapungua ukubwa, na tunakua na taya ndogo hii inamaanisha kuna kua na nafasi ndogo kwa menonkuota Matokeo yake, watoto wengi sasa wanazaliwa bila baadhinya magego...
  18. R

    Je, Kuna ukomo katika kutii mamlaka za WANADAMU ?

    Hellow! Kuna agizo kabisa Kutoka Kwa Mungu kupitia vinywa vya manabii na vitabu vya kiimani kuwa tunapaswa kuzitii mamlaka, Kwa kuwa mamlaka hizo zimeruhusiwa na Mungu. Sasa matukio yafuatayo na simulizi ndani ya vitabu vyetu kiimani, zinanipa maswali kuwa, Inawezekana upo ukomo katika kuzitii...
  19. Davidmmarista

    Wanadamu ni kitu gani mtafanyiwa muamini mafanikio ya wanadamu wengine?

    Aise, nimekuwa nikiandika nyuzi mbalimbali humu, nilizo shuhudia kutokana na mahali nilipoishi. Currently, I'm an online man, nimepitia maisha mbalimbali kuanzia 2011 hadi sasa. Ila kila ninapoandika Uzi, kuna watu nawaita people with low IQ. Mara nyingi nasema, if you don’t have facts...
  20. S

    Hivi kwanini watu wengi wanahisi kila mwenye maambukizi ya HIV alifanya ngono?

    Unakutana na mtu anaanza kumsema mwenzake huyo alikuwa mzinifu, Mara alikuwa na wanawake wengi maskini wakati mtu hajui hata K" inavyofanana. Kuna wengine tuliupata kwa kushare vitu vyenye ncha kali, Kuna wengine tuliupata kwa kuhudumia wagonjwa, Kuna wengine tuliupata kwa kuongezewa damu...
Back
Top Bottom