Mimi ni mmoja wa mzazi wa mwanachuo wa mwaka wa kwanza radiology kutoka chuo cha nkinga health institutes.
Kumekuwa na gharama zisizo na tija na kuzijurudia, huko nyuma wanafunzi walilipishwa hela ya field sh Laki mbili ambayo unaingiza kwenye account ya chuo baadae hiyo hela hawakupewa bali...
Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model.
Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,763.94 za aina mbalimbali za dawa za kulevya, pamoja na kilogramu 6,007 na lita 153 za kemikali bashirifu katika operesheni zilizofanyika katika maeneo...
Kero Kuhusu Utaratibu wa Uchaguzi wa Kozi na Uthibitishaji wa Maombi katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)
Chuo hiki hakizingatia Maombi ya Kozi Halisi kinawachagua wanafunzi katika kozi ambazo hawajaomba rasmi,mfano Mimi niliomba Kozi ya information technology Tena maombi matatu,wao...
Husika na mada tajwa hapo juu.
Hayo makundi yote hapo juu.
Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako.
Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
Hiki kizazi chetu kiko BLESSED na INTERNET. Na kwa mtu yeyote aliesoma hata form four na ana uwezo wa kuelewa lugha zote mbili, Kiswahili na English ana Advantage ya kupata kipato. Sio tu ONLINE hata kwenye maisha yetu ya kila siku mtaani.
Kuna vijana wanasaidia makampuni kuuza bidhaa mtaani...
#mwanakidigitali najua pengine kuna muda unakuwa unapesa yako lakini unapatwa na kigugumizi sana hasa unapo fikiria simu gani unataka kununua na itakayo kufaa . Leo nitakutajia listi ya simu aina 5 ambazo vijana wengi wa Tanzania hupenda zaidi kutumia hasa kwa wanachuo wengi kwa sababu tofauti ...
Katika jambo la kushangaza vijana wengi waliohitimu chuo Cha taifa Cha utalii wamekua na kilio kisichoisha kwani kila Ajira zinapotangazwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wao kupata kazi imekua ngumu.. kwani mfumo wa Ajira (Ajira portal) unawakataa na hii imekuwa kilio Cha wazazi walio wengi...
Vijana 6 wakufanya nao kazi
SMARTWORK
Kazi yao itakua ni kuniletea wateja wa internet bundle Tutalipana hapo hapo.
Malipo ya juu 30,000 kwa siku
Maripo ya chini 10000 kwa siku
Kama upo tayari niandikie mawasiliano yako hapo chini
Mawasiliano yyte kama
email
Simu
Acc ya social media
Au yute...
Kwani Wanachuo wenyewe mnasemaje?
Rais wa TAHLISO Geofrey Kiliba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maslai wanayopata wanachuo kwa kipindi hiki cha awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Tumeona kiongozi mkubwa wa serikali akionyesha kutopendezwa na Yale yaliyotokea vyuoni , baada ya wanavyuo kupigana na kudhalilishana mitandaoni huku ikisemekana wanamgombea bwana wao Mwijaku....laiti kama hawa wanafunzi wangekuwa wanatambua kilichowapeleka chuoni wasingekuwa na muda wa...
Ukisoma chuo kwa kumaanishaha huwezi kuhitaji Kwenda VETA unahitaji kuwatumia vijana wa VETA kutengeneza ajira.
Hiki nadhani ndio kinatakiwa kusisitizwa.
Ubongo wa mtu aloyepitia chuo kwa kumaanisha unauwezo mkubwa kuliko wakufunzi wote wa VETA na wanafunzi wao.
Nimeona CHUO mtu anapewa...
Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini?
Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye kazi vizuri.
Sasa inakuaje mwanafunzi anaingia maktaba anakatazwa kubeba maji ya kunywa na kule...
Kwa hali hayo tumeshindwa kusaini malipo hayo na kupelekea kuexpire baada ya muda fulani na kushindwa kupata pesa hizo hivyo tunaomba mamlaka kufuatilia ikiwezekana kuturudishia app tuliyokua tunatumia mwanzo maan hiyo haikua na shida yeyote baada kuapdate hii mpya ndo tunakutana hizo changamoto
Nimesign boom Jana ya awamu ya kwanza baada ya ku appeal Sasa kwenye lo verification imekuja Moja na kwenye failed imeandika Moja apo wasiwasi wangu kwenye failed.lakin message nimetumiwa uku kuwa installment imekamilika niende ku confirm kwa loan officer apa ndo nataka nijue ili niende na...
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwa😊).
Kwenye issue ya chakula mambo yakiwa magumu mkombozi ni mihogo...
Mnasikia yanayoendelea, yaliyoendelea na yatakayoendelea.
Kila wakati mitandaoni tunaona wanaoliwa mitungo, wanaopakuliwa mambo haramu ni wasomi.
Hii ndio sababu bora nikae na form Four Failure ila sio hawa wake za vigogo.
Wanafunzi wengi wanapojiunga na Elimu ya Juu wamekuwa wakinufaika na ada, ela ya kujikimu, utafiti n.k. inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ili kuweza kuwawezesha kukamilisha masomo yao.
Napenda kuipongeza Serkali kwa kuongeza kiwango cha ela ya kujikimu kufikia shilingi 10000/= kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.